ZITTO anafaa sana kuliko SLAA ni kijana, anafanya maamuzi bila kukurupuka. Ni mfumo gani huo wa nchi ambao SLAA anaweza kbadilisha ambao ZITTO hawezi? Nchi yetu ni ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi, nchi inayofuata utawala wa Sheria, nchi yetu inaheshimu haki za binadamu na mawazo ya kila mtu bila kujali rangi, kabila, wala dini. SLAA anataka kuja na nini? Tuwepuke hao wanaokuja na hoja za mifumo mipya yasije yakatokea yale ya LIBYA, MISRI, TUNISIA na kwingineko. NARUDIA tena ZITTO ni zaidi ya mawazo mgando ya MZEE SLAA ya siasa za majungu, visasi na uchu wa madaraka.
Kwa ushauri wa bure epuka sana hizi siasa zenye mlengo wa kugawa watu.Nadhani kwa nilivyofuatilia mjadala huu na hao wanaokutuhumu kuwa wewe unashirikiana na Zitto katika hiyo mipango yenu mnaoijua wenyewe soon itafumuka na mtaabika vibaya sana.Hawa wanaojadili humu na kutokumuunga mkono Zitto sio kwamba hawamkubali ama sio wafuasi/wanachama/wapenzi wa chadema,la hasha! hawa ni watu wanajadili kwa kina athari za maamuzi ya kamanda wao kimtazamo zaidi.
Napata shaka kuwa na wewe ni mmoja wa wanasiasa ambao hawataki kukosolewa.Napenda kukushauri upitie hoja za watu wote walioonyesha kumpinga Zitto kwa hili alilotamka kisha uyachambue ,kwa kuwa ni rafiki yako wa karibu sana umpe machache kama changamoto.Wanadamu tunatofautiana na kila mmoja anamapungufu yake ,suala la msingi ni kuheshimu mawazo na mitazamo ya watu kuhusu mapungufu yako.Hii inasaidia mtu kujijenga na kuimarika kimtazamo,hata katika kuchangia na kutetea hoja.
Mimi ni mmoja kati ya watu wanapinga kauli hii ya Zitto ya sasa ,lakini si kwamba napingana na mitazamo/hoja zake zenye malengo ya kutuondoa katika dimbwi la umasikini -kwa kutuonyesha njia na mwelekeo thabiti wa kimapinduzi.
Mwakalinga na Matola, nafikiri sasa mmeanza kuelewa kitu ambacho wengine tulikiona tangu zamani. Kadri muda unavyokwenda ndivyo mambo yanavyozidi kuwa wazi zaidi.By Matola Pili Ben Saanane nimekuwa nikifuatilia mabandiko yako kwa makini sana na kuna kipindi nilidhani huwa unaonewa, kumbe nilikuwa najidanganya, humu jamvini umejipambanuwa kwamba wewe ndio unayejuwa siasa na yeyote ambaye atakuwa kinyume na mtazamo wako basi wewe utambatiza kila aina ya jina mara mnafki mara hivi mara vile, kumbe sasa nimejiridhisha ni kweli chama chako kiliposema huna maadili hakuna walipokuwa wamekosea, kwa nini unatetea Alliance ndani ya chama? narudia kukwambia tena jifunze kwa John Mnyika, yule kijana anaaminika machoni pa watu kwa sababu he is humbled,......jiulize ni kwa nini kijana mmoja Mnyika alundikiwe vyeo na nyinyi wasomi mpo? endelea na Alliance. zako.
CHADEMA imejengwa na ZITTO plus SLAA wakiwa BUNGENI walisumbua sana SERIKALI ndiyo maana leo hii CDM imekuwa kambi rasmi ya UPINZANI.Sioni sababu ya kumzuia kijana ZITTO kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho au ndiyo UDIKTETA wa MADARAKA? You should practice what you are preaching.....
Urafiki wa Zitto Kabwe na Jack Nzoka Deputy Director wa Idara ya Usalama wa Taifa wewe unataka kutuaminisha ni wa kawaida? hivi si wewe chama chako ndio kilisema Usalama wa Taifa ndio waliokuwa wanachakachuwa kura za CHADEMA? je inaingia akilini wakati chama kiko vitani kwenye uchaguzi mkuu halafu Zitto Kabwe anakuwa na mawasiliano ya karibu sana na one of your party enemy? (TISS)
Zitto Kabwe ni rafiki yako na kama alitoa makala hii ili kumjibu huyo mwandishi sasa mfikishie na ujumbe huu, aje hapa atupe ufafanuzi wa yeye kuwa karibu na Usalama wa Taifa. nitamuhesabu Zitto Kabwe kama ni Double Agent until he proves otherwise without resonable dought.
Hata kama nilikuwa sijui kusoma sasa nimeletewa picha ili nione.......Kuna mahala nimewaomba wenye notebook na wandike maneno haya, halitokuwa jambo la kushangaza ukisikia Zitto Kabwe ameangushwa Ubunge na mgombea wa CCM uchaguzi wa 2015, inashangaza sana mtu ambaye hata Ubunge wa jimboni kwake ameshinda kwa mbinde kwa simple majority anakuja na ndoto za Urais in wrong timing!! interesting.Mwakalinga na Matola, nafikiri sasa mmeanza kuelewa kitu ambacho wengine tulikiona tangu zamani. Kadri muda unavyokwenda ndivyo mambo yanavyozidi kuwa wazi zaidi.
CHADEMA imejengwa na ZITTO plus SLAA wakiwa BUNGENI walisumbua sana SERIKALI ndiyo maana leo hii CDM imekuwa kambi rasmi ya UPINZANI.Sioni sababu ya kumzuia kijana ZITTO kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho au ndiyo UDIKTETA wa MADARAKA? You should practice what you are preaching.....
Nani kamkataza Zitto kuwania nafasi hiyo???
Zitto amelalamika kuwa kakatazwa kuwania nafasi iyo???
Unaongelea kauli za viongozi wa chama au maandiko ya kwenye mitandao ya kijamii??
Unauhakika kuwa haumuamishii Zitto mawazo yako binafsi????
Matola,
Nimekuambia nidhamu ni jambo muhimu sana.Tafadhali unapojenga hoja uwe na ushahidi.NAOMBA UTHIBITISHE kwamba chama changu CHADEMA kilisema kuwa mimi ni USALMA WA TAIFA.Njoo na facts hapa.
Hii tabia ya watu kuchafua watu kwa maslahi yao binafsi ndiyo iliyotufikisha hapa.Tukiendelea na tabia hii tutaacha kuwa na heshima ya kuwa watanzania.Mtu mzima akiandika kitu ambacho hana uthibitisho nacho tumuiteje? Nawaachhia wana JF na wenye akili timamu wachague jina.....!
Urafiki wangu na yeye ni kuhusu itikadi,dira na mwelekeo wa nchi,yeye ni kiongozi wangu,ni mwanachama mwenzangu.Tuna mtizamo unaofanana,ni rafiki katika mapambano ya fikra.Siwajibiki kumweleza hayo unayonituma
kwanza,Aje hapa awape ufafanuzi?wewe na nani hasa? Hili lina tija gani?mbona suala la posho hukusimamia na ku-question mahusiano yake na TISS? alipoteuliwa kuwa waziri kivuli wa fedha mbona hauku-question kuhusu uhusiano wake na TISS? Alipoteuliwa kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mbona huku-question Uhusiano wake na TISS? anapotoa hoja ya mkonge bungeni na katika utekelezaji wake wa kazi katika kamati ya hesabu za serikali na mashirika ya umma mbona hujawahi question uhusiono wake na TISS?
Hoja ya ujana inatesa sana watu.Tuwe fair otherwise nafurahi sana Comrade Thabo Mbeki akiwa Nairobi last week alitoa kauli nzito na inayotakiwa kufanyiwa kazi.Alisema
"The youth of the African continent should prepare themselves for a rebellion against their older generation and claim their leadership role"
"To ensure that [the youth] actually exercises the leadership everybody rhetorically accepts and proclaims is its due, the youth must organise and ready itself to rebel, so to speak."
***** unahamu nikuoe? angalia wimbo wa YOUNG D@dada huyo anaolewa...sasa wewe weka KAKA huyo ninaolewa@
=BARRICK walikuwa wanamlipa $25000 kila mwez for 6 months in2009.
=Kwa kuitetea DOWANS alilipwa 80mil (TSH)
=Kuhusu post ya Mkumbo alikuwa sahihi kwa sababu hata yeye KITILA pale cdm yuko kwa ZITTO na anamfahamu vizuri ZITTO kwani ni KITILA aliyemleta Zito UDSM akitokea ZANZBAR UNIVERSITY wakati ule KITILA alikuwa RAIS wa DARUSO
Dr.SLAA kachanganyikiwa coz anaomba dua baya kwa ZITTO atimuliwe haraka sana...subiri wapoteze Arumeru ili wamjeruhi ZITTO kama walivyofanya CUF na NCCR.
Dr.SLAA kachanganyikiwa coz anaomba dua baya kwa ZITTO atimuliwe haraka sana...subiri wapoteze Arumeru ili wamjeruhi ZITTO kama walivyofanya CUF na NCCR.
Waberoya unakumbuka umewahi kuandika nini kuhusu Zitto humu JF?
Hakuna kitu kibaya kama unafiki! Zitto ni mnafiki kama wewe!
Unakumbuka aliwahaidi nini wakazi wa kigoma? Eti 2015 hagombei ubunge bali Urais! Tena wakati huo Dr Slaa akigombea Urais! Huyu si ana matatizo ya akili!
Zitto kuingia Chadema akiwa na miaka 16 sio issue, Zitto kushiriki kuijenga Chadema ya leo sio issue pia kama hawezi kusimama kiitikadi na Chama; aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CDM na mbunge wa kwanza wa upinzani Tanzania Bwana Aman K. Amerudi CCM! Sembuse Zitto!
Eti haki yake msingi! Hiyo haki hata Matonya anayo Waberoya!