Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
hivi hakuna mambo mengne ya kujadili?
Leta hoja au unataka tukujadili wewe
hivi hakuna mambo mengne ya kujadili?
Wosia wa msaliti kwenda kwa wasaliti wote nchi nzima, vibaraka wa maCCM, watumikia matumbo wasiyo haya wala soni usoni,
ACT ni kikundi kidogo cha watu wafitini, wadini, wakabila wasio hekma wenye husda moyoni, hakika historia itakumbuka wapuuzi hawa wenye uchu wa madaraka.
Wanaanda jeshi mbuzi kupambana na nguvu ya umma, wana damu ya isaliti na watazidi kusalitiana milele mpaka vizazi vyao 7 vipite, watanzania tumewabaini tawi la CCM n si
Ukawa si mali ya CHADEMA so hamuwezi kusema Zitto asiingie ukawa.

Tulikuwa na mrema wa vunjo na sasa tuna mrema wa kigoma
...daah kirusi kinatafuta pa kuingilia kuharibu upinzani, mbona alipokuwa chadema alionyesha wazi haungi mkono msimamo wa chama/ukawa hasa kwenye bunge LA katiba. Leo nini kimemgeuza akaipenda ukawa ghafla. plan c at work...
kumuelewa zitto inahitaji uwe umevuta ganja kubwa kuliko vidole vya kingkong.
Amedai kuwa yeye anafuata falsafa ya Dr. Kwame Nkrumah kwamba "Mbele daima nyuma mwiko"!Akae huko huko huyu msaliti, anataka aingie UKAWA anusenuse mikakati ya UKAWA kisha aende TISS apeleke habari nyeti za ndani ya UKAWA. Huyu si mtu wa kuaminika hata kidogo UKAWA wasifanye makosa ya kumkaribisha huyu. Usaliti alioufanya ndani ya CHADEMA umetosha na hadi hii leo hataki kuomba radhi kwa usaliti mkubwa alioufanya.
...daah kirusi kinatafuta pa kuingilia kuharibu upinzani, mbona alipokuwa chadema alionyesha wazi haungi mkono msimamo wa chama/ukawa hasa kwenye bunge LA katiba. Leo nini kimemgeuza akaipenda ukawa ghafla. plan c at work...
Jana Samson Mwigamba kasema ACT inajipanga kuhakikisha inaifuta kabisa CUF maeneo ya yote ya pwani, Leo Zitto anasema anaunga mkono UKAWA:
Tuweni wa kweli tu, hawa Act wanaijua dira yao muhimu ni ipi?
Kwa nini asiungane na kushirikiana na Mwenyekiti wa ACT aliyemkuta, ndugu Lucas Kadawi Limbu?
Hawa ndio wanaomstahili maana hatuitaji tena mamuluki na wapelelezi, hatuna utamaduni wa kuvumilia wasaliti, wanataka tuongee nao nini wakati wao wana siasa tofauti na sisi, waende zao huko.Amtafute lyatonga Mrema,Hamad Rashid dovutwa,Cheyo Mtikila waunde umoja wao
Akihojiwa na radio ya Ujerumani (DW) , Zitto amesema ili kuing'oa CCM madarakani vyama vya upinzani vinapaswa kushirikiana au kuungana!
Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!
Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amejitapa chama chake kuteka mikoa ya Pwani kisiasa hasa mikoa ya Mtwara,Lindi na Pwani.
Akizungumza na Radio Times hapo jana Mwigamba amesema hiyo ni moja ya agenda yao kubwa kwani wananchi wa mikoa ya Pwani wanazo rasilimali nyingi yakiwemo Mafuta lakini wamekosa mtetezi wa kweli....
Alipoulizwa kuhusu chama cha CUF ambacho kina ngome kubwa Zanzibar na kwenye mikoa ya Pwani, Mwigamba amesema ACT itahakikisha inapokonya ngome za chama hicho kwani kimeshindwa kuwaletea wananchi mabadiliko waliyotarajia.
...leo ndo hana tatizo na ukawa, mbona wakati wa BMK alihojiwa na clouds akai diss ukawa na uamuzi wao wa kususia bunge. na pia akasema haoni umuhimu wa kuendelea na BMK maana alijua akidi ya znz haitatimia lakini hakutoka kwa kuunga msimamo wa ukawa. Pia kauli zake mara kadhaa zimekuwa kinyume na ukawa, leo anatafuta mbeleko ndo anaona ukawa ya maana...Zitto kama mwanasiasa hana tatizo na ukawa, kwani chadema si wamekula matapishi yao, yaani wameungana na waliberal CUF ilikupata nguvu kwenye Bunge la katiba na chaguzi za serikali za mitaa, wakisha maliza uchaguzi mkuu CUF watatelekezwa na kutukanwa kama awali
Guys, let's talk about issues and not individuals. Big brains do not waste their time talking about people!!!
Hebu mwacheni Zitto aendelee na mambo yake, acheni kulidhalilisha jukwaa!!!