Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

umeingia kwenda mjadala baadae sana, maswali yako nilishajibu kwa kina huko nyuma. the rest i consider as commentary...
Nilitaka kumjibu, nikarudia post zake tangu aingie, nimeamua kukaa kimya.
Kaingia mjadala bila kujua unajadili nini, kaja amebeba theory bila kujua kinachojadiliwa nini. Msamehe
 
Hata mimi ninaona kuwa , Pamoja na mapungufu ya kibinadamu ya Mheshimiwa Zitto, lakini ni kamanda muhimu wa vita hii, YATUPASA MIMI NA WEWE KUMUUNGA MKONO, KUMSHAURI NA IKIBIDI KUMSAIDIA KADRI TUNAVYOWEZA, KWA SABABU ANAWEZA AKAWA NA NIA NZURI LAKINI AKAKOSEA TACTICS.

INAPOTOKEA AKAKOSEA TACTIC AU APPROACH YA UPAMBANAJI, MIMI NA WEWE HATUTAKIWI KUANZA KUBEZA JUHUDI NA NIA YAKE. BALI INABIDI TUMPE MOYO NA KUMSAIDIA MAWAZO. HII VITA NI YETU SOTE, ILA KUNA WENGINE WAKO FRONT WANATUONGOZA NI LAZIMA TUSAIDIANE NA TUWASAIDIE, SI KUWABEZA, HAWA NI BINADAMU NA SI MALAIKA!.
Tunapomwambia kajibu tuhuma bila weledi wewe unasema tuna chuki.

Tunaposema kajibu tuhuma na kuacha maswali, wewe unasema tuna inda.

Kumbe nyuma ya nafasi yako unajua wazi, ana mapungufu ambayo tumeyaonyesha wazi na ambayo ameyafanya si mara moja au mbili. Ndani ya nafsi yako unafahamu haamini na amepoteza uaminifu kwa umma.

Ndani ya nafasi yako unajua maswali na tuhuma alizojibu zinahitaji mpuuzi kuzikubali na kwamba ni wapumbavu watakaoshangilia.
Unafahamu hivyo wazi kabisa, sasa unaposema kuna watu wana chuki na Zitto hivi huoni unaidhulumu nafsi yako mwenyewe.

Ndio maana nasema wengi hapa hawajui ni mashabik tu.

Sisi wenye ufahamu unajukumu la kuueleza umma kuwa ni vema wakamsikiliza Zitto bila kusahau ni laghai mkubwa aliyepo nchini
Narudia ni laghai, anayehitaji uthibitisho aseme!
 
Hawezi kumtaja watu wake wenyewe anaowategemea hawaamini, ataishia kuzunguka kama saa ya mshale.
Nadhani tunahitaji kujua mada, je hilo litajibu maswali ya tuhuma kama zile za kuchukua milioni 6?
Ukitaka utajiwe, basi umekubali kuhusu tuhuma kama hizo. Mnamsaidia Zitto !
 
Tunapomwambia kajibu tuhuma bila weledi wewe unasema tuna chuki.

Tunaposema kajibu tuhuma na kuacha maswali, wewe unasema tuna inda.

Kumbe nyuma ya nafasi yako unajua wazi, ana mapungufu ambayo tumeyaonyesha wazi na ambayo ameyafanya si mara moja au mbili. Ndani ya nafsi yako unafahamu haamini na amepoteza uaminifu kwa umma.

Ndani ya nafasi yako unajua maswali na tuhuma alizojibu zinahitaji mpuuzi kuzikubali na kwamba ni wapumbavu watakaoshangilia.
Unafahamu hivyo wazi kabisa, sasa unaposema kuna watu wana chuki na Zitto hivi huoni unaidhulumu nafsi yako mwenyewe.

Ndio maana nasema wengi hapa hawajui ni mashabik tu.

Sisi wenye ufahamu unajukumu la kuueleza umma kuwa ni vema wakamsikiliza Zitto bila kusahau ni laghai mkubwa aliyepo nchini
Narudia ni laghai, anayehitaji uthibitisho aseme!

Matusi haya is beyond belief!. ni wewe kweli?
 
