Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
Magamba wanambinu nyingi sana!Zitto anazungukwa, anahadaliwa na wafanyao hvyo ni magamba, asitafute mchawi CDM
Magamba wanambinu nyingi sana!Zitto anazungukwa, anahadaliwa na wafanyao hvyo ni magamba, asitafute mchawi CDM
Suali kujiuliza kabla ya kujadili hilo,je wamiliki wa vyombo vya habari kwenye nchi changa ama zilizodumaa kidemokrasia kama Tanzania wana influence kwa kile kinachoandikwa au kuripotiwa?
In short, Chadema ni taasisi imara. Haigawanyiki kirahisi. Take it from me.
kwani, mie naomba kuuliza! utaratibu ukoje? Kikwete anavyochagua mtu wa kuambatana nae kwa safari za nje kutoka upinzani, je anawasiliana na chama kuchagua nani aende nae? au anajichagulia tu! kama anajichagulia kwa utashi wake, basi Zitto inabidi ajiulize mara mbili mbili nia na madhumuni haswa ni yapi ya Kikwete! asiwe anafuatanafuatana kila wakati anapoitwa awe na staha ya angalau kumwambia Kikwete wasiliana na chama changu!
The thing is you can't expect people to take one story and believe it to be credible today and then ask the same people to not believe another story from the same newspaper just the next day.
Of course in a democratic society a newspaper won't cross the line, but we do not live in a democratic society per se
Haijalishi aliyeleta thread ni wa mlengo gani as far as hapa JF huhitaji kuandikisha chama chako ili ujiunge. Cha msingi tuongelee credibility ya thread. Na hoja ya msingi hapa ni: Ni sahihi kwa Zitto kuonyesha mbele ya jamii kwamba haivi chungu kimoja na mwenyekiti wake? Haya mengine mnayoyaibua ninyi hayana mantiki kabisa. Kwani mnafikiri haya anayoyafanya Zitto ya kuonyesha weakness za mwenyekiti wake kwenye public zinakijenga vipi chama?Jamani kumbukeni mamluki ya ccm ni wengi kama maibilisi wanaotega akili za watu, msipoangalia watawagawa hapa jf kwa kupandikaza chuki zao na tushindwe kutimiza azma yetu ya kuitoa tanzania yetu kwenye makucha ya wajanja. Kilichoandikwa kwenye gazeti ni habari haina haja ya kulumbana. Kama Zitto anajijenga mwenyewe hii habari haiwezi kumtisha kwa sababu hajasaliti chama, lakini kama kuna mkono wa mtu ambao umejificha ninadhani kuna siku ataumbuka.
Ushauri: Haina haja ya kuchukua vitu vidogovidogo kama hivi na kuanza malumbano ambayo hayana tija. Inawezekana hata mleta hii thread akawa ni ccm wanatafuta jinsi ya kugombanisha ngazi ya uongozi chadema. Hii thread imekaa kiunafiki nafiki sana tuachane nayo.
Lissu hawezi hata siku moja kufungua muziki na Makinda kwenye hafla, labda iwe ghafla! teh teh..Nyie mmezidi, juzi niliona Spika Makinda na Lissu wakifungua mziki kule dodoma kwenye ghafla moja hivi, sasa angekuwa Zitto mngesema maneno kibao.
Suali kujiuliza kabla ya kujadili hilo,je wamiliki wa vyombo vya habari kwenye nchi changa ama zilizodumaa kidemokrasia kama Tanzania wana influence kwa kile kinachoandikwa au kuripotiwa?
Ben, the problem is not what the media reported, I do agree that a media can report anything, but my problem is the way Zitto presents the problem to the public. Is it ok to go to the public and express the weakness of the media in relation to your fellow leader (particularly the one you are working in the same office)? Why cant you resolve these differences at party level before you express it to the public?Are we not aware about the lies that is postulated by the self imposedsupremacist media Knowing ignorant people will stumble on it and not check out the facts, and get it twisted?
Mtapinga weeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini Zitto ni tatizo ndani ya Chadema. Wether Tanzania Daima litamwandikaje lakini Zitto ni tatizo kubwa. Mbona yeye Zitto amewanunua waandishi wa Mwananchi wanamsifia hata pale asipopaswa kusifiwa? Kama yeye Zitto ana busara na anaona gazeti limemharibia anashindwa nini kuwaambia viongozi wenzie ndani ya chama kuwa anachotendewa si haki? Zitto anabore sana
Hapa utanapata definition ya zitto kumbe pia,..
kwamba yeye akimiliki chombo cha habari ata walazimisha wahariri
wa chombo chake hicho kuandika habari anazo taka,...'
