Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
UKAWA watakuwa FINISHED kabisa mara tu watakapomshirikisha ZZK katika mikakati yao. Of course ZZK na CCM watapenda UKAWA wamwalike Zitto ili aendelee na kibarua alichokuwa nacho kule CHADEMA.