mkuu chama chetu kinaongozwa na katiba ya chama, so hakuna kipengele chochote ambacho Zitto amevunja, pia inabidi tufike mahali tusiwe sensitive sana ktk kila neno koz tutajikuta tunapoteza lengo la kupigana na adui (CCM).
Plz lets buld our CDM.
Jakaya Mrisho Kikwete (born October 7, 1950)
Kwani ni uongo? Hao wazee wamefanya nini la maana, sio ccm wala cdm, wazee wanasiasa wote wanafata siasa za kizamani, Kumaintain vitambi.
Umemsoma vizuri Zitto kasema nini? Wazee wetu walituletea Uhuru ina maana wale waliopigania Uhuru wetu wakapumzike na waache waliofuata waijenge nchi kiuchumi maana kazi yao ilikwisha kamilika.. No offense hata kidogo kina Wasira wanalala tu bungeni, isipokuwa huwa namkatalia Zitto pale anaposema Vijana kina Makamba na yeye ndio wanatakiwa kuongoza nchi akiwaona hata kina Jasusi ni wazee hawawezi wakati ukiwatazama vijana hawa hawajaweza kujenga Hekima wala Busara, bado wahuni tu. ahaha Ahaha!Na vipi aliyezaliwa tarehe nane mwezi wa kumi na mbili mwaka elfu moja mia tisa sitini na moja, 8/12/1961?
Sitaki kusikia ETI mtu fulani agombee urais ili tuone SURA MPYA.kuna mambo yanahitaji umakini mkubwa kuyajadili.hebu mpeni haki yake mh Zitto naye ajaribu....mh Mbowe alijaribu akashindwa.......dr Slaa naye vilevile.....tunahitaji sura mpya.....tena itaondoa dhana ya udini ndani ya cdm.....siyo kila siku walewale....tuko watanzania zaidi ya milioni 40...hakuna chuo kinachotoa elimu ya urais
Si alisema hatagombea uongozi chadema?Ama urais chadema unagombewa bila kuwa kiongozi?
as if Zitto is not entitled to own make statements. I don't think that everytime Zitto makes a statement then we should correllate to Chadema operations. We should also understand this person is a Tanzanian too, he has equally all rights as any other Tanzania citizen....Give him a break neh!
freedom of expression mkuu. kwani kavunja sheria kusema hvyo?
Person centered. . . . A loner like him . . . . Jimboni kwake ipo shughuli mwaka 2015.
Tatizo sio kuutaka urais anamipango gani ya kuyabadilisha maisha ya Mtanzania masikini, kupambana na rushwa, mikataba mibovu na viongozi wasio na uzalendo kwa Taifa letu watachukuliwa hatua gani.
Sifahamu katiba ya CDM,na ulitakiwa unieleweshe kwasababu niliuliza swali,chungu mdomo wako.Hivi wewe unaijua vizuri katiba ya CDM? Hebu kasome vizuri katiba ya CDM ndio uje kuandika up.u.pu wako.
Siwezi kupoteza muda wangu kumjadili Zitto ni afadhali hata kumzungumzia Lowasa kuwa Rais linaweza kuwa jambo la maana sana. am tired with the same stupidity every time from the Man who think he is Genius na sisi wengine wote mazezeta.
Kwa hili niko Upande wa Zitto maana hata Mzee Mtei hadi leo angekuwa mwenyekiti ningepiga vita akapumzike. Chama kimeshikwa na vijana tunayaona matunda sasa tunaingia ktk Utaifa...Tunataka watu wapya wenye nguvu, mawazo mapya na fikra mpya maana wazee wetu wameanza kukusanya mali za kurithisha watoto zao.. Na umaskini huu watatumaliza. Je naweza kumpa kura yangu Zitto kuwa rais? hapo tutaanza mjadala mpya!Mi naona hii sio inshu kuuubwa, japo Mkandara ameonekana kukomaa nayo sana,yuko upande wa Zuberi
MBONA watu wanapandisha presha haraka sana? Mwacheni Zitto ajitangaze hata kugombea U-PAPA wa Vatican.
Kama katiba inamruhusu basi mwacheni aende. Ila wapiga kura tunajua nani anakihangaikia chama kila siku.
Watu mikoani na hasa kwenye M4C wanawaona ni akina nani wanapigwa Mabomu wakati wengine wameenda Majuu kutalii na kula maraha na viongozi wa CCM.
Hapa kuna ka ukweli kwa mbaali. Msiwe na wasiwasi kwa hili......
From: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa.html
Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?
Vot979.
This poll will close on 25th October 2012 at 09:52
Zitto Z. Kabwe (kura)151 15.42%
Wilbrod P. Slaa (kura)828 84.58%
Mwisho wa yote, chama kitaamua!
........... isipokuwa huwa namkatalia Zitto pale anaposema Vijana kina Makamba na yeye ndio wanatakiwa kuongoza nchi akiwaona hata kina Jasusi ni wazee hawawezi wakati ukiwatazama vijana hawa hawajaweza kujenga Hekima wala Busara, bado wahuni tu. ahaha Ahaha!
Si alisema hatagombea uongozi chadema?Ama urais chadema unagombewa bila kuwa kiongozi?