Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,892
- 110,056
Kwanza ningependa kukuweka sawa hakuna mahala ambapo wewe nimekuita ni Usalama waTaifa kwa sababu hakuna vetting yoyote makini inayoweza kukupitisha wewe kuwa Inteligence security officer hili unalifahamu wazi.Haya matamanio ya kuangushwa ubunge hayawezi kuzuilika.Vipi kama hataenda kwenye ubunge?na hata kama hatakuwa Mbunge bado wimbi hili la vijana na mtizamo kama wake wataibuka kwa wingi.Utaendeleza matamanio yako?
Ati Kwamba wewe ni kijana kama mimi,haimaanishi tunafanana.Naomba urudi kwenye mada au ujibu hayo niliyokuuliza.Pia kama wewe ni mstaarabu leta uthibitisho kwamba chama changu kiliniita Usalama wa Taifa.
Hivi wewe ni mtu wa aina gani?hivi kusema anautaka uraisi tu imekuwa nongwa? basi hiki Chama ni noumer!!kwa hiyo si ruhusa kutoa maoni ndani ya chama midomo yote inafungwa ila midomo miwili au mitatu ndiyo inaruhusiwa kusema? kama ni hivyo kazi ipo na sijui kama kuna dhamira ya kweli.Wacheni kukandamiza demokrasia.Najua Mh.Zitto Kabwe hauna nia wala dhati ya kuwa raisi Tanzania..! hiyo ni moja ya mkakati wako na CCM kuimaliza CHADEMA huku ukishirikana na swahiba wako January Makamba..,siujui wemekupa shs.ngapi mheshimiwa au wamekuahidi cheo gani serikalini (mkuu wa wilaya,katibu CCM)..!
Lakini Jua Nguvu ya Umma Haichezewi..,wako wapi madiwani wa Arusha (watano) waliosaliti chama..,yuko wapi Walid Kabourou,yuko wapi Tambwe Hiza..yuko wapi Agustino Lyatonga Mrema, ingawa anapata pensheni ya ubunge lakini heshima hana kama zamani..!
Zitto Kabwe Watu wamekufa,kuteseka na kufungwa kuitetea CDM..,leo hii wewe unataka kukiuza CDM kwa bei chee...kumbuka ulipotoka Zitto..,hivi ungegombea ubunge CCM mwaka 2005 ungelipata hilo jimbo la kigoma Kaskazini..,wengeshakutosa zamani kwenye kura za Maoni..,CHADEMA wakakupokea leo unakiuza chama "KWELI SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE'' najua ni haki yako kikatiba kugombea uraisi lakini inaonyesha nia yako ni kuimaliza CHADEMA..!
Kama alivyotangaza kugombea ubunge kwenye majimbo matano mwaka 2010 eheeeeh!!..........Anachokisema winnet forever hapa chini ndio na mimi ninachokijua,
Zitto hajatangaza rasmi hapa JF kama wengi wanavyojenga picha ionekane hivyo, Zitto alikuwa anajibu hoja na si kwamba alifanya timing eti kipindi hiki ndio atangaze
CHADEMA imejengwa na ZITTO plus SLAA wakiwa BUNGENI walisumbua sana SERIKALI ndiyo maana leo hii CDM imekuwa kambi rasmi ya UPINZANI.Sioni sababu ya kumzuia kijana ZITTO kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho au ndiyo UDIKTETA wa MADARAKA? You should practice what you are preaching.....
Najua Mh.Zitto Kabwe hauna nia wala dhati ya kuwa raisi Tanzania..! hiyo ni moja ya mkakati wako na CCM kuimaliza CHADEMA huku ukishirikana na swahiba wako January Makamba..,siujui wemekupa shs.ngapi mheshimiwa au wamekuahidi cheo gani serikalini (mkuu wa wilaya,katibu CCM)..!
Lakini Jua Nguvu ya Umma Haichezewi..,wako wapi madiwani wa Arusha (watano) waliosaliti chama..,yuko wapi Walid Kabourou,yuko wapi Tambwe Hiza..yuko wapi Agustino Lyatonga Mrema, ingawa anapata pensheni ya ubunge lakini heshima hana kama zamani..!
