Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

Status
Not open for further replies.
kwanini msitumie KISWAHILI ??au ndio ule ugonjwa wa ukitumia lugha ya kingereza ndio unatoa hoja nzito!! Wasomi wa kibongo bwana

Kuna kanuni yoyote imevunjwa?

Na unapozungumzia wasomi wa kibongo unakusudiaje? Kuwa kila anaeandika setensi mbili za Kiingereza ni msomi?
 
BEN,

Si useme tu ?Mwanahalisi liliandika Masalia ya Zitto yapukutishwa.Hata kama walikosea kwa kukuunganisha kwenye kundi au na habari ambayo si ya kweli kwako lakini hustahili kuisifia Raia Mwema kiasi hicho.Hiyo ni campaign ya kuishusha credit mwanahalisi.acha visasi nyie
 
Nilijuwa lazima litaleta shida, kwani Mwenyekiti wa CCM anatakiwa KUWA Adui na viongozi wa upinzani? Mbona marekani watu wanauhuru wakuchangia hoja au kupiga kura kwa wanavyojisikia wao bila kujali kura ina m favor nani au Chama gani? Wana jamii tunatakiwa kujifunza siasa na sio ushabiki
..Sio kwamba anachotaka Mbowe ni lazima Slaa akikubali !!!!! HUO NI UMBUMBAVU KWENYE SIASA............KILA MTU ANA UHURU WA KUJIAMULIA ANACHOKITAKA .....NA KILA MTU ANAUWEZO WA KUJICHAGULIA MARAFIKI ANAO WATAKA BILA KUJALI CHAMA............... MSIFIKIRI ZITTO KAWEKWA KULE KIGOMA KAMA WABUNGE WENGINE......AKI SWICH CHAMA NA WATU WAKE WOTE WANAHAMA...........PUNGUZENI KELELE

JK KAONA ZITTO HANA KELELE NDIO MAANA KAAMUWA KUMCHUKUA WAENDE NAE SUDAN............. ATAKAAJE NDEGE MOJA NA WATU AMBAO HAWANA RAHA HATA KIDOGO KWENYE NYUSO ZAO........SAFARI ITAKUWA NGUMU SANA....
Suala siyo zitto asitoe maoni yake ila zitto asionge mambo ya chama kupitia FB,halafu hata kama zitto akiama chama kwani ndo chadema inakufa mbona sasa kuna wanasiasa wengi tu wazuri kuzidi hata huyo zitto.
Ni heri angetamka anahama chama ingekuwa safi zaidi kuliko kuwa haeleweki anataka kusimama au kukaa.
 
Sielewi hakieleweki nini.
Ni kweli kwamba outing na partinership ya Jakaya na Zitto inaweza ama ikawa inamjenga Zitto
au inambomoa, why?

Inamjenga, kwa maana nyingi sana,anapata exposure nje ya nchi na anapata exposure Ikulu,
Haya hayahitaji Uhuru wala Tanzania Daima kuandika, hata yangekaa kimya hili halifutiki.
Na kama Zitto hafanyi Jitihada zozote zile kuhakikisha kwamba anatumia opportunities hizi
kujijenga basi atakuwa anakaukilaza fulani kanamsumbua.

Kwa nini ZITTO ajijenge? what a question?

Lakini pia, hupatina huo unambomoa, na ushahidi ni mashambulizi anayoyapata hapa.
In fact anatakiwa kuwa na ngozi ngumu sana ili aweze kuexcel kwa hii strategy,
sababu mara zote ikifika kwenye public huwa inakula kwake, ushahidi ni issue ya NSSF,
Dowans, Mambo fulani fulani yaliyojiri wakati wa Uchaguzi mkuu n.k

Ushauri wangu ni kwamba katika mambo yakutafuta Political legitimacy awe makini
kuhakikisha hacollide na interests za Chama Chake.

Lakini pia, kama ameikasirikia habari hii, anatufanya tukumbuke kwamba "Ukweli Unauma"
 
Zitto hajawahi kuchafuliwa ni yeye anayejichafua mwenyewe kwa matendo yake.Tanzania Daima lina mhariri ABSALOM so huyo ndiye atoe ufafanuzi.uliza pia mbona New Habari coprtn wanasifia hata Zitto anapoteleza?wana maslahi gani kwa Zitto? Zitto kama anadhani anaweza kusimama against umma kwa unafiki wake na afanye hivyo umma utamzoa.Mara ngapi Zitto anajiweka karibu na watuhumiwa wa ufisadi anaambiwa hasikii sasa let him move machenically tuone ana nguvu gani.
Nadhani ni vizuri uwe fair na unachoandika. Propaganda hazisaidii hata kidogo. Mara ngapi tunaitreat Mtanzania kutokana na mmiliki wake? HabariLeo? JamboLeo?
 
