brazilian
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 604
- 112
Hili ni gamba! Embu aulizwe kwa mwaka huu amefungua matawi mangapi ya chama akiwa kama naibu katibu mkuu?
Sio swali: Nosense
Hili ni gamba! Embu aulizwe kwa mwaka huu amefungua matawi mangapi ya chama akiwa kama naibu katibu mkuu?
Akichangia wizara ya mawasiliano na uchukuzi leo bungeni, mh zitto kabwe ametetea wasanii kuhusu fedha kidogo wanazolipwa kutokana na nyimbo zao kutumika kama ringtones. amesema wasanii wanalipwa chini ya 10% ya mapato ya ringtones. kampuni za simu zinachukua 90%! ameomba serikali iliangalie suala hili kwa ukaribu mkubwa.
Amesema kuwa amesikia maneno mengi baada ya kuwaunganisha wasanii wenye asili ya kigoma. ameendelea kuwa nia yake ni ya kuundeleza mkoa wa kigoma na kutetea maslahi ya wasanii kwa ujumla. "nashangaa watu wanalihusisha na urais!" "Mungu akitaka mtu awe rais hakuna anaeweza kuzuia." kwa taarifa yenu "uadilifu wa kuwa amiri jeshi mkuu wa taifa letu ninao". hata yakisemwa maneno mengi lkn Mungu akitaka hakuna wa kunizuia.
MY TAKE:
niliwahi kuandika hapa jf makala kuhusu hali ngumu ya kinyng'anyiro cha urais chdm. Lissu anautaka, Zitto anautaka, mbowe nautaka na slaa nautaka. slaa ameoa ili 2015 aondoe maneno kuwa hana mke halali. nasikia mbow yuko singapore na japan. inasemekana hakuhudhuria harusi ya slaa japo hili sina ushahidi nalo. wadau mnaweza kunipansha ukweli wa hili.
chdm wasipoangalia, urais utakimega chama vipandevipande. zitto anaungwa mkno na wabunge vijana na anaendelea na uhamasishaji. mtei aliwahi kumuambia kuwa "chama kina wenyewe" hapo chacha!!!!!! kazi ipo
wakatabahu: wakuziba
Kwa viegezo vyake yeye mwenyewe anauwezo, lakini kwa viegezo vya wengi anapwaya. Lakini pia tukiri kuwa anauwezo mkubwa kuliko aliyepo