Zitto ndani ya 835KJ

Zitto ndani ya 835KJ

Huyu alikwenda JKT baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu kwa shule za msingi. Ni huko JKT kipaji chake cha kuimba kilipogundulika akachukuliwa kwende Monduli kwenye chuo cha maofisa wa jeshi.
Kwahiyo ni mwanajeshi sio? Kama wanavyodai kua pakitokea vita naye anakwenda front line sio?
 
Mkipigwa sumu huko msije mkaanza kulialia na kutafuta huruma humu JF, Heri yako Nassary umefata ushaur na kutoakuamua kuto kwenda huko machinjoni, Zitto uwe makin huko JKT kwani binadamu hatuna utu kabisa kwan haya maCCM yanaweza yakakupiga hata risasi ya kifua kwny mafunzo na kusingizia bahati mbaya.

Chonde chonde magamba msituulie "RAIS WETU MTARAJIWA"
 
Kwahiyo ni mwanajeshi sio? Kama wanavyodai kua pakitokea vita naye anakwenda front line sio?
Tangu alipotoka Monduli, aliongoza kikundi cha sanaa jeshini hadi TOT ilipoanzishwa. Ikitokea vita anaweza kwenda kwa shughuli za utumbuizaji kwa wapiganaji.
 
Asante sana kwa taarifa!
 
Jamaa kashawaua Wafanyakazi wa Migodini wanaotegemea kujipanga kimaisha kwa kutegenea fao la kujitoa kwa kuishauri Serikali IZUIE KABISA FAO LA KUJITOA kavuta chake halafu sasa kwa raha mstarehe kaenda kujificha JKT eti anakwenda kutafuta uzalendo.

Mwenyezi Mungu wa Mbinguni amlipe malipo yake sawa na unafiki wake.

Naamini kwa ajili Mungu ni mtenda haki ataanza kukulipa wewe unayeshuhudia uongo
 
Wewe endelea tu na ushabiki usiokuwa na maana kwa huyo Zitto wako, umaarufu wote aliokuwa nao kipindi akiwa mzalendo umeporomoka sana tofauti na wakati ule wa issue za Buzwagi.

Mara tu alipokubali kuwa mtumwa wa Rushwa sasa hivi kwisha kazi na kama unadhani ana umaarufu wowote labda ni humu humu kwenye mitandao na kwa watu wasiokuwa na uelewa wowote, inamaa kauli hoja alizozitoa Zitto huko Arusha week 3 zilizopita hadi akiwa anashangiliwa na Waziri Kabaka na swaiba wake Ramadhani Dau na kipindi kupewa air time na TBC hukuziona? Au unaendekeza tu ushabiki kwa Zitto?

Tafakari sana!!!!!

Kachafua hali ya hewa na issue ya fao lakujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, so aende asiende wengine tumeisha mchukia!
 
Nakutakia kila la kheri, kwa kipindi utakachokuwa jkt. Tunakuombea ukajengewe uzalendo zaidi, utoke ukiwa mwana-ccm, mzalendo, aliyeiva sawasawa.
(ccm itatawala milele)

Aliyekwambia ccm ina uzalendo ama anakudangaya au amekuona haupambanui mambo mwenyewe!
 
Hongera Zitto, uamuzi mzuri sana Mungu akutangulie kwa kila jambo huko 835KJ.

Misango Mali
Chuo kikuu -Mbeya {MUST}
 
Wewe endelea tu na ushabiki usiokuwa na maana kwa huyo Zitto wako, umaarufu wote aliokuwa nao kipindi akiwa mzalendo umeporomoka sana tofauti na wakati ule wa issue za Buzwagi.

Mara tu alipokubali kuwa mtumwa wa Rushwa sasa hivi kwisha kazi na kama unadhani ana umaarufu wowote labda ni humu humu kwenye mitandao na kwa watu wasiokuwa na uelewa wowote, inamaa kauli hoja alizozitoa Zitto huko Arusha week 3 zilizopita hadi akiwa anashangiliwa na Waziri Kabaka na swaiba wake Ramadhani Dau na kipindi kupewa air time na TBC hukuziona? Au unaendekeza tu ushabiki kwa Zitto?

Tafakari sana!!!!!

pamoja na hayo unayoyasema,zitto kasaidia sana raia wa tz kufahamu madudu ya serikali ya jk. na kama kashuka hata jk kashuka sana leo hii ukilinganisha na alivyoingia madarakani. huu ni upepo tu utapita na liwalo na liwe.
 
Wewe endelea tu kujidanganya na mambo ya upepo kupita wakati hatima ya maisha ya watu inaingizwa gizani kwa tamaa za huyo Zitto wenu!
 
Wewe endelea tu na ushabiki usiokuwa na maana kwa huyo Zitto wako, umaarufu wote aliokuwa nao kipindi akiwa mzalendo umeporomoka sana tofauti na wakati ule wa issue za Buzwagi.

Mara tu alipokubali kuwa mtumwa wa Rushwa sasa hivi kwisha kazi na kama unadhani ana umaarufu wowote labda ni humu humu kwenye mitandao na kwa watu wasiokuwa na uelewa wowote, inamaa kauli hoja alizozitoa Zitto huko Arusha week 3 zilizopita hadi akiwa anashangiliwa na Waziri Kabaka na swaiba wake Ramadhani Dau na kipindi kupewa air time na TBC hukuziona? Au unaendekeza tu ushabiki kwa Zitto?

Tafakari sana!!!!!

Mkuu unajichanganya, kwani kuna mtu anagombania umaarufu hapa?
Halafu ukizungumzia watu wasiokuwa na ufahamu kama huna taarifa bongo ndio wako wengine kuliko hilo kundi lingine...
Kuhusu fao la kujitoa, anaongea mambo kitaalam na sio kusema kile watu wanachotaka kukiskia maskioni mwao... na hapa ndipo mara nyingi Zitto anapojiingiza matatani, kwa kusema ukweli usiowafurahisha wengi.
Hizo tuhuma za rushwa unazosema hebu toa ushahidi basi ili wamshughulikie, maana jamaa anawindwa kwa udi na uvumba, ndani na nje ya chama chake
 
good news

nimesikitika sana kusikia nasari amekimbia camp

the boy needed to stick to his words

kijana aliona sifa kupigiwa makofi pale alipotangaza kwa sifa kua anaingia nae jeshini baada ya kuambiwa madhila ya huko eti anajibu kuwa haendi kutokana na sababu KADHA WA KADHA mie hapo sijamuelewa asipende kutafuta cheap popularity na pia asiwe na majibu mepesi kwa swala nyeti kama hilo tafadhali mwambieni siku nyingine asirudie
 
Nakutakia kila la kheri, kwa kipindi utakachokuwa jkt. Tunakuombea ukajengewe uzalendo zaidi, utoke ukiwa mwana-ccm, mzalendo, aliyeiva sawasawa.
(ccm itatawala milele)

hahahahahahaha hahahahahahaha hahahahahahaha
 
Ni imani yangu kuwa ukitoka huko mawazo ya kuua panya na mende hutokuwa nayo tena. Kaza buti mh ZZK
 
Nakutakia kila la kheri, kwa kipindi utakachokuwa jkt. Tunakuombea ukajengewe uzalendo zaidi, utoke ukiwa mwana-ccm, mzalendo, aliyeiva sawasawa.
(ccm itatawala milele)

Milele? Ahaaa waimanisha baada a kifo chake?
 
Back
Top Bottom