Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

Mi sija kata zito awe rais! Ila kwanini aongee-ongee? Na kama anasingiziwa kwanini asikanushe? Cdm kina wakati mgumu wakurusha mkuki kwa adui, kumbe ndani kuna adui sawa na unaye mrushia mkuki!!
 
No comment.

Mbona January Makamba naye anautaka urais lakini YUPO MAKINI?
Whatsup with this dude?
 
Nyerere alisema hayoooo

Kwani kuwa mzalendo na kulitumikia taifa lazima uwe Rais?

Fanya kazi watanzania tukuone, ikifika wakati tutakuita wenyewe.

Kwani Mwinyi ama Mkapa walipokuwa mawaziri walikuwa wanatamka mambo ya Urais?

Sasa tuangalia huyu aliyeota uraisi na kuunda mtandao? Alikimbilia Ikulu, angalia mambo yanayofanyika!!!!

Nawaonya wananchi wa Tanzania na Wanachama Wa CDM, wale woote wanaotaka uraisi sana, tuwachunguze na kuwaangalia kwa jicho la husuda.

Asanteni Watanzania kwa Likes Nyingi. Tushirikiane wote ili mwaka 2015 tupate rais mzalendo kama Nyerere.

Tuepuke wanaounda mtandao
 
uluki anuk inin inamaj anobm alik utm akatapana? isab an imim anin ozewu aw azognouk an in ufilibaum, akatan awuk SIAR akawm 5102. inieigipin ebed anaw FJ.
 
Zito na jamaa wa magogoni wote vilaza tu, Zito akiwa rais basi afadhali nchi tumpe Kagame atushikie kidogo mpaka tutakapoweza kufikiri sawasawa
 
Kwa akili zangu chache sifikiri wala sidhani kweli kwamba Mbunge wa Kigoma kaskazini Bw Kabwe zitto ana uwezo wa kuwa President, naona anajitafutia lawama tu, embe wadau nisaidieni
 
Kwa akili zangu chache sifikiri wala sidhani kweli kwamba Mbunge wa Kigoma kaskazini Bw Kabwe zitto ana uwezo wa kuwa President, naona anajitafutia lawama tu, embe wadau nisaidieni

Kasadiane na mme wako

Zitto ana nini cha ajabu toto limekuwa fisadi na libinafsi
 
Kwa akili zangu chache sifikiri wala sidhani kweli kwamba Mbunge wa Kigoma kaskazini Bw Kabwe zitto ana uwezo wa kuwa President, naona anajitafutia lawama tu, embe wadau nisaidieni

Yeye anaona anaweza haalafu wewe unakuwa na hofu? kwani anakuja kukaa juu ya mgongo wako wakati wa urais wake? Mwacheni kijana wa watu afanye siasa bana.
 
tukusaidie nini sasa ?? mtu yeyote yule mwenye miaka 40 na mwenye akili timamu.
kama kaweza jk hakuna atakayeshindwa kwani i will pick zitto over jk in heartbeat.
 
Kwa akili zangu chache sifikiri wala sidhani kweli kwamba Mbunge wa Kigoma kaskazini Bw Kabwe zitto ana uwezo wa kuwa President, naona anajitafutia lawama tu, embe wadau nisaidieni

kura yangu kaikosa,nitampa mnyika ubunge kama atagombea..urais nitafikiria
 
Back
Top Bottom