MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Sasa vijana pumzikeni kumjadili Zitto, mnapata hata muda wa kula kweli?
Akihojiwa na radio ya Ujerumani (DW) , Zitto amesema ili kuing'oa CCM madarakani vyama vya upinzani vinapaswa kushirikiana au kuungana!
Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!
Sasa vijana pumzikeni kumjadili Zitto, mnapata hata muda wa kula kweli?
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
Kwani Amesaliti Nini Mbona Siwaelew
hamuoni ipo haja ya kuacha kumjadili mtu huyu! au?[/QUOTE]Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!
Hata marehemu huwa anajadiliwa ili kujua ugonjwa uliomuua unaweza kuwa ugonjwa wa kuambukiza ili jamii iweze kujiepusha.Sasa vijana pumzikeni kumjadili Zitto, mnapata hata muda wa kula kweli?
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
Hapa JF amevunja rekodi, wafuasi wa CHADEMA wanaanzisha thread mpya kumhusu Zitto kila baada ya robo saa!zito ---- tu alitegemea jana angeanza kutengeneza heading kwenye magazeti ,record ambayo ingedumu wiki mbili, kashangaa record imedumu masaa matatu tu ,watu wanaendelea na yao
ni kweli mkuu, je ghafla akifa, una maana wanao mfwata fwata siasa kwao ndio basi?!.CCM yalisema UKAWA haiwezi kufika mwezi mmoja tangu waondoke bungeni BMK, wakasema ati posho itawarudisha wengi. Hakurudi hata mmoja. Wakasema madaraka yatawasambaratisha kwani kila mmoja ana uchu wa madaraka. Mpaka leo, uchaguzi wa serekali za mitaa umeonesha ukomavu wa UKAWA yene miezi tuu tangia izalike.
Sasa, walisema akiondoka ZZK CDM kwisha habari. Wakaona hakuna mtikisiko. Sasa wanataka kumleta UKAWA ili waseme CDM ni wabaguzi, lazima wampokee kwani ni wa upinzani.
Waambieni maccm, ACT si wapinzani, walianzishwa na ccm kuuharibu upinzani, wamefanikiwa kumnasa huyo mbigili zzk ili akiweza tu kuupenya upinzani, baasi aanze fitna zake na mbwembwe zake atuvuruge. Tumejitosheleza, hatuhitaji mtu mwenye mvuto wake pekee, tunataka chama chenye mvuto sio mtu.
Ushauri kwa zzk, amwone mzee wa Kiraracha, amwone mzee mapesa, wako kina UPDP wako wengi tu waliokaa BMK wakivuta noti zao. Huo ni mtaji tosha kununulia kura.
Sisi tulio waachia hizo noti, hatuna kitu cha kuhonga, tutawaendea wananchi tuwaeleze ya moyoni hatuhitaji kujulikana kwa mtu ni chama. UKAWA yatoshaaaaaa.
...daah kirusi kinatafuta pa kuingilia kuharibu upinzani, mbona alipokuwa chadema alionyesha wazi haungi mkono msimamo wa chama/ukawa hasa kwenye bunge LA katiba. Leo nini kimemgeuza akaipenda ukawa ghafla. plan c at work...
Mkuu si Zitto huyohuyo aliyewaita UKAWA wasaka tonge,leo hii na yeye ameshageuka msaka tonge.Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
Akihojiwa na radio ya Ujerumani (DW) , Zitto amesema ili kuing'oa CCM madarakani vyama vya upinzani vinapaswa kushirikiana au kuungana!
Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!
Aanzishe umoja wake...aunganishe vyama vya TLP, UDP,ADC, TPP na vingine vichovu vilivyoanzishwa kwa mkono wa CCM
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
Na kuna waliojiunga na ACT jana huku wakitamba wapo kuisambaratisha CHADEMA.... Leo mwenyekiti wao mtarajiwa akisema anaikubali UKAWA....