Binafsi ziwezi weka tumaini lolote juu ya Zitto.
Zitto si huyu huyu mwenye list ya watu wenye "vijisenti" uswis?
Au hizo za uswis zimekosa thamani?
Kama Zitto kweli anaogelea kwenye uzalendo na nchi kwanza,atuambie uzalendo wake kwenye hela za uswis umeenda wapi maana ana ushahidi.
Na ni huyu aliyesema vyama vikaguliwe nipo katika rekodi JF nikimuunga mkono kama nilivyomuunga mkono katia suala la Uswiss, na muungano.

WARAKA wa Kitila ukaonyesha kumbe alikuwa na ugomvi na wenzake na alitaka kutumia hoja hiyo kisiasa na kwa nafasi yake.
Anatoa hoja kujijenga kisiasa wakati tunadhani ni mwenzetu katika mapamabano
Leo anashindwa kujibu tuhuma za kuchukua milioni 6 na nyingine eti tunatakiwa tuamini tu.

Mimi huwa siongozwi na hisia, huyu mtu si mara moja au mbili amekuwa mlaghai kumpa benefit of doubt ni kujidanganya.
Tena watru wajue kuwa kisiasa hali yake inahitaji msaada kama walivyosema wartetezi wake kuwa anataka CREDIT

Vita ya rushwa inahitaji credit! real, kwamba yupo kupata credit na kus shape hali yake ya kisiasa , wenye akili tusihoji. real.

Huyu laghai ametoka nje na UKAWA, alipotoka akaanza kuwasema UKAWA wamekosea kuondoka bungeni.
Yaani yupo nje anasema wamekosea. Tukamuuliza kwanini asingebaki na akina Mrema ? HaNa jibu. H
ivi huyu laghai anawezaje kushindwa kujibu tuhuma mkadhani kakosea!

Mnataka tukubali tu kila kitu kama misukule! Hana integrity wala public trust.

Anachofanya sasa hivi ni kupigania nafsi ya kisiasa!
Ndio maana hawezi kusema kama ametafutia mzungu nyumba, amechukua milioni n.k.

Na kama hatutapata majibu, basi tutabaki kuamini kuwa ni Zitto tunayemjua, laghai mkubwa asiyeaminika
 
Sasa umeanza angalau kutambua umuhimu wa vita hii, na angalau umeanza kutambua kuwa Pesa za Umma ni za kupiganiwa kwa nguvu zote.

Nimefurahi sasa kwa Wewe kutambua kuwa Si busara kususia shamba na kumwachia Nguruwe.

Na pia Nimefurahi kwa wewe kukiri wazi kwamba ZITTO HUYU HUYU PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE AENDELEE NA HARAKATI HIZI.

Hata mimi ninaona kuwa , Pamoja na mapungufu ya kibinadamu ya Mheshimiwa Zitto, lakini ni kamanda muhimu wa vita hii, YATUPASA MIMI NA WEWE KUMUUNGA MKONO, KUMSHAURI NA IKIBIDI KUMSAIDIA KADRI TUNAVYOWEZA, KWA SABABU ANAWEZA AKAWA NA NIA NZURI LAKINI AKAKOSEA TACTICS.

INAPOTOKEA AKAKOSEA TACTIC AU APPROACH YA UPAMBANAJI, MIMI NA WEWE HATUTAKIWI KUANZA KUBEZA JUHUDI NA NIA YAKE. BALI INABIDI TUMPE MOYO NA KUMSAIDIA MAWAZO. HII VITA NI YETU SOTE, ILA KUNA WENGINE WAKO FRONT WANATUONGOZA NI LAZIMA TUSAIDIANE NA TUWASAIDIE, SI KUWABEZA, HAWA NI BINADAMU NA SI MALAIKA!.

Usitafute pa kutokea, i still maintain Kwamba zitto Hana integrity ya kupambana na ufisadi, until he proves otherwise na hiyo Ndio imekuwa hoja yetu ya msingi; sio yeye au wachangiaji Wengine humu wamekuja na majibu kwa maswali yetu.
 
Matusi haya is beyond belief!. ni wewe kweli?

Tangia lini Neno ulaghai likawa tusi? Hamuoni matusi ya akina waberoya, topical, na Wengine, Bali mnaona maneno Kama "ulaghai"?

