WanaJF, salamu na heshima kwenu!!
in the last few months I've been following closely the tormented agony of the ruling party. The part has lost the trebizond - it's in a very advanced putrefaction. It's a titanic which is sinkingwith its passengers(unfortunately!!!) on board. The country is sinking and I'm afraid we've reached a point of no return - the extinction of the tyrannosaurus!!!
Right now the CCM's condition can be compared to the oncological(malignant) patient. From "staging and grading" it's clearly that CCM has dessiminated metastases thence surgery is off the table, chemio is useless and unproductive leave alone radiotherapy. The only thing we can do is to apply the "wait and pray" strategy accompanying the patient with palliative care. Personally i would apply euthanasia - we can't wait any longer!!
CCM imefika hapo ilipofika kwa KUJITAKIA. Wana CCM wengi wenye uchungu walipokuwa wakieleza dalili za ugonjwa, walidharauliwa na wengine walikufa katika mazingira ya kutatanisha,Horace Kolimba docet! "KOSA" kuu la Kolimba lilikuwa ni kusema ukweli - CCM IMEPOTEZA DIRA NA MWELEKEO - maneno haya yalitamkwa miaka 15 iliyopita na CCM kama shukrani ya kukosolewa walimzawadia Mzee Kolimba kifo!! Hawakumsikia Kolimba na wengine na wakaendelea kubehave kama nyani wakazidi kupanda juu na juu zaidi ya mti wakasahau kuwa kadri nyani anavyopanda juu ndivyo anavyozidi kuonyesha ****** yake hayo si maneno yangu ni ya mwanafalsafa wa kifaransa Montaigne " plus haut monte le singe,plus il montre son cul"
NI nani wa KUIKOA CCM???
Binafsi ninaamini hakuna and very unfortunately being a ruling party,its fate is directly correlated to the fate of our nation. CCM ilikaribisha haya maradhi baada ya kuacha kuwa CHAMA CHA WAKULIMA NA WANYAKAZI na kuamua kuwa CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WAKUBWA(once upon the time they were detested and called MABEPARI now they're honoured and called MAKADA/WAFADHILI). Chama kimegeuka kuwa pango la walanguzi,wahujumu wa uchumi,wezi na baya zaidi hata rais wa nchi naye ni mwizi( sipendi kutumia neno fisadi maana ninahisi kama lina diplomatic traces ndani yake!!!) Hakuna mtu yeyote anayeweza kumkemea mwingine maana wote ni wezi - Rais MWIZI, MAWAZIRI WEZI, WALIOPEWA DHAMANA YA KUONGOZA MASHIRIKA/MAKAMPUNI/TAASISI NAO NI WEZI!!! Wanashindana katika kuiba na si katika uwajibikaji na katika hili ninaungana na Kaka Zitto Kabwe anaposema kama kuna neno linapaswa lisikosekana katika katiba mpya ni ACCOUNTABILITY!!!!
Hatuna pakutokea maana mkuu wa nchi hana moral thickness ya kumuwezesha kuokoa jahazi kwa sababu yeye mwenyewe ni sehemu ya matatizo - YEYE NI TATIZO!!!! watanzania na wanaccm wengi wanalifahamu hilo,tuache unafiki na tuambiane ukweli. Mapato ya serikali yanaongezeka (angalia trend ya makusanyo TRA) likewise na ufujaji wake unaongezeka. Mfujaji mkuu wa mapato ya serikali ni mkuu wa nchi ambaye hatulii nyumbani kila siku safari-safari-safari. Hao anaokwenda kuwatembelea hatuoni wakija kumtembelea - safari zake zinatugharimu kama Taifa na amenifikisha mahali pa kuomba Mungu hiyo ndege ianguke akiwemo ndani labda ndio suluhu pekee!!!
Mukama,the secretary general of their gang does not deserve any description - he's an emptiness in persona!
Nape has the charisma of a cabbage and intellectual thickness of a macaco.
THE DESTINY OF CCM IS MARKED - alea iacta est!!!!!!
Kwa mtindo na muelekeo huu ninajiuliza bila kupata majibu - tutafikaje 2015??? Nisaidieni