Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

Akihojiwa na radio ya Ujerumani (DW) , Zitto amesema ili kuing'oa CCM madarakani vyama vya upinzani vinapaswa kushirikiana au kuungana!

Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!

Hatuwezi kuongea lugha moja
 
Attachments

  • 1427196832935.jpg
    1427196832935.jpg
    11.5 KB · Views: 581
Akihojiwa na radio ya Ujerumani (DW) , Zitto amesema ili kuing'oa CCM madarakani vyama vya upinzani vinapaswa kushirikiana au kuungana!

Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!

Anaunga mkono ukawa hali umeshaleta mpasuko? Anafikiri wafuasi wake watapigia kura ukawa?
 
Ulikuwa unaangalia bunge la katiba la nchi gani? Mbona ZZK alikuwa pamoja na UKAWA ikiwa ni pamoja na kupinga muundo wa serikali mbili na hata waliposusia vikao vya bunge la katiba naye hakuthubutu kuhudhuria vikao tena.

Acha unafiki mkuu.

Hapana zitto alitamka kuwa yeye sio.ukawa kama issu.ni kutohudhuria hata mohamed dewji hakuhudhuria kwani nae ikawa?
 
...daah kirusi kinatafuta pa kuingilia kuharibu upinzani, mbona alipokuwa chadema alionyesha wazi haungi mkono msimamo wa chama/ukawa hasa kwenye bunge LA katiba. Leo nini kimemgeuza akaipenda ukawa ghafla. plan c at work...
usiandike vitu usivyovijua kisa tu umebugia bange. rejea kauli za zitto huko nyuma na hata kuna thread humu inaongelea juu ya zitto kuungana na ukawa hata kufikia kususia bunge la katiba. kwa maana ingine sio kwamba alisema tu anaungana na ukawa bali hakuhudhuria kabisa vikao baada ya ukawa kususia. chuki zenu zimewapofusha hata hamuoni wa hamsikii, na mbaya zaidi hamfikirii.
 
Hapana zitto alitamka kuwa yeye sio.ukawa kama issu.ni kutohudhuria hata mohamed dewji hakuhudhuria kwani nae ikawa?
nyie ndo miongoni mwa machizi wenyewe waliojaa humu mnapinga mpaka ukweli mweupe. zitto aliweka wazi kukubaliana na ukawa na hakwenda bungeni tena baada ya ukawa kususa kutokana na ccm kukiuka katiba pendekezwa ya warioba. tumia akili kufikiria na sio makalio.
 
Ni kweli kabisa hapa hakuna aliyekuwa anajua kila kitu, tunaelimishana na JF ni shule ya aina yake katika maisha yetu ya kila siku iwe kwenye mahusiano, siasa za nchi yetu na mambo mengine chungu nzima.

I wish wote tungejua UMUHIMU wa mitandao ya jamii kama ikitumika vyema.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani mnakumbuka Wakati wa Bunge la katiba Zitto, aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu ukawa akajibu kuwa "UKAWA NI WASAKA TONGE" leo anasema anaunga Mkono Ukawa, kivip jamani huyu Zitto mbona Kigeugeu.
 
labda laana ya baba yake. hata sisi hatujui huyo nyepesi kakumbwa na usaliti wa kila kitu
 
usiandike vitu usivyovijua kisa tu umebugia bange. rejea kauli za zitto huko nyuma na hata kuna thread humu inaongelea juu ya zitto kuungana na ukawa hata kufikia kususia bunge la katiba. kwa maana ingine sio kwamba alisema tu anaungana na ukawa bali hakuhudhuria kabisa vikao baada ya ukawa kususia. chuki zenu zimewapofusha hata hamuoni wa hamsikii, na mbaya zaidi hamfikirii.
...usitoke povu bure basi, nilisikiliza kauli yake mara baada ya ukawa kutoka bungeni alipohojiwa na clouds fm, hakusema anaunga mkono ukawa bali alisema kubaki bungeni ni kupoteza kodi za wananchi kwa kuwa akidi haitatimia. Tuliza akili bwana mdogo, kwa watu serious lazima uchukie wasaliti na mbinu zao endelevu za kutaka kuharibu juhudi za kukomboa taifa. Kuchekacheka kwa watu kama wewe kutatuletea rais wa kuchekacheka na dhaifu. Kamwe hatutawachekea wasaliti....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu si aliwapinga UKAWA akidai kuwa ni Wasakatonge? Anaitakia nini UKAWA sasa?

Zitto si aliunga mkono kauli ya Chenge kuwa watuhumiwa wa kashfa ya Escrow (akiwemo Chenge) wasiadhibiwe na Bunge ila ziachiwe mamlaka nyingine ziamue.
Matokeo yake tukaona Tume ya maadili ilivyokuwa inapewa majibu ya nyodo, dharau na majivuno na watuhumiwa wa Escrow.
 
...usitoke povu bure basi, nilisikiliza kauli yake mara baada ya ukawa kutoka bungeni alipohojiwa na clouds fm, hakusema anaunga mkono ukawa bali alisema kubaki bungeni ni kupoteza kodi za wananchi kwa kuwa akidi haitatimia. Tuliza akili bwana mdogo, kwa watu serious lazima uchukie wasaliti na mbinu zao endelevu za kutaka kuharibu juhudi za kukomboa taifa. Kuchekacheka kwa watu kama wewe kutatuletea rais wa kuchekacheka na dhaifu. Kamwe hatutawachekea wasaliti....
unachekesha. hata nikukuuliza huo usaliti wa Zitto ni upi sidhani kama una jibu zaidi ya kukaririshwa na hao viongozi wako. hujiulizi tu ni kwa nini hao viongozi wako hawakufuata taratibu kumvua uongozi na hata kumfukuza uanachama bila kumpa mtuhumiwa nafasi ya kujitetea? hata wale madiwani wa arusha walipewa nafasi, kwa nini sio kwa zito?
wanajua fika wanamfukuza kwa hila na kumpa nafasi ni kuruhusu ukweli ujulikane. walichofanya ni kuwaajiri misukule kama nyinyi mitandaoni ili kila kukicha kumzushia uongo. na kwa hilo mmefanikisha sana maana tuhuma za zitto ni za mitandaoni na hazihitaji vikao halali kama baraza kuu la chama. bila shaka sasa hivi mnafuraha ya kutosha, fanyeni yenu muacheni na zitto afanye yake. tukutane october.
 
....hahhahhaahaaaa eti tukutane October..!! hahhahahhaa daah umenichekesha sana, unajua kijana kuna vitu unavitetea kwa reference za porojo za kwenye mitandao. Bwanamdogo zito anajua alishavuliwa uchadema tangu mwaka jana,ndo maana akaenda mahakamani ili aweke mambo sawa. Sinahaja ya kurudia usaliti na njama ovu za zito,ushahidi upo na ndo maana wajumbe walimvua uanachama tangu mwaka jana. Fahamu kuwa aliitwa kujitetea na hoja zake hazikuwa na mashiko akapigwa chini palepale akakimbilia mahakamani. Unafahamu hoja ya kesi ya zito dhidi ya cdm ? Msingi wa kesi yake ni uhalali wa maamuzi na chombo kilichotoa maamuzi, na si kulalamika kwamba hakupewa nafasi ya kujitetea, that means alijitetea bali haafiki hukumu na uhalali wa mtoa hukumu na si kama unavyoamini wewe.

Kama kuna ukweli unafichwa, nadhani sasa anauhuru woooote wa kusema, kama si msaliti, kwa nini wale wooote waliofukuzwa kwa usaliti ndo washirika wake wa karibu ? Kumbuka hakuna mwenye taimu na zito ndo maana hakuna anayemfuatilia mara baada ya kuangukia pua mahakamani. Tunafuraha kwakuwa tumemtupa mbali msaliti...
 
Mbona alishindwa kuplan ashinde viti vingi vya udiwani jimboni kwake akapata kimoja?
 
hata kwenye post yako tu kuna jibu la kuvarify nilichokiandika au hicho unachokiuliza. ''uhalali wa maamuzi na chombo kilichotoa maamuzi''. wakati mwengine uwe unasoma na kutafakari unachopost maana unaweza kujiaibisha.
After all sioni sababu ya kubishana na wewe msukule uliyekaririshwa. tumuache zitto afanye yake na nyie fanyeni yenu, tukutane october. I won't be back. kwa heri.

....hahhahhaahaaaa eti tukutane October..!! hahhahahhaa daah umenichekesha sana, unajua kijana kuna vitu unavitetea kwa reference za porojo za kwenye mitandao. Bwanamdogo zito anajua alishavuliwa uchadema tangu mwaka jana,ndo maana akaenda mahakamani ili aweke mambo sawa. Sinahaja ya kurudia usaliti na njama ovu za zito,ushahidi upo na ndo maana wajumbe walimvua uanachama tangu mwaka jana. Fahamu kuwa aliitwa kujitetea na hoja zake hazikuwa na mashiko akapigwa chini palepale akakimbilia mahakamani. Unafahamu hoja ya kesi ya zito dhidi ya cdm ? Msingi wa kesi yake ni uhalali wa maamuzi na chombo kilichotoa maamuzi, na si kulalamika kwamba hakupewa nafasi ya kujitetea, that means alijitetea bali haafiki hukumu na uhalali wa mtoa hukumu na si kama unavyoamini wewe.

Kama kuna ukweli unafichwa, nadhani sasa anauhuru woooote wa kusema, kama si msaliti, kwa nini wale wooote waliofukuzwa kwa usaliti ndo washirika wake wa karibu ? Kumbuka hakuna mwenye taimu na zito ndo maana hakuna anayemfuatilia mara baada ya kuangukia pua mahakamani. Tunafuraha kwakuwa tumemtupa mbali msaliti...
 
Akiwa anaongea na dv mh zitto kabwe amesema ukawa wana nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi kwenye uchaguzi wa mwaka huu
Chanzo dv
 
Back
Top Bottom