Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
- Thread starter
- #81
Ben, sina tatizo kabisa na hii fact kwamba magazeti huwa yakiamua yanapotosha sana. Mbona magazeti haya haya yalimjenga Kikwete hadi akaonekana bonge ya Rais wakati hakuna kitu, na yakamfanya Sumaye aonekane bonge ya fisadi wakati hakuna kitu. So anything can happen with the media and I have no reservation on that regards. Issue ni namna ambavyo baadhi ya viongozi ndani ya chama wanavyokijenga au kukiharibu chama kutoka na kushindwa kuresolve mambo ndani ya chama. kwangu mimi naamini kwamba pamoja na mapungufu yote aliyonayo Mbowe, bado kuonyesha publicly kwamba Mbowe anahusika, kutawapa nafasi wapinzani wa CHADEMA kusema lolote dhidi ya chama. Usishangae kesho magazeti ya CCM na ya Serikali yakatoka na heading: CHADEMA kwafukuta, Zito amtuhumu mwenyekiti wake hadharani. Its no wonder.oh yessssss ! ! Ofcourse wwe dont have! Tatizo tunachukulia magazeti kama misahafu and the cynics out there 'll use this opportunity to impart their malicious stories
Kuna Gazeti moja lilijipambanua kama vibrant paper kwa siku ya jumatano( SIO RAIA MWEMA maanake hilo ni gazeti makini sana na naliheshimu),siku moja nikashangaa baada ya kuenguliwa Uchaguzi wa BAVICHA likatoka na habari ya ajabu yenye uwongo,upotoshaji wa ajabu kabisa.Ukimbana mwandishi anasema sio mimi,nikimuuliza mbona uliruhusu jina lako litumike anaanza kutia huruma.
so,on the subject at stake...its one thing to want more from those who are helping to make changes happen. its another to attempt to ruin their reputation based on false allegations
Kwa wanasiasa Chipukizi, While others rely on name calling and propaganda to see them win the election or attaining their goals at the expense of other peoples reputation, let us take Tanzania politics to new heights, talks without character assassination which is the hallmark of all our political rivals/opponents.
And As for the Media Guys, Don't borrow the moral authority from the office owner/employer because as soon as you leave that office that authority leaves you. I truly Pray,Rai Mwema isije ikaingiliwa tu,ni mfano mzuri wa magazeti makini na yenye waandishi waliostaarabika
I do believe Media office is a pedestal for you to use your strength of character to add value to the office by serving the people you are meant to serve and giving glory to our Creator