Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Unasema siasa za faida kwa taifa? Hahaaa kwahiyo Zitto kupiga hela za lumumba na kuihujumu chadema ni maslahi kwa taifa?

Kama mna uhakika ni karibu mwaka sasa kelele ni hiyo hiyo moja tu na mna wanasheria huko nini ngumu kumaliza hii kesi moja??!!!

Say kweli hayo unayosema, hilo linakuzuia wewe japo kuandaa semina kushirikiana na wengine japo kuzungumzia dira zenu katika kipindi cha uchaguzi ili wataoingia wabebe matarajio yenu badala ya kukomaa na huyu hasimu wako???!!

Haya kwa mfano anaenda chama kingine na anaendelea kupiga hizo hela we utakuwa na nini cha kufanya akiwa huko, utadai kadi tena???!!! Angalia mambo yenye muendelezo achana na hizi mambo za kupita na zisizo na muendelezo thabiti haswa kwako kama kijana wa Taifa hili, focus kwenye issues!!!

Zinatakiwa siasa za issues sio siasa za watu hizi wengine wanazita "za maji taka".
 
Mimi nasubiri mkiuke amri ya mahakama.
 
Kweli kabisa mkuu Ifweero,Chadema wanachuki na Kigoma walianza na Kaburu,Kafulila,Zitto na sasa wanamsulubu Ntagazwa.

wewe mama Mingoi ni lini utatumia ata chembe ndogo kabisa ya ubongo wako na kuacha hizi pumba unazozipost huku jukwaani daily,umekuwa mtu wa pumba mno,mno,mno.
 
Last edited by a moderator:
Yericko yaani ka uchaguzi kadogo tu ka chadema kigamboni umepigwa chini? Sasa ni uchaguz gani hapa duniani utashinda?

...wapo marais walishindwa uchaguzi mara saba na bado walikuja kuwa rais,jk alishawahi kushindwa lakini leo ni rais. Jifunze uhalisia wa politics kabla hujaongelea siasa...
 
We ni wa kupuuzwa tena ni tahiraaa kabisa,yafaa uwe milembe,hujui hata ukoo wako kila siku kujiita ndugu wa Nyerere na wanakukataa,we ni nani Chadema mpaka uzungumze hayo? Wenye Chadema wenyewe wanaliogopa hilo jina la ZZK..nenda kwa Mzee Yusuph akupe nafasi ya kuimba taarabu

We hamna kitu kichwani yaani zero brain
 
Zitto ni chuma cha reli ya mjerumani kilichoshindikana kwa sumu,ajali na hata kwa nguvu za giza toka kwa wahafidhina,zitto ni zaidi ya misukule yoooooote ya ufipa+wahafidhina wao.

Mtachonga sana kuhusu Zitto lakin ni sawa na kuukimbiza upepo.nyambafffffffff!

Where is he now...??? Hahahahaha.....Mbona anaomba poo.....Hahahaha.....Kwa taarifa yako Zitto ni takataka jalalani..
 
...wapo marais walishindwa uchaguzi mara saba na bado walikuja kuwa rais,jk alishawahi kushindwa lakini leo ni rais. Jifunze uhalisia wa politics kabla hujaongelea siasa...

sasa pamoja na masifa yote chadema wenyewe wamemtosa, ndio atashinda uchaguzi gani?
 
Back
Top Bottom