Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Mkuu Uaminifukazi,

Nimekusoma vyema sana.

Ukweli siku zote utasiama tuh hata kama utapingwa pingwa na wasaka tonge kama kina nguruvi3 na jamaa zake.

Leo aibu tele zimemjaa,

teh teh teh

mh huyu jamaa ana moyo sana sikukosea sana kumbe; jaji werema kabebeshwa zigo hana mtetezi...
 
Sasa kituko cha mwaka na kipimo chao cha unafiki nasikia wanaenda kuzindua ajenda ya OPARESHENI ONDOA UFISADI. Yaleyale ya kudandia agenda za watu. Kama kweli mlikua na nia njema siku zote wakati tunapambana na hii ishu ya escrow huku mkitutukana na kutudhihaki maneno mbalimbali kupitia vibaraka wenu akina MCHAMBUZI NA NGURUV3 mlikua wapi??.
Ndugu yangu suala hili la Escrow nimeweka bandiko moja kati ya mengi. Tumeliongelea kuanzia ''get go''
Nilipozungumzia July 2 sikusubiri kusikia mtu mwingine analiongelea, nilitumia tu fikra zangu na uelewa wangu ambao si lazima ukubaliane nao.

Umezungumzia kuhusu mengine ya vyama, unachosahau ni kuwa aliyeleta hoja za uzi huu si Nguruvi3, aliyetueleza tuhuma si Nguruvi na aliyejibu tuhuma katika hali fyongo si Nguruvi. Ni mheshimiwa Zitto.

Kama ulidhani tunaweza kukaa kimya tukishangilia na pengine kupiga vigele gele(sisi wengine wanaume), hilo halitawezekana. Kuna hoja mbili, Escrow na tuhuma alizoandika na kuzijibu Zitto

Huko kwenye tuhuma na mjaibu hamtaki kabisa kwenda kwa kutambua kuwa yapo ya kuzungumzwa.
Nabaki kusema kuwa nilichosema kinabaki kama kilivyo.
Hoja za Zitto kutuhumiwa zinabaki kama zilivyo unless aje na majibu.

Badala ya