MIKONO MIWILI HUNAWISHANA....Taabu ni kutambua wakati gani MKONO WA ATAFUTAYE HAKI UNANAWISHWA NA ULE WA MTAKA KUMTUMIA MTAKA HAKI.....Time will tell...
 
Ha ha ha ha ha ha. Kwi kwi kwi! Unanifanya nicheke kijuha juha na maneno yako.Chadema ni chama cha kidemokrasia na kitabaki hivyo. Sisi tulio ndani ya chama hiki toka kianze ndio tunajua utamaduni wa chadema. Wewe kwa kuwa ni wa kuja na ukazawadiwa ba Ubunge lazima useme hayo unayosema.Napenda nirudie kusema sina umri wa kugombea Urais kwa sasa. Nitamwunga mkono mgombea Urais wa CHADEMA atakayepitishwa ba vikao vya chama wakati utakapofika. Kwa sasa hakuna mgombea Urais CHADEMA na mie wala sioti kuwa mgombea. Kama uropokaji huu unatokana na Urais, mie simo. Kwamba sitaweza kuwa kama ningekuwa nina vigezo, unajidanganya tu na unajua unajidanganya. Chadema ni wanachama. Bring a free and fair election uone!

Come again! marytina nae ni mbunge wa viti maalum Chadema?
 
Hadi hapa mnakojadili tukio na yatokanayo na kitendo cha zitto kumtuhumu kwenye hadhira M/Kiti wake, kwa jk ni "Mission Accomplished" Anachohitaji ni kufarakanisha. Na ndilo linaloendelea.

Nakumbuka tukiwa vijana wakati wa Tanganyika yetu kuna mwaka nchi ilipigwa na njaa. US ikatupa msaada wa mahindi ya njano "YANGA" Mwl JKN alipotembelea US, Raisi FORD akaanza kumtukuza kwa kumwambia. Nyerere wewe hukustahili kuongoza Tanganyika, Ulistahili uongoze Africa nzima. Simalizii. Mwenye akili ang'amue!
 
Tunataka Zitto pekee awe malaika, asikosee, afuate taratibu na maadili yote wakati, waliomzunguka hakuna anaefata?

Au ndio wanataka kusema viongozi wengine wote wa Chadema hawana sababu ya kuandikwa negetively ila Zitto?
..................................

Ndio Hapo sasa ndio nawashangaa baadhi ya watu wanajaribu kumriticise tu ziito. Kuna msemo unasema before u criticse someone walk a mile on his shoes. great thinker yeyote aijaribu kujiweka katika postion ya ziito na kuzingatia factor zote basi tatizo sio zitto tu.

Binafsi naona huyo mhariri ndio tatizo kulikuwa na namna ya kuiandika habari hiyo hiyo bila maneno tata kwa manufaa ya CDM. Sasa kawasaidia uhuru.

Na wanaosema uhuru wa vyombo vya habari wajue uhuru una mipaka. Pamoja na uhuru huo Prority za gazeti la Mzalendo, Tz Daima Daily news haziwezi kufanana. Wote wanaweza kuandika habari moja kwa title tofauti na kwa maelezo tofauti kulinda maslahi ya taasisi zao au za wadau wao.

Na wanaoipenda CDM kikweli lazima mtafute ukweli sio kumshambulia Ziito. Huyo mhariri na boss wake kuna kitu.....
 
