Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

hivi hawa akina Nguruvi na mchambuzi bado wako kwenye hii thread? naona kabisa hawana mshipa wa aibu kama sitti mtemvu? mwenzao alikubali ku surrender!

kama kuna mwaka Nguruvi na mchambuzi wameingia chaka na kuaibika bais ni katika hili swala!! naona ignore niliyowapa kama haitoshi vile!!
Wewe unakujahapa ukiwa kazini.
Kama ni aibuyetu wewe inakusumbua nini.
Rekodi za JF zinaonyesha kama si mtumishi wa ndanini mwajiriwa wa kisiasa. Wahi kafungue geti

OK!
Pili, umesemawatu hawawelewi isipokuwa sisi wawili tu. Well, upo sawa kwasababu hata weweunayesema umeelewa huna majibu ya hoja za Zitto. Sasa nani miongoni mwetuhaelewi? Anayehoji au asiyeweza kutetea anachotetea?

Mkuu kama baada ya maelezo yote haya bado unaulizia majibu then you really are missing all the points completely. Hakuna mtu atakuja na majibu ambayo yatakuridhisha wewe kwa sababu hayatakuwa ni majibu ambayo unataka kuyasikia.

Simple example;Tuhuma:
Zitto amemsaidia Ongangi kupata uraia wa Tanzania na kwa sasa ni raia wa pasipoti. Zitto na Ongangi walimtafutia CEO wa Shell aitwae Axel Knospe nyumba na gari ya kukodi.

Jibu: Raphael ni mtu binafsi ambaye anafanya shughuli zake hapa nchini, amesoma hapa nchini na ameoa na ana mtoto. Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo. Wanaotoa tuhuma hizi waonyeshe hiyo pasipoti ya Bwana Ongangi kuthibitisha madai yao.

Simple analysis ya Jibu: Zitto admits he knows Ongagi and his family. Na pia anasema huyu bwana kwa anavyojua yeye ni Mkenya na anayetoa hizi shutuma athibitishe kuwa huyu bwana ni mtanzania (kwa kusaidiwa na Zitto). Na mwisho maelezo mengine yote katika tuhuma hizi ni UWONGO.

Nguruvi3's take: Zitto ameulizwa kumtafutia nyumba CEO amejibu Ongagi ana mke na watotot wawili!

You see, just because you dont like the answer it does not make it an incorrect answer. again he clearly says "
Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo" ila wewe ndugu yangu bado umekomaa unasubiri majibu!!! I mean, this is out of this world. It does not make any sense.

Mkuu kuna wakatiukweli ukubaliwe hata kama una uma. This boy is immature, it is unlikely he willmature kwasababu miaka 15 katika politics haonyeshi weledi. Ana uwezo lakinibado hajui namna ya kupanga vitu. Ana papara na hajui wapi ni vulnerable, hanaustahamilivu, pwala sura, kinda limbukeni. Msaidieni siyo kumu expose kwauetetezi usiomsaidia.

Well, what more can anybody say kutoka katika hiyo quote yako hapo juu. Nikisema una chuki binafsi na Zitto ntakuwa nimekosea kwa sababu ntakuwa nimegeneralize your take on Zitto on all issues ila for this particular issue, you really have some personal vendate against him.
 
Mkuu kama baada ya maelezo yote haya bado unaulizia majibu then you really are missing all the points completely. Hakuna mtu atakuja na majibu ambayo yatakuridhisha wewe kwa sababu hayatakuwa ni majibu ambayo unataka kuyasikia.

Simple example;Tuhuma:
Zitto amemsaidia Ongangi kupata uraia wa Tanzania na kwa sasa ni raia wa pasipoti. Zitto na Ongangi walimtafutia CEO wa Shell aitwae Axel Knospe nyumba na gari ya kukodi.

Jibu: Raphael ni mtu binafsi ambaye anafanya shughuli zake hapa nchini, amesoma hapa nchini na ameoa na ana mtoto. Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo. Wanaotoa tuhuma hizi waonyeshe hiyo pasipoti ya Bwana Ongangi kuthibitisha madai yao.

Simple analysis ya Jibu: Zitto admits he knows Ongagi and his family. Na pia anasema huyu bwana kwa anavyojua yeye ni Mkenya na anayetoa hizi shutuma athibitishe kuwa huyu bwana ni mtanzania (kwa kusaidiwa na Zitto). Na mwisho maelezo mengine yote katika tuhuma hizi ni UWONGO.

Nguruvi3's take: Zitto ameulizwa kumtafutia nyumba CEO amejibu Ongagi ana mke na watotot wawili!

You see, just because you dont like the answer it does not make it an incorrect answer. again he clearly says "
Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo" ila wewe ndugu yangu bado umekomaa unasubiri majibu!!! I mean, this is out of this world. It does not make any sense.

Well, what more can anybody say kutoka katika hiyo quote yako hapo juu. Nikisema una chuki binafsi na Zitto ntakuwa nimekosea kwa sababu ntakuwa nimegeneralize your take on Zitto on all issues ila for this particular issue, you really have some personal vendate against him.

Zitto ameweka mambo bayana; kuna watau wanahangaika, mimi nasema kama kweli serikali ya CCM inajiamini ifanya haya....

1. Ripoti ya CAG na ile ya TAKUKURU ziwasilishwe Bungeni, muda wa kutosha utolewe kwa Wabubge kuzijadili
2. Ripoti ya PAC, na msimamo wao, pamoja na mapendekezo yawasilishwe Bungeni kutolewa maamuzi
3. JK atoe tamko, aahidi watanzania (na atekeleze) kuwafukuza kazi na kuwafungulia mashitaka watakaobainika kuwa wamehusika....

Wakifanya haya nitajua kweli CCM ina nia njema kwa taifa letu, je, wana jeuri hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Kuna habari katika twitter zilizotolewa na mama Anna Tibaijuka kuhusu Zitto kupata mgao wa PAP
Hizi ni tuhuma kwasaababu hatua ushahidi

Tuhuma hizi hakutoa Nguruvi au @Mchambuzi , tunapouliza tunaambiwa tuna vendetta na ZZK

Tukaeni kimya ili tuwe watu wema. Je, hilo linasidia namna yoyote?
 
Naona umeamua kurusha ngumi hewani ha ha ha ha ha.
 
Kuna habari katika twitter zilizotolewa na mama Anna Tibaijuka kuhusu Zitto kupata mgao wa PAP
Hizi ni tuhuma kwasaababu hatua ushahidi

Tuhuma hizi hakutoa Nguruvi au @Mchambuzi , tunapouliza tunaambiwa tuna vendetta na ZZK

Tukaeni kimya ili tuwe watu wema. Je, hilo linasidia namna yoyote?

Acha kuweweseka, muangalie mpambanaji hapo
 
Attachments

  • 1416907517258.jpg
    1416907517258.jpg
    54 KB · Views: 123
Hongera sana Kaka Zitto hizo ni kelele ila ukweli unabaki umesimama Imara sana katika kipindi chote kaka na pia Sisi Watanzania tumeona kuwa umekuwa imara ziku zote
 
Back
Top Bottom