Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

Aanzishe umoja wake...aunganishe vyama vya TLP, UDP,ADC, TPP na vingine vichovu vilivyoanzishwa kwa mkono wa CCM
ACT niwapinzani wa kweli! Kujiunga na UKAWA ni lazima hatakama CHADEMA hawataki.
 
Mnafiki mkubwa huyu bwana Zitto haaminiki hata nukta moja anaongea haya ili akaribishwe Ukawa ili atuvuruge
 
Labda aunganishe CCM,TLP na UDP waite vyama wasaliti .
 
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila ukawa kushirikiana na Zito kazi bure,Zito ni master plan in Tanzania political arena.[/QUOT

Nenda katoe huo uchafu tumboni huko chooni ujipange kuja kumpa line ya tigo zito ili umuongezee umaarufuE]
 
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila ukawa kushirikiana na Zito kazi bure,Zito ni master plan in Tanzania political arena.
Hili Taifa tunawatu wasio jiweza kabisa, yaani UKAWA nzima ishindwe sababu ya Zitto.?

Namheshim Zitto lakini sio kwa msimamo wa kipuuzi kama huu.
 
Ni jana tu Mwingamba katangaza kuwa wanampango wa kukisambaratisha chama cha CUF,chama mojawapo kinachounda UKAWA.

Zitto badala ya kutoa tamko lolote la kukanusha ama kukubaliana na kile kilichosemwa na Mwigamba naye amekuja na lingine la kuwakubali UKAWA wakati chama chake kina viashiria vyote vinavyoonyesha kuwa kimeanzishwa rasimi kusambaratisha upinzani.
 
Zitto ni mnafiki amesahau juzi alisema UKAWA ni wasakatonge hata wiki haijapita kaanza ku feel uzito wa kuendesha chama.

Angekuwa anamaanisha anachokisema asingeanzisha chama kipya kuzidi kugawa kura, aache unafiki aungane na SAU hatuwezi kufukuza nyoka kwa mlango huu na kumrudisha kwa mlango ule.

Enzi za agano la kale na Joshua, Angekuwa mtu kama huyu jamaa angekuwa kashauliwa zamani, usiache msaliti na mchawi aishi.
 
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila ukawa kushirikiana na Zito kazi bure,Zito ni master plan in Tanzania political arena.
msaliti ataendeleza usaliti ndani ya ukawa... au umesahau alivyouza jimbo kwa Nimrod mkono? shauri yenu jamaa haamini huyo kama vp aungane na hamad rashid waanzishe umoja wao
 
Back
Top Bottom