Katika facebook wall yake, Zito Kabwe amelilaumu gazeti la Tanzania daima kwa kuandika habari inayohusu Zitto kujengwa na Kikwete. Binafsi sina shida na lawama alizolitupia gazeti, kwa kuwa kiuhalisia kwa kuandika hivyo kunawapotezea imani wapinzani dhidi ya Zitto. Hilo naungana naye kwa asilimia nyingi, kwamba Tanzania Daima haikupaswa kuandika hivyo.Lakini kilichonisikitisha ni kitenda cha Zitto kuweka hoja zake kwa kulihusisha gazeti la Tanzania Daima na Mbowe (mwenyekiti wa CHADEMA). Sidhani kama mhariri wa gazeti anapoihariri habari huwa anampelekea Mbowe aangalie kama habari hiyo inakubalika au haikubaliki. Kwahiyo sioni mantiki ya kuihusisha habari ile moja kwa moja na Mbowe. Na kwa namna nyingine naona kama kauli ya Zitto imelenga kuibua mgogoro mwingine na viongozi wenzake ndani ya chama.Nawasilisha.
Nafikiri ungeweka status yangu ya facebook hapa ingesaidia sana. Sio vizuri kuweka habari ndivyo sivyo. Sijamlaumu mmiliki wa TanzaniaDaima. Nimeshangazwa na habari kama hiyo kuandikwa na gazeti linalomilikiwa na kiongozi wa chama changu. Habari ya kutungwa kwa madhumuni ya kisiasa. Naiweka Daima kwenye mizani ile ile tunayopima Mtanzania, habariLeo na JamboLeo.
 
Siasa yataka msimamo,na fahamu unapokuwa mwanasiasa unafuata matakwa ya umma,ambao ni wafuasi wa itakadi husika.Matendo na maamuzi ya Zito mala kadha yamekuwa na gharama [Impact] kwa siasa za chama chake.

Kama hatambui kuwa maamuzi yake na matendo yake yamekuwa yakileta mtafaruku na maswali ambayo yamekuwa na majibu ya BINAFSI zaidi kuliko INTEREST YA CHAMA CHAKE NA WAPENZI WAKE.

Kama kiongozi maamuzi na msimamo wako si wakutiliwa shaka na hao unaowaongoza.Basi kitendo cha kutiliwa shaka ni kuamsha HISIA HOJI, zenye kuitaji UFAFANUZI juu ya hicho kinachotafsiliwa na wafuasi au wanachama na viongozi wake.

Watakapochoka kuoji kwa kushindwa kupata majibu,kitakachofuata ni maamuzi yatakayo mghalimu mhusika,na hivyo ndio mwanzo wa POLOMOKO ambalo linatakiwa KWAKE kwa kuwa UMEKUBALI KUWA MTWANA WA MABWANA WAWILI.

Ndani ya vichwa vya hao MABWANA WAWILI wanachojiuliza ni hiki ''IF YOU TELL ME ABOUT OTHERS, YOU WILL TELL OTHERS ABOUT ME''
 
Ha ha ha ha ha ha. Kwi kwi kwi! Unanifanya nicheke kijuha juha na maneno yako.Chadema ni chama cha kidemokrasia na kitabaki hivyo. Sisi tulio ndani ya chama hiki toka kianze ndio tunajua utamaduni wa chadema. Wewe kwa kuwa ni wa kuja na ukazawadiwa ba Ubunge lazima useme hayo unayosema.Napenda nirudie kusema sina umri wa kugombea Urais kwa sasa. Nitamwunga mkono mgombea Urais wa CHADEMA atakayepitishwa ba vikao vya chama wakati utakapofika. Kwa sasa hakuna mgombea Urais CHADEMA na mie wala sioti kuwa mgombea. Kama uropokaji huu unatokana na Urais, mie simo. Kwamba sitaweza kuwa kama ningekuwa nina vigezo, unajidanganya tu na unajua unajidanganya. Chadema ni wanachama. Bring a free and fair election uone!
Zitto.Naomba uni-PM jina la huyo mbunge wakupewa
 
Zitto hajawahi kuchafuliwa ni yeye anayejichafua mwenyewe kwa matendo yake.
Tanzania Daima lina mhariri ABSALOM so huyo ndiye atoe ufafanuzi.
uliza pia mbona New Habari coprtn wanasifia hata Zitto anapoteleza?wana maslahi gani kwa Zitto? Zitto kama anadhani anaweza kusimama against umma kwa unafiki wake na afanye hivyo umma utamzoa.Mara ngapi Zitto anajiweka karibu na watuhumiwa wa ufisadi anaambiwa hasikii sasa let him move machenically tuone ana nguvu gani.

