Zitto ndani ya 835KJ

Zitto ndani ya 835KJ

Ongeza na zao la muhogo, nafikiri ni zaidi ya km 15, nilikuwa pale '93
I wish wangekuwa wanashughulika pia na machimbo ya dhahabu, almasi, tanzanite, rubby, makaa ya mawe nk...vikosi vingine vingetoa mafunzo ya kuwahudumia watalii ikiwa ni pamoja na kuwapandisha milimani ... nchi yetu si ya kilimo tena...lazima mafunzo haya sasa yaendane na halihalisi ya dunia hii ya utanzawazi inayotumiwa na wajanja wachache kukwapua rasilimali zetu...
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiii siwezi fanya hiyo makitu kwa sasa! japo nilitamani sana nilipomaliza A LEVEL! wish u the best zitto
 
Wanafundisha udunguaji ?maana kuna mtu ananikera nataka nimdungue kwa mbaaali!
 
Nilikuwa Mgambo mwaka 1991/92, ni poa sana kwenda JKT, mliokosa mnapungukiwa na kitu has uzalendo!!!!!!!!
 
Zungumza lugha zote lakini si Kiswahili kwani ndiyo chanzo cha fikra duni tulizonazo wa tz!Nakilaani sana ingawa ndiyo lugha ninayoiongea!Lugha inayoabudu ngono,inashabikia ujinga,inatukuza utapeli na uwongo,inamisemo ya kukatisha tamaa na siyo kutia moyo!Inapumbaza na kuwafanya waongeaji wajione wanajua kumbe ni kinyume chake!Sikipendi kwani ni lugha ni kiarabu koko!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
National Service,kwa aliyepitia,ni FURSA.JKT peke yake haijengi uzalendo,maana baadhi mya viongozi walifikia kiwango cha kuitwa Mlinzi wa Taifa, Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tz na wakala nyapo kadhaa,sasa kiko wapi?
 
yaani Kaka/Dada KIBARAVUMBA kwa nini kabla hujaleta maoni usingetulia kwanza,hii umeleta ni tatizo husomeki ati!
 
Jeshi siyo lelemama utamsikia hivi karibuni akielezea mateso na manyanyaso ya kuondoa ujinga na matongotongo kichwani na kuwekwa sera za CCM,huko ni mambo ya kuroll,kwata hesabu za huko ni namba moja,mbili ,tatu unarudi moja hakuna kuendelea nne na kuimba kwa sana tena zile za CCM siyo za CDM,wala hakuna wa kumjibu mbovumbovu huko wote ni wakubwa zako we ni kufuata amri kama mbwa vile pole we kwa kujitesa bure,tuombee usirudi na kilema cha maisha.
 
Masaa machache yaliyopita kamanda Zitto ka tweet ujumbe huu...

Zittokabwe: Naingia kambini 835KJ. Kwaherini kwa muda kidogo hapa twitani. Nawatakia ndugu zetu wa #Kenya uchaguzi wa amani kesho na wachague #Change

Binafsi namtakia Zitto kila la kheri, atoke kambini akiwa amewiva zaidi. #AmiriJeshiMkuu

835KJ ndiyo Mgambo JKT ipo Handeni unafika Kabuku halafu unaingia ndani kama 9km hivi. Nilipitia pale 1982 enzi za mwalimu wakati huo CO ( Mkuu wa kikosi ) alikuwa Lt Col Mtono nasikia keshafariki dunia RIP. Nilikuwa kombania A ambapo OC wetu ( mkuu wa kombania) alikiuwa Lt Mushi. Imenikumbusha mbali sana
 
Kutokuwepo kwa zitto kabwe naibu katibu mkuu wa chadema haitakiathiri chadema katika harakati za kukijenga chama maana zitto anaushawishi mkubwa sana ndani ya cdm pia inaonyesha hata kuwepo kwenye bunge la budget hii haitakuwa na athari kwa cdm?
 

Uzalendo unasaidia kujenga nch, sio kula.

kina lowasa, kigoda,jk, chenge na wengine wote unaowafahamu wamepitia huko. Sielewi huo uzalendo mnaouzungumzia ukoje. Mi nawashangaa sana. Kuna wengine walikuwa makanali wa jeshi na wameiba pesa za un za vijana wa darfur mpaka walikoziweka wanashangaa.
 
Back
Top Bottom