Zitto ametulaghai na tumejadili Hilo kwa kina. Ndio maana we are being cautious kwani tunaogopa asije kutufanyia ulaghai Tena. You can call it Wivu, chuki, ulimbukeni on our part, lakini hoja juu ya ulaghai wa zitto inasimama.
 
Swali gumu kuliko yote, NI nani mwenye integrity aongoze vita hii...?

Kwann huyo mwenye integrity amekaa kimya...?
 
Swali gumu kuliko yote, NI nani mwenye integrity aongoze vita hii...?

Kwann huyo mwenye integrity amekaa kimya...?

Swali "Gumu" kwa Nani? Mbona maswali yetu "marahisi" hamjibu?

Swali juu na Nani anafaa zaidi kupambana na ufisadi is not relevant na nimejibu siku nyingi Huko nyuma; mnachofanya ni kukimbia majibu, kusubiri muda upite kisha mnarudi na maswali Yale Yale kwa nia ya kuwapata wageni humu jamvini Kama akina Topical ambao bila ya kuelewa hoja ni nini, Wanaunga tela Katika safari yenu ya hoja on road to nowhere.
 
Last edited by a moderator:

Swali limeendelea kuwa gumu au hujaliona...?

Ni nani mwenye integrity aongoze vita hii...?

Kwann amekaa kimya...?

Rukaruka unavyotaka lakini swali hili lipatiwe majibu
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi/ Nguruvi3,

Nimekuwa nafuatilia hii debate behind the scenes every time nikipata nafasi. Sikuwa nachangia kwa sababu niliona vitu vingi vinajirudiarudia na hakuna new arguments. Ila kuna kitu nimeona in these few past comments;

  1. Basically argument yako (Mchambuzi na Nguruvi3) ni kuwa regardless of what Zitto is currently fighting for, his intergrity kama mwanasiasa ina mashaka sana.
  2. Katika kujadili the main post ya Zitto, one should not involve the Escrow issue bali ilikubaki katika hoja ya msingi inabidi kujikita katika kuangalia intergrity ya Zitto and most importantly focusing on the tuhuma zilizotolewa kwenye post.

Now, kwa kufuatilia michango yenu nimeona hiii ndio conclusion yenu (correct me if am wrong) kuwa kutokana na history ya Zitto on different issues involving public interest (Buzwagi, Swiss Money, Political Parties Audit etc) he, Zitto does not have moral authority ya kuwa kinara wa kupambana na ufisadi.
  • You both agree mnampenda sana yule Zitto wa Buzwagi.
  • Lakini Zitto wa Swiss Money aliwadanganya watanzania kwa kugoma kutoa list ya walioficha pesa. (Possibly kwa masilahi yake binafsi)
  • Zitto wa Political Parties Audit, japo alifanikiwa ila waraka wa Kitila ulionesha kuwa hakuwa na public interest bali his own personal interest katika politics za ndani ya chama chake.

That being said, final CONCLUSION: Zitto is dirty, na kutoka na jinsi alivyojibu hizi tuhuma, he is propably guilty and so watanzania hawatakiwi kumuamini huyu bwana hata kidogo.

-------------------------------------------
Mimi sikubalini na nyinyi kwa sababu tu hoja zenu japo ni hoja kweli lakini hazina mashiko yenye masilahi ya kitaifa. Kwa sababu zifuatazo;

