Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Kwanza ningependa kukuweka sawa hakuna mahala ambapo wewe nimekuita ni Usalama waTaifa kwa sababu hakuna vetting yoyote makini inayoweza kukupitisha wewe kuwa Inteligence security officer hili unalifahamu wazi.Haya matamanio ya kuangushwa ubunge hayawezi kuzuilika.Vipi kama hataenda kwenye ubunge?na hata kama hatakuwa Mbunge bado wimbi hili la vijana na mtizamo kama wake wataibuka kwa wingi.Utaendeleza matamanio yako?
Ati Kwamba wewe ni kijana kama mimi,haimaanishi tunafanana.Naomba urudi kwenye mada au ujibu hayo niliyokuuliza.Pia kama wewe ni mstaarabu leta uthibitisho kwamba chama changu kiliniita Usalama wa Taifa.
Pili unapomzungumzia vijana na hata mimi ni kijana kwahiyo usijipe mamlaka ya kudhani vijana wote wana mawazo finyu ya kupelekeshwa tu hobelahobela! unapolia Zitto alihujumiwa jimboni mwake hivi ni nani aliyekihujumu chama chake kwenye jimbo la Kafurila? hivi inakuingia akili naibu katibu mkuu wa CHADEMA awe mpiga zumari wa NCCR Mageuzi?
Ben sikufahamu na wala hunifahamu na mbaya zaidi sina hata kadi ya CHADEMA ila ningependa nikueleze haya yafuatayo:
Dhamira na hulka ya mtu huwa haijifichi ni jambo la kushangaza na kustaajabisha sana mimi sijawahi kukuona kwa sura lakini nimefanikiwa kuijuwa tabia yako kupitia mtandao, je inakuwaje kwa wale ambao mnafanya nao siasa za daily routine? Nadhani bado hujachelewa jitazame sidhani kama huo msimamo wako kama una afya yoyote ya kisiasa kwa future.