Kura yangu utaipata wakikuteua tu usiwe na shaka hesabu tayari unakula 2 yangu na yako...............
wazinzi huku jf mko wengi.nahisi umekuwa too sensitive kwa hili kwa kuwa una maslahi nayo au ni tabia yako.sio utmie kigezo cha walioshindwa katika ndoa zao kuhalalisha ubazazi na uzinzi wenu.hatutaki kodi zetu zitumike kulipia mahawara.kuna wengine wanastahili kugombea u-big brother kwa kuwa hata kampeni zao kihistora tangu chuo ziliteka wanawake zaidi na kwa jinsi alivyo sidhani kama dada na wake zetu watasalimika.kuna watu wakishinda urais nchi hii tutahamisha wake na mabinti zetu
Hata hivyo kazi hii hata kama naitaka ni lazima wenye nchi waamue kunipa kazi hii.Ni lazima kwanza Chama changu kiseme wewe ndio mwanachama unaestahili kuifanya kazi hii. Ni lazima Watanzania wengi waseme wewe ndio mwananchi mwenzetu unayeweza kuchukua jukumu hili. Kuitaka tu haitoshi. Ni lazima wananchi wakuamini na kukupa jukumu hili.
Sasa kama wananchi watasema huyu Zitto anapaswa kubeba jukumu hili mwaka 2015 tuache iwe. Kama watasema hapana wewe bado mpaka mwaka 2020 au hata 2025 tuache iwe hivyo. Pia Kama hawataki kabisa tuache iwe hivyo.
na hawa wakipasuka hawataweza tena kujiunga hawa.
inlalilahi wa inlailaihi rajiuun!Zitto bana? acha hizo mkuu huwezi kuwa rais JMT kupitia CDM..NEVER!
Rais kupitia cdm ni Mbowe au Slaa au Mnyika etc..
Wewe endelea kubeba mabegi ya wakubwa wako..
Oh boy keep on crying..watakutumia kama toilet paper..soon wakikupatia watakutupa nje ya ulingo kwa hoja maalum..(siri yao)..
Acha hizo dream, msaidie Slaa na Mbowe period that is maximum we can offer kwenye chama chetu has kwa watu kama nyie..(kazi yenu ni kawawa type ok!)
Mbona sioni kama kuna tatizo lolote hapo?Tsivangarai ni traitor, hilo unapinga?Wewe inakuhusu nini au wewe ni hawara ya ben.ninyi wadada mnapenda vibaya mno.
bahati nzuri Jf kuna rekodi bwana.chuki zake dhidi ya wazungu zinadhihirika angalia alivyokuwa anajibizana na waberoya hapa