  1. Kabla ya kuziangalia tuhuma alizopewa Zitto katika his original post, ni lazima kujiuliza kwa nini hizi tuhuma zimetoka sasa hivi? Aliezileta hizi tuhuma sasa hivi ana malengo gani? Nani anafaidika ikiwa mtuhumiwa kweli atakuwa discredited kutokana na hizi tuhuma? Haya ni maswali ya msingi kujiuliza kabla ya kwenda kumungalia mtuhumiwa mwenyewe.
  2. Uki consider point yangu ya kwanza hapo juu, huwezi ukathubutu kuzitenganisha hizi tuhuma na sakata la Escrow hata kidogo. The two are completely connected. Huwezi kuongelea hizi tuhuma bila kuongelea Escrow kama kweli unataka kuziongelea kwa mapana yake na sio kuzibana kwa Zitto tu.
  3. Zitto wa Swiss Money aliichofanya ambalo ni kosa ni kutokutimiza ahadi yake. Lakini hakuiba pesa wala hakuficha pesa Uswiss. Sasa kinachomfanya akose uhalali wa kufuatilia wizi wa Escrow ni nini as far as hoja ya pesa za Uswiss is concerned? Hakuna! Unachotakiwa kukumbuka ni kuwa hii issue ilikuwa out of his own personal initiative. Kama alifanya kwa kupata umaarufu then umaarufu huo ulishaondoka (and some more) aliposhindwa kutoa hayo majina. Hakuchangisha mtu pesa, hakupata cheo,hakuomba chochote toka kwa watanzania. Mimi siwaelewi hao watanzania wana mkasirikia kwa hili. Kama hakutoa majina sababu alipewa pesa, huyu mtu bado anaisumbua serikali kwa nini wasimu expose wakammaliza once and for all?!! It does not make sense
  4. Audit ya vyama vya siasa: Again inashangaza. Nani anaweza kukataa kuwa hii hoja ina faida na maslahi kwa umma? Na hii haikuwa hoja ya Zitto peke yake, hii ilisimamiwa na PAC. Are you suggesting that Zitto amekuwa a dictator kwenye PAC kiasi kwamba anapitisha tu hoja kwa maslahi ya nafasi yake ndani ya CDM? It does not make sense

Ndio maana watu wengi humu ndani walichangia wakipingana na hoja zenu (Mchambuzi/Nduruvi3) wameshindwa kuwaelewa mcholalamika. Kwa sababu kila mtu aliona connection iliyo wazi kati ya hizi tuhuma na sakata la Escrow. Ndio maana watu hawakujali kuzungumzia hizi tuhuma. Yaani ni kuwa hii case ya tuhuma ilikufa bila hata kufika kwa hakimu kwa sababu watu walishaona dhumuni hasa la kutoka kwa shutuma hizi. Mmejaribu sana kuwarudisha watu kwenye hizi tuhuma ila mtakubaliana na mimi watu wengi wamezipuuza hizi tuhuma pamoja na majibu ya Zitto ambayo hamja ridhika nayo.

Katika comment yangu ya kwanza kabisa kwenye hili bandika nilisema, dhumuni la bandiko hili Zitto anajaribu kuwaambia watu kuwa: 'PEOPLE DO NOT BE DISTRACTED FROM THE REALLY ISSUE (ESCROW). EYES ON THE BALL'. Ila you guys, for some reasons known only by you two, have completely missed the point ya bandiko lake.
 
...........
Mchambuzi/ Nguruvi3,

kuna kitu nimeona in these few past comments;
1.Basically argument yako (Mchambuzi na Nguruvi3) ni kuwa regardless of what Zitto is currently fighting for, his intergrity kama mwanasiasa ina mashaka sana.
2.Katika kujadili the main post ya Zitto, one should not involve the Escrow issue bali ilikubaki katika hoja ya msingi inabidi kujikita katika kuangalia intergrity ya Zitto and most importantly focusing on the tuhuma zilizotolewa kwenye post.

Now, kwa kufuatilia michango yenu nimeona hiii ndio conclusion yenu (correct me if am wrong) kuwa kutokana na history ya Zitto on different issues involving public interest (Buzwagi, Swiss Money, Political Parties Audit etc) he, Zitto does not have moral authority ya kuwa kinara wa kupambana na ufisadi.
You both agree mnampenda sana yule Zitto wa Buzwagi.Lakini Zitto wa Swiss Money aliwadanganya watanzania kwa kugoma kutoa list ya walioficha pesa. (Possibly kwa masilahi yake binafsi)
Zitto wa Political Parties Audit, japo alifanikiwa ila waraka wa Kitila ulionesha kuwa hakuwa na public interest bali his own personal interest katika politics za ndani ya chama chake.
That being said, final CONCLUSION: Zitto is dirty, na kutoka na jinsi alivyojibu hizi tuhuma, he is propably guilty and so watanzania hawatakiwi kumuamini huyu bwana hata kidogo.
Nianze na sehemu hii ya kwanza.
Integrity ya Zitto katika public ina mashaka, no doubt! Tume prove bila kukosolewa. Integrity ina determine mambo yafuatayo, mobilization, support, path and outcome. Nyerere na wenzake wangekuwa hawana integrity uhuru ungetupa tabu sana. Kwavile Integrity ya akina Nyerere haikuwa na shaka, waliweza ku mobilize, kupata support bila kujali anya other factor(s) za kijamii, waka lay out the path, Uhuru ukawa outcome.
Nadhani umemsoma mchangiaji mmoja aliyesema, Zitto nakuunga mkono na nakupenda sana, lakini usije kututia changa la macho. Huyiu ni ''one too many'' katika jamii wanamuona Zitto katika jicho hiloRegardless ataataka kufanya nini, hiyo stigma inamwinda kila uchao, majibu rahisi yanamuumiza zaidi ya kumjenga.

