Wangama guy
Senior Member
- Feb 16, 2012
- 191
- 27
Afafhali kama analitambua hili
Wataisoma namba mwaka huu.
Wataisoma namba mwaka huu.
Hizo sababu ulizozitoa siyo za Zitto ni zako binafsi.Ileje
Sasa huyo ZITTO platform ya CHAMA CHAKE KIPYA ni NINI ???
Sababu ameondoka CHADEMA sababu anasema kuna Imani alizonazo CHADEMA walishindwa kuzikubali au kuzipokea ndani ya CHAMA...
Hiyo Platform ndio itakayowawezesha Wananchi kujiunga na chama hicho; Isiwe ikawa anataka UMIMI -- kuanza kuchaguana kwa SURA na sio vyama hence Mnayempenda kwenye chama hicho akipata Madhara, na nyie Mnapata Madhara na kukihama CHAMA...
Mfano; Angalia CHAMA CHA DEMOCRAT cha USA... kina Platform kibao na zingine zinawagawa wanachama - lakini kuna MOJA au MBILI zinawaunganisha... i.e GAY's -- BLACK AMERICANS hawataki kusikia kitu Mimi ni GAY au LESBIAN wanakufukuza hata NYUMBANI kwao... Lakini Platform ya kuwakubali GAY iko ndani ya chama cha DEMOCRAT na pia PLATFORM ya SOCIAL SECURITY Assistance ambayo BLACK AMERICANS wanaipenda... HENCE nenda rudi... BLACKS wanaichagua DEMOCRAT...
Sasa ni kwanini ZITTO asikifanye chama alichokitoka kiwe na PLATFORM MBALIMBALI kuliko hiyo MOJA aliyoondoka nayo???
It is a SHAME; Kila Mwafrika AFRICA ni URAIS TUUUUUUUU...
Akiwa anaongea na dv mh zitto kabwe amesema ukawa wana nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi kwenye uchaguzi wa mwaka huu
Chanzo dv