Marytina, kumove mechanically ndio kumove namna gani?
 
hhahahhaa Aiseeee kazi ipo.
But watu waache ushabiki hivi anayeweza kumjenga mwenzake kati ya ziito na JK kwa mazingira ya kisiasa tanzania yalivyo sasa ni nani. Mi nadhani ni ziito ndio anatumika kumjenga JK. Not otherwise na inawezekana na ziito hajui kuwa anamjenga JK.
 
Zitto ameonyesha uzalendo wake kwa kuibua maovu mengi yaliyo mark historia mpya ktk historia ya maisha ya nchi ytu,tusimtupie lawama kwa kwa hvyo vijimambo, akipotoka tumshauri na zaidi ya yote tumuunge mkono.
Katika facebook wall yake, Zito Kabwe amelilaumu gazeti la Tanzania daima kwa kuandika habari inayohusu Zitto kujengwa na Kikwete. Binafsi sina shida na lawama alizolitupia gazeti, kwa kuwa kiuhalisia kwa kuandika hivyo kunawapotezea imani wapinzani dhidi ya Zitto. Hilo naungana naye kwa asilimia nyingi, kwamba Tanzania Daima haikupaswa kuandika hivyo.Lakini kilichonisikitisha ni kitenda cha Zitto kuweka hoja zake kwa kulihusisha gazeti la Tanzania Daima na Mbowe (mwenyekiti wa CHADEMA). Sidhani kama mhariri wa gazeti anapoihariri habari huwa anampelekea Mbowe aangalie kama habari hiyo inakubalika au haikubaliki. Kwahiyo sioni mantiki ya kuihusisha habari ile moja kwa moja na Mbowe. Na kwa namna nyingine naona kama kauli ya Zitto imelenga kuibua mgogoro mwingine na viongozi wenzake ndani ya chama.Nawasilisha.
 
hhahahhaa Aiseeee kazi ipo.
But watu waache ushabiki hivi anayeweza kumjenga mwenzake kati ya ziito na JK kwa mazingira ya kisiasa tanzania yalivyo sasa ni nani. Mi nadhani ni ziito ndio anatumika kumjenga JK. Not otherwise na inawezekana na ziito hajui kuwa anamjenga JK.

At the most ni wanajengana.

Tupende tusipende Rais wa nchi ana influence kubwa kwa anaowaongoza. Tupende tusipende CCM kina wafuasi wengi na Rais/Mwenyekiti ana wa influence hawa watu.
 
hujakosea.Huyo dogo ana uwezo mkubwa mno wa propaganda na spinning.Siombei hili litokee lakini ikitokea tukaingia vitani na nchi nyingine tunayo hazina hapa ya Spin Doctor na Bingwa wa propaganda.akubali?haiwezi tokea,atapiga tu chenga za matege atakuvalisha kanzu.hilo ndiyo kundi ambalo Zitto amelipata la kumuongezea nguvu.Si unaona mwelekeo wa maandishi yake?lengo ni kuchanganya watu tu watoke kwenye hoja ya msingi.Tulishawaambia wakaimarishe mtandao wao huko NCCR, tatizo tanzania hatuna assassins wa kutosha tu

Eeh....sifa zote zangu
The fault is not yours but the dangerous assignment ( no offence) you are carrying........

BEN,

Si useme tu ?Mwanahalisi liliandika Masalia ya Zitto yapukutishwa.Hata kama walikosea kwa kukuunganisha kwenye kundi au na habari ambayo si ya kweli kwako lakini hustahili kuisifia Raia Mwema kiasi hicho.Hiyo ni campaign ya kuishusha credit mwanahalisi.acha visasi nyie

Kumbe unajua,unachekelea to in yo favour.By the way,i didnt mention any paper negatively but nimeliongelea Raia Mwema positively
 
......Chadema ni chama cha kidemokrasia na kitabaki hivyo. Sisi tulio ndani ya chama hiki toka kianze ndio tunajua utamaduni wa chadema. .......

.... Chadema ni wanachama. Bring a free and fair election uone!

Mh Zitto, technically you are suggesting that currently CDM is actually NOT DEMOCRATIC (kwa maana ya Viongozi waliopo..including yourself!...... kutopatikana kwa njia ya uchaguzi ulio huru na wa haki!). Ama nakusoma vibaya?

Inawezekana 'mivutano'/'minyukano' yote mnayoelekea kutoonesha inatokana na hili la madaraka ndani ya CDM?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom