Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Mwanakijiji
Nakubaliana na wewe kuhusu technicalities za kanuni kuwa akiwasilisha J3 spika anaweza kuitishwa kikao cha bunge maalum kwa lengo la kuitupilia mbali hoja ya Zitto na ikawa tabu kuirudisha tena kabla ya miezi 6. Lakini kama serikali ina haja ya kuitupilia mbali itashindwa nini kufanya hivyo kwenye bunge la bajeti.
Mimi nafikiri hii motion iendelee na moto wake (supu hunywewa ingali ya moto), kama sahihi zimetimia nashauri J3 Zitto aamukie kwenye mlango wa spika kuonyesha yuko na wabunge wako serious na issue yenyewe. You never know bwana wabunge walioweka sahihi zao watafikiriaje, wabunge ni binadamu wanaweza kurubuniwa ku-withdraw sahihi zao. Serikali pia inaweza kutumia huo mwanya kuvunja nguvu ya umoja huo. Kumbuka hizo sahihi si za CDM pekee kuna za CUF na za CCM.
Faida ya ku-file J3 ni pamoja na kuipa pressure serikali kutekeleza matakwa ya wabunge ambayo ni pamoja na mawaziri wale watano kujiuzulu. Pressure hii inaweza kumfanya PM mwenyewe kuchukua maamuzi magumu au kushauriwa na rais kufanya hivyo. Lakini jambo hili likiachwa kupoa linaweza kuipa ahueni serikali na kuanza hata kuwanyanyasa wabunge wa CCM walioonyesha kuunga mkono. Tusiwape chance, kwenye mpira unapoona opponent wako amechoka usibweteke ongeza mashambulizi unaweza kumtoa kwa knock out.