Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

unajua huyu jamaa ni mpuuzi sana, nimemsikiliza kwa makini baada ya kuchangia na akaishiwa maneno akaanza ohhh, haya yanayosemwa mitaani yatapita, alafu akafumba tena maneno...uwezo, nguvu, yakuwa amiri jeshi mkuu, upo.

Mimi nataka nimwambie wazi ...huyu bwana mdogo, na ninajua ataisoma hii, naungana na mdau mmoja hapa,alisema, Siku CHADEMA wakikuchagua kugombea URAISI wa Tanzania, narudisha kadi ya chadema na nitaipigia CCM kura hata wakisimamisha Jiwe.

Hivi zito Ikulu unataka nini? Si wewe uliyewahi kusema uliingia kwenye siasa kwa bahati mbaya wala hukupenda kuwa mwanasiasa na huipendi siasa, na unafikiria kutoka? sasa kulikoni ikulu?

Ikulu si pango la vibaka, kila siku unageuka na maneno mnafiki kuliko hata KIKWETE, tukikupa nchi si ndio tumekwisha, kama kikwete tu kaaribu kiasi hiki wewe je?

Na hivi si zito huyu aliyekuwa anatapa tapa jimbo la kugombea uchaguzi uliopita, mara kinondoni, mara sijui wapi...Huu ndio uwezo wa kuwa Amiri jeshi mkuu wa Tanzania? SHAME ON U LITTLE BOY, A PROSPECTED RAIS WA KIGOMA..GO IN HELL BEFORE DAYS SENDS U.

pili Hivi zito atakuwa na miaka ya kutosha kugombea urais mwaka 2015 (Sina uhakika wadau ni saidieni hili?

MAKAMANDA wote ni muda wakusimama na kumwambia ZITO ukiutaka urais kupitia CHADEMA imekula kwako, anyway najua utahama tu kwani unatumiwa na hao makada.
 
Hivi Edgar Tenga nae ni rais wa nini vile?
Urais ni haki ya kikatiba ya yeyote. Hata matonya wa Dodoma akipata upenyo anaukwaa urais wa Tz.
.
 
Akichangia wizara ya mawasiliano na uchukuzi leo bungeni, mh zitto kabwe ametetea wasanii kuhusu fedha kidogo wanazolipwa kutokana na nyimbo zao kutumika kama ringtones. amesema wasanii wanalipwa chini ya 10% ya mapato ya ringtones. kampuni za simu zinachukua 90%! ameomba serikali iliangalie suala hili kwa ukaribu mkubwa.

Amesema kuwa amesikia maneno mengi baada ya kuwaunganisha wasanii wenye asili ya kigoma. ameendelea kuwa nia yake ni ya kuundeleza mkoa wa kigoma na kutetea maslahi ya wasanii kwa ujumla. "nashangaa watu wanalihusisha na urais!" "Mungu akitaka mtu awe rais hakuna anaeweza kuzuia." kwa taarifa yenu "uadilifu wa kuwa amiri jeshi mkuu wa taifa letu ninao". hata yakisemwa maneno mengi lkn Mungu akitaka hakuna wa kunizuia.

MY TAKE:
niliwahi kuandika hapa jf makala kuhusu hali ngumu ya kinyng'anyiro cha urais chdm. Lissu anautaka, Zitto anautaka, mbowe anautaka na slaa anautaka. slaa ameoa ili 2015 aondoe maneno kuwa hana mke halali. nasikia mbow yuko singapore na japan. inasemekana hakuhudhuria harusi ya slaa japo hili sina ushahidi nalo. wadau mnaweza kunipasha ukweli wa hili.

chdm wasipoangalia, urais utakimega chama vipandevipande. zitto anaungwa mkno na wabunge vijana na anaendelea na uhamasishaji. mtei aliwahi kumuambia kuwa "chama kina wenyewe" hapo chacha!!!!!! kazi ipo

wakatabahu: wakuziba
 
Akichangia wizara ya mawasiliano na uchukuzi leo bungeni, mh zitto kabwe ametetea wasanii kuhusu fedha kidogo wanazolipwa kutokana na nyimbo zao kutumika kama ringtones. amesema wasanii wanalipwa chini ya 10% ya mapato ya ringtones. kampuni za simu zinachukua 90%! ameomba serikali iliangalie suala hili kwa ukaribu mkubwa.

Amesema kuwa amesikia maneno mengi baada ya kuwaunganisha wasanii wenye asili ya kigoma. ameendelea kuwa nia yake ni ya kuundeleza mkoa wa kigoma na kutetea maslahi ya wasanii kwa ujumla. "nashangaa watu wanalihusisha na urais!" "Mungu akitaka mtu awe rais hakuna anaeweza kuzuia." kwa taarifa yenu "uadilifu wa kuwa amiri jeshi mkuu wa taifa letu ninao". hata yakisemwa maneno mengi lkn Mungu akitaka hakuna wa kunizuia.

MY TAKE:
niliwahi kuandika hapa jf makala kuhusu hali ngumu ya kinyng'anyiro cha urais chdm. Lissu anautaka, Zitto anautaka, mbowe nautaka na slaa nautaka. slaa ameoa ili 2015 aondoe maneno kuwa hana mke halali. nasikia mbow yuko singapore na japan. inasemekana hakuhudhuria harusi ya slaa japo hili sina ushahidi nalo. wadau mnaweza kunipansha ukweli wa hili.

Wacha maneno ya uchonganishi wewe, duuu hivi mnalipwa kiasi gani kwa shughuli hii
 
Mi nasubiri video kwanza ndo ntajua kwel wewe ni unauweza uamiri jeshi usipoleta utakuwa uuwezi
 
zitto hawezi, Mbowe alishajaribu alishindwa, slaa alijaribu akashinda. watz hapo nani ajaribu?
 
  • Thanks
Reactions: ANY
Huyo ndio wakuziba bana.

Slaa nimepishana nae weekend anaenda Mbweni kwenye Landcruiser nyeupe utafikiri ndio ameshakuwa rais tayari.:happy:
 
Chanzo cha matamanio na hisia za kila mmoja kuhisi kuwa anaweza kuongoza nchi ni kuwa na Rais DHAIFU amabaye wadhaifu wenziwe wakimchukulia kama benchmark wanajiona wao ni hafadhari maradufu na hivyo kuona Urais ni kazi nyepesi tu!
 
Akichangia wizara ya mawasiliano na uchukuzi leo bungeni, mh zitto kabwe ametetea wasanii kuhusu fedha kidogo wanazolipwa kutokana na nyimbo zao kutumika kama ringtones. amesema wasanii wanalipwa chini ya 10% ya mapato ya ringtones. kampuni za simu zinachukua 90%! ameomba serikali iliangalie suala hili kwa ukaribu mkubwa.

Amesema kuwa amesikia maneno mengi baada ya kuwaunganisha wasanii wenye asili ya kigoma. ameendelea kuwa nia yake ni ya kuundeleza mkoa wa kigoma na kutetea maslahi ya wasanii kwa ujumla. "nashangaa watu wanalihusisha na urais!" "Mungu akitaka mtu awe rais hakuna anaeweza kuzuia." kwa taarifa yenu "uadilifu wa kuwa amiri jeshi mkuu wa taifa letu ninao". hata yakisemwa maneno mengi lkn Mungu akitaka hakuna wa kunizuia.

MY TAKE:
niliwahi kuandika hapa jf makala kuhusu hali ngumu ya kinyng'anyiro cha urais chdm. Lissu anautaka, Zitto anautaka, mbowe nautaka na slaa nautaka. slaa ameoa ili 2015 aondoe maneno kuwa hana mke halali. nasikia mbow yuko singapore na japan. inasemekana hakuhudhuria harusi ya slaa japo hili sina ushahidi nalo. wadau mnaweza kunipansha ukweli wa hili.

chdm wasipoangalia, urais utakimega chama vipandevipande. zitto anaungwa mkno na wabunge vijana na anaendelea na uhamasishaji. mtei aliwahi kumuambia kuwa "chama kina wenyewe" hapo chacha!!!!!! kazi ipo

wakatabahu: wakuziba

Yaani wewe ni feki kabisa. ZITTO kachangia wizara ya Mawasiliano na uchukuzi au wizara ya Sayansi na Teknolojia?
Watu wengine bwana kama hauna uwelewa wowote kuhusu mambo ya siasa na hususani kinachoendelea Dodoma si bora usingetaja wizara aliyochangia Mhe. ZITTO.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom