Nilikuwa Mgambo mwaka
1991/92, ni poa sana kwenda JKT, mliokosa mnapungukiwa na kitu has
uzalendo!!!!!!!!
good news
nimesikitika sana kusikia nasari amekimbia camp
the boy needed to stick to his words
Masaa machache yaliyopita kamanda Zitto ka tweet ujumbe huu...
Zittokabwe: Naingia kambini 835KJ. Kwaherini kwa muda kidogo hapa twitani. Nawatakia ndugu zetu wa #Kenya uchaguzi wa amani kesho na wachague #Change
Binafsi namtakia Zitto kila la kheri, atoke kambini akiwa amewiva zaidi. #AmiriJeshiMkuu