Zitto,hapa umeonesha chuki yako wazi kwa mwenyekiti wako
yeye sio mhariri wa Tanzania daima ni mmiliki,sidhani kama anahusika na habari za kila siku
ziwe namna gani,...
umepoteza point zangu tena
We are not sure yet whether this has to do with political rivalry,it could be amateurish journalism or unethical journalism.I'm equally of the view that the propagation of spiteful and malicious falsehoods must not be allowed to become an acceptable weapon of political rivals in any civilized democratic societySome papers crosses all acceptable lines of professional ethics, decency, decorum and respect for others' rights and feelings by spreading rumours maliciously.
Je,waliwasiliana na Zitto kupata maoni yake kabla hawajachapisha?Je,jamii imetendewa haki?Je, Zitto ametendewa haki?
Kama hawakufanya hivyo,huo uwezo wa kuandika heading na subheading zenye mwelekeo huo zinatoa taswira gani?Hebu tujaribu kuwa analytical kidogo
Binafsi sijaisoma habari ya Tz Daima na wala hayo malalamiko ya Mh Zitto. Lakini kwani suala la kujengwa (au kubomolewa for that matter) kisiasa ni voluntary kwa kiasi gani? Kama mtu anakufanyia vitu fulani (ambavyo unavikubali) na vitu hivyo vinakupa/kuongezea credentials (political or politically), then suala 'kujengwa' (public opinion) naamini linakuwa involuntary kwa muhusika.
Btw, tatizo hapa ni 'kujengwa' (vs kujijenga) au ni nani anakujenga (in this case JK, a CCM Chairman)? Yaani kama ingeandikwa kwa mfano, Mh Mbowe anamjenga Mh Zitto, bado lingekuwa ni Tatizo?
Good! Kulingana na mfululizo wa aina ya uandishi Je,unaamini ndani ya Gazeti la Tanzania Daima kuna aina hiyo ya waandishi na wahariri wa aina hiyo?
Ndio maana tunasema hata sisi wasomaji hatupaswi kuunganisha ya wahariri na wamiliki ni makosa kwa sababu wamiliki si mara zotte wanafanya kazi ya uhariri kwenye magazeti yao au kwenye vyombo vyao, kuna siku Joyce Mhavile na Mama Terry waliitwa bungeni kwa sababu chombo hicho ilisemekana walisema uongo kuhusu bunge walishitakiwa na mbunge hakuenda huko mmliki ambaye ni Mengi,tuwe wa kweli kwenye article hiyo ya Zitto aliyepaswa kutuhumiwa alikuwa mmliki mara ngapi tumewapigia simu wahariri na sio wamiliki kwa upotoshaji wa habari zinazotuhusuoh yessssss ! ! Ofcourse wwe dont have! Tatizo tunachukulia magazeti kama misahafu and the cynics out there 'll use this opportunity to impart their malicious stories
Kuna Gazeti moja lilijipambanua kama vibrant paper kwa siku ya jumatano( SIO RAIA MWEMA maanake hilo ni gazeti makini sana na naliheshimu),siku moja nikashangaa baada ya kuenguliwa Uchaguzi wa BAVICHA likatoka na habari ya ajabu yenye uwongo,upotoshaji wa ajabu kabisa.Ukimbana mwandishi anasema sio mimi,nikimuuliza mbona uliruhusu jina lako litumike anaanza kutia huruma.
so,on the subject at stake...its one thing to want more from those who are helping to make changes happen. its another to attempt to ruin their reputation based on false allegations
Kwa wanasiasa Chipukizi, While others rely on name calling and propaganda to see them win the election or attaining their goals at the expense of other peoples reputation, let us take Tanzania politics to new heights, talks without character assassination which is the hallmark of all our political rivals/opponents.
And As for the Media Guys, Don't borrow the moral authority from the office owner/employer because as soon as you leave that office that authority leaves you. I truly Pray,Rai Mwema isije ikaingiliwa tu,ni mfano mzuri wa magazeti makini na yenye waandishi waliostaarabika
I do believe Media office is a pedestal for you to use your strength of character to add value to the office by serving the people you are meant to serve and giving glory to our Creator
Ben, the problem is not what the media reported, I do agree that a media can report anything, but my problem is the way Zitto presents the problem to the public. Is it ok to go to the public and express the weakness of the media in relation to your fellow leader (particularly the one you are working in the same office)? Why cant you resolve these differences at party level before you express it to the public?