Zitto Kabwe Watu wamekufa,kuteseka na kufungwa kuitetea CDM..,leo hii wewe unataka kukiuza CDM kwa bei chee...kumbuka ulipotoka Zitto..,hivi ungegombea ubunge CCM mwaka 2005 ungelipata hilo jimbo la kigoma Kaskazini..,wengeshakutosa zamani kwenye kura za Maoni..,CHADEMA wakakupokea leo unakiuza chama "KWELI SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE'' najua ni haki yako kikatiba kugombea uraisi lakini inaonyesha nia yako ni kuimaliza CHADEMA..!
Dr.SLAA kachanganyikiwa coz anaomba dua baya kwa ZITTO atimuliwe haraka sana...subiri wapoteze Arumeru ili wamjeruhi ZITTO kama walivyofanya CUF na NCCR.
Umetumwa? wewe ndio Zitto Kabwe, unadhani sifahamu ninachokiuliza au unadhani wote humu viherehere vya wanasiasa? Mabere Marando alishajibu siku nyingi Mahusiano yake na TISS, hapa yanahitajika maelezo ya Zitto Kabwe na siyo maelezo ya wapambe wa Zitto Kabwe. tena ningekushauri kama unampenda kaa mbali na hili.
Ni mapema sana jamani kumshutumu ZITTO, tusubiri, tusikie na kauli za SLAA na MBOWE ndipo tumshambulie. Tukumbuke kuwa anayo haki ya kugombea yeye kama mtanzania. Sidhani kama akifuata taratibu na chama kikamteua tutakuwa na cha kusema.zitto kabwe hana nguvu as far as Mapacha watutu wa ccm wako kando ya system
Zitto alitegemea sana support ya hawa mabwana kuleta vurumai CDM ila kwa sasa naona kilichobakia ni asogezwe kule waliko madiwani wa ARUSHA tena mapema
Ni kweli, lakini pia vijana tukiwa aware kuwa kijana mwenzetu ana nia siyo mbaya.Zitto Kabwe, muda wa kutangaza nia sio huu!
Tatizo la zitto anafiriki anaomvuto wa kushawishi vijana amesahau watu wapo kwa ajiri ya CDM
Zitto siyo kuwa hajakoma, ana haki na kakomaa, hebu fikilieni wanajamvi hivi mnakumbuka marais wa nchi hii, mbona wengine Zitto keshawashinda vigezo? Labda umri lakini mambo mengine yuko juu yao, Kwa hekima hebu pima kati ya Zitto na Mkapa!!
Urafiki wa Zitto Kabwe na Jack Nzoka Deputy Director wa Idara ya Usalama wa Taifa wewe unataka kutuaminisha ni wa kawaida? hivi si wewe chama chako ndio kilisema Usalama wa Taifa ndio waliokuwa wanachakachuwa kura za CHADEMA? (TISS)
Zitto Kabwe ni rafiki yako na kama alitoa makala hii ili kumjibu huyo mwandishi sasa mfikishie na ujumbe huu, aje hapa atupe ufafanuzi wa yeye kuwa karibu na Usalama wa Taifa. nitamuhesabu Zitto Kabwe kama ni Double Agent until he proves otherwise without resonable dought.
Kwanza ningependa kukuweka sawa hakuna mahala ambapo wewe nimekuita ni Usalama waTaifa kwa sababu hakuna vetting yoyote makini inayoweza kukupitisha wewe kuwa Inteligence security officer hili unalifahamu wazi.
Pili unapomzungumzia vijana na hata mimi ni kijana kwahiyo usijipe mamlaka ya kudhani vijana wote wana mawazo finyu ya kupelekeshwa tu hobelahobela! unapolia Zitto alihujumiwa jimboni mwake hivi ni nani aliyekihujumu chama chake kwenye jimbo la Kafurila? hivi inakuingia akili naibu katibu mkuu wa CHADEMA awe mpiga zumari wa NCCR Mageuzi?
Ben sikufahamu na wala hunifahamu na mbaya zaidi sina hata kadi ya CHADEMA ila ningependa nikueleze haya yafuatayo:
Dhamira na hulka ya mtu huwa haijifichi ni jambo la kushangaza na kustaajabisha sana mimi sijawahi kukuona kwa sura lakini nimefanikiwa kuijuwa tabia yako kupitia mtandao, je inakuwaje kwa wale ambao mnafanya nao siasa za daily routine? Nadhani bado hujachelewa jitazame sidhani kama huo msimamo wako kama una afya yoyote ya kisiasa kwa future.
Mod mpo wapi, unganishe sasa hizi sredi kuhusu zitto, zimezidi