Pili, post ya Zitto inajibu tuhuma na wala Escrow si main topic kwasababu hakujadili Escrow.
Kutokana na majibu ya tuhuma alizopewa na jinsi alivyoyaendea songo mbingo, it is a wake up call tukijua integrity yake ipo compromised.

Ndio maana nilishauri namna alivyopaswa kujibu kwasababu yeye tayari ana stigma, hivyo connection ya majibu na integrity haiepukiki.
Hata hivyo tulisema tujikite katika tuhuma, washabiki wa Zitto wakagoma na kutuelekeza kwenye integrity ya Zitto.

Well, Hatuna sababu za kuwazuia na hatuna sababu za kutojadili integrity yake huku tukitaka majibu ya tuhuma.
Conclusion uliyoseama haijatenda haki. Hatuna conclusion, tunahoji kuhusu tuhuma alizoweka ili tupate majibu ndipo conclusion itafuta. Hata hivyo kama nitafuata conclusion yako, pengine ningesema hivi, Kutokana na tuhuma alizotupiwa na majibu yasiyokidhi haja ya tuhuma, na kwa kuelewa historia ya Zitto aliyojenga katika msingi wa kukosa integrity na public trust, kuna shaka na dhamira yake. Hadi pale atakapotoka clean, bado wingu nene litatanda kwa kadri tunavyomjua sasa..
 
-------------------------------------------
Mimi sikubalini na nyinyi kwa sababu tu hoja zenu japo ni hoja kweli lakini hazina mashiko yenye masilahi ya kitaifa.
Kwa sababu zifuatazo;
1.Kabla ya kuziangalia tuhuma alizopewa Zitto katika his original post, ni lazima kujiuliza kwa nini hizi tuhuma zimetoka sasa hivi? Aliezileta hizi tuhuma sasa hivi ana malengo gani? Nani anafaidika ikiwa mtuhumiwa kweli atakuwa discredited kutokana na hizi tuhuma? Haya ni maswali ya msingi kujiuliza kabla ya kwenda kumungalia mtuhumiwa mwenyewe.
2.Uki consider point yangu ya kwanza hapo juu, huwezi ukathubutu kuzitenganisha hizi tuhuma na sakata la Escrow hata kidogo. The two are completely connected. Huwezi kuongelea hizi tuhuma bila kuongelea Escrow kama kweli unataka kuziongelea kwa mapana yake na sio kuzibana kwa Zitto tu.
3.Zitto wa Swiss Money aliichofanya ambalo ni kosa ni kutokutimiza ahadi yake. Lakini hakuiba pesa wala hakuficha pesa Uswiss. Sasa kinachomfanya akose uhalali wa kufuatilia wizi wa Escrow ni nini as far as hoja ya pesa za Uswiss is concerned? Hakuna! Unachotakiwa kukumbuka ni kuwa hii issue ilikuwa out of his own personal initiative. Kama alifanya kwa kupata umaarufu then umaarufu huo ulishaondoka (and some more) aliposhindwa kutoa hayo majina. Hakuchangisha mtu pesa, hakupata cheo,hakuomba chochote toka kwa watanzania. Mimi siwaelewi hao watanzania wana mkasirikia kwa hili. Kama hakutoa majina sababu alipewa pesa, huyu mtu bado anaisumbua serikali kwa nini wasimu expose wakammaliza once and for all?!! It does not make sense
4.Audit ya vyama vya siasa: Again inashangaza. Nani anaweza kukataa kuwa hii hoja ina faida na maslahi kwa umma? Na hii haikuwa hoja ya Zitto peke yake, hii ilisimamiwa na PAC. Are you suggesting that Zitto amekuwa a dictator kwenye PAC kiasi kwamba anapitisha tu hoja kwa maslahi ya nafasi yake ndani ya CDM? It does not make sense

Ndio maana watu wengi humu ndani walichangia wakipingana na hoja zenu (Mchambuzi/Nduruvi3) wameshindwa kuwaelewa mcholalamika. Kwa sababu kila mtu aliona connection iliyo wazi kati ya hizi tuhuma na sakata la Escrow. Ndio maana watu hawakujali kuzungumzia hizi tuhuma. Yaani ni kuwa hii case ya tuhuma ilikufa bila hata kufika kwa hakimu kwa sababu watu walishaona dhumuni hasa la kutoka kwa shutuma hizi. Mmejaribu sana kuwarudisha watu kwenye hizi tuhuma ila mtakubaliana na mimi watu wengi wamezipuuza hizi tuhuma pamoja na majibu ya Zitto ambayo hamja ridhika nayo.

Katika comment yangu ya kwanza kabisa kwenye hili bandika nilisema, dhumuni la bandiko hili Zitto anajaribu kuwaambia watu kuwa: 'PEOPLE DO NOT BE DISTRACTED FROM THE REALLY ISSUE (ESCROW). EYES ON THE BALL'. Ila you guys, for some reasons known only by you two, have completely missed the point ya bandiko lake
Mkuu, hizi tuhuma zimekuwepo mtandaoni, wengine tulizipuuza.
Tunajua kuwa ni tuhuma , lakini aliozileta Zitto na majibu hapo kukawa na hoja.

Kumbuka hizi ni tuhuma, na hivyo zinapoacha maswali mengi zaidi ya majibu inafikirisha.

Kama mtuhumiwa atakuwa discredited, wala hilo si tatizo langu au mwingine.
Kaleta mada mwenyewe kwanini tulaumiwe tunaofanya tafakuri?

Je wewe unashauri tungefanya nini hasa. Lakini pia kama atakuwa discredited hilo litaeleza integrity yake.
Nadhani alipoleta hoja alijiridhisha kuwa hakuna tatizo.

Tuhuma hizo na Escrow zipo connected, lakini main topic ya Zitto si Escrow ni kujisafisha dhidi ya tuhuma za Escrow.
Ndio maana ametaja tu escrow mara 5 kama reference, sehemu kubwa ambayo ni asilimia 96 amejibu tuhuma zinazomkabili.

Zitto alipoleta mada alipaswa kujiridhisha kuwa haitakuwa na mkanganyiko. Hapa tu panaeleza umakini wake.

Angalikaa kimya, watu wangepuuza. Vikaratasi tumeviona hatukuhangaika. Alipoleta majibu nyanya hapo katufanya wajinga, hapana!

Kama unakubali kuwa huenda suala la Uswiss lilikuwa na element za political fame,kwa kuangalia integrity yake ambayo haina mjadala, unawezaje kukosoa wale wenye wasi wasi wasi huenda hili likiwa na motive nyingine hasa pale anaposhindwa kutueleza ukweli.

Kwamba anaisumbua Serikali, nadhani tuangalie zaidi ya hapo. Mrema aliyekuwa anaisumbua serikali au Hamad Rashid si hao tunawaona. Ndio maana tunasema tunapaswa tujiridhishe kuwa tuhuma anazopewa kajibu, ili historia yake na ya wengine visije kujirudia. Haya ni mapambano yetu, hatuhitaji kwenda tukiwa na mashaka miongoni mwetu.

Audit ya vyama vya siasa ina masilahi ya umma.
Narudia tena na tena, nipo katika rekodi nikmuunga mkono Zitto kwa kutambua ina masilahi.

Nilikuwa disappointed nilipogundua wakati tunakwenda kupigana na adui kama timu, kumbe kuna wengine wanakwenda kuwa hero.

Waraka wa Kitila uliondoa maana nzima ya moral authority ya Zitto kushughulikia ukaguzi wa vyama.

Alichokifanya ni kutumia kofia ya PAC ambao hawakujua kuwa kuna Waraka kama tulivyokuwa hatujui.

Hapa ndipo neno ULAGHAI na MLAGHAI yanapotokea.

Katika Uzi huu, imerudiwa tena kuwa kuna tatizo gani Zitto akipata credit!

Haa kumbe tunakwenda vitani si kumshinda adui bali wengine kupewa medali.

Sasa unaposoma washauri wake wakisema kuna tatizo akipata credit, wewe halikusumbui kidogo. Kwamba, kuna motive nyingine !
 
mambo ya Waraka wa Kitila tulishayadiscuss sana, mwishowe tulikubaliana kutokukubaliana. nyinyi mlisema Zitto ana makosa, sisi tulisema Zitto hana makosa. MJADALA WA MADA HII NI TUHUMA ZA KIPUUZI DHIDI YA MH ZITTO MINTAARAFU SUALA LA ESCROW. usituondoe katika mada. Kama unataka mambo ya Waraka wa Kitila basi rejea katika minakasha mingi tu hapa JF kuhusiana na suala hilo.
 
Anataka kututoa kwenye mada analeta mambo ya waraka na kitila.
 
OK!
Mchambuzi/Nguruvi3
Audit ya vyamavya siasa: Again inashangaza. Nani anaweza kukataa kuwa hii hoja ina faida namaslahi kwa umma? Na hii haikuwa hoja ya Zitto peke yake, hii ilisimamiwa naPAC. Are you suggesting that Zitto amekuwa a dictator kwenye PAC kiasi kwambaanapitisha tu hoja kwa maslahi ya nafasi yake ndani ya CDM? It does not makesense

Kwamba, una hakiya kuzungumzia jambo ambalo mwingine akilizungumzia anatoka nje ya mada.
Lakinij iulize mara ngapi ninyi mumetoka nje ya mada, na mara ngapi nimesisitiza turudikwenye mada.
Mkuu, mjadala huzingatia haki ya kusema na kusikilizwa kwa kilaupande.

Pili, umesema watu hawawelewi isipokuwa sisi wawili tu. Well, upo sawa kwasababu hata wewe unayesema umeelewa huna majibu ya hoja za Zitto. Sasa nani miongoni mwetu haelewi? Anayehoji au asiyeweza kutetea anachotetea?

Tatu, endapo hoja yake ilikuwa kuwaambia watu wasiwe distracted basi alikuwa na njia mbili.
Ima akae kimya kama ilivyokuwa au ajibu kwa ukamilifu.

Kinachomtesa sasa hivi ni majibu half glass bila kujua kuwa hana public trust, integrity yake ipo all time low na kwamba, yupo on microscope kwasababu ya utata wake kisiasa.

Mkuu kuna wakati ukweli ukubaliwe hata kama una uma.
This boy is immature, it is unlikely he will mature kwasababu miaka 15 katika politics haonyeshi weledi.
Ana uwezo lakini bado hajui namna ya kupanga vitu. Ana papara na hajui wapi ni vulnerable, hana ustahamilivu, wala subra, kinda limbukeni. Msaidieni siyo kumu expose kwautetezi usiomsaidia.

hivi hawa akina Nguruvi na mchambuzi bado wako kwenye hii thread? naona kabisa hawana mshipa wa aibu kama sitti mtemvu? mwenzao alikubali ku surrender!

kama kuna mwaka Nguruvi na mchambuzi wameingia chaka na kuaibika bais ni katika hili swala!! naona ignore niliyowapa kama haitoshi vile!!
 
Anataka kututoa kwenye mada analeta mambo ya waraka na kitila.

Heee!!! Ritzkwani alliyeninukuu kutoka katika uzi wa Waraka na kuuleta hapa ni nani kama siwewe! Mimi nimesema mara 27 neno hili ‘turudi kwenye mada''

Tena nikaonyakuwa huko kwenye nyuzi za duru mnakokwenda si kwema maana mheshimiwakachufuka. Ukaleta utaratibu wa kuchukuamabandiko kule na kuyaleta hapa, sasa mnalalamika. Nilisema tubaki hapa, hukomnakoelekea kwa kijana wenu hana sifa.

Mkitaka tubakihapa hewalaa, mkitoka nje tutawafuata huko mnakoelekea.

Mmeona ehe!
 
Back
Top Bottom