Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila ukawa kushirikiana na Zito kazi bure,Zito ni master plan in Tanzania political arena.
msaliti ataendeleza usaliti ndani ya ukawa... au umesahau alivyouza jimbo kwa Nimrod mkono? shauri yenu jamaa haamini huyo kama vp aungane na hamad rashid waanzishe umoja wao
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila ukawa kushirikiana na Zito kazi bure,Zito ni master plan in Tanzania political arena.
Aanzishe umoja wake...aunganishe vyama vya TLP, UDP,ADC, TPP na vingine vichovu vilivyoanzishwa kwa mkono wa CCM
...daah kirusi kinatafuta pa kuingilia kuharibu upinzani, mbona alipokuwa chadema alionyesha wazi haungi mkono msimamo wa chama/ukawa hasa kwenye bunge LA katiba. Leo nini kimemgeuza akaipenda ukawa ghafla. plan c at work...
Zito ni nimsaliti tena narudia ni msaliti nambatiza si zito tena kwa sasa anaitwa YUDA ISKALIOT.je akipewa hayoo ! kweli hatoisaliti nchi mama Tanzania ???!
Ulichoandika ni upambe tu huyo ni master planner wa usaliti.Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
hamuoni ipo haja ya kuacha kumjadili mtu huyu! au?
hamuoni ipo haja ya kuacha kumjadili mtu huyu! au?[/QUOTE]Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!
Master plan ndani ya Upinzani ili kuua UPINZANIMkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
Uliona wapi konokono akashindana na duma kwa mbio? Hatutaki unafkiAkihojiwa na radio ya Ujerumani (DW) , Zitto amesema ili kuing'oa CCM madarakani vyama vya upinzani vinapaswa kushirikiana au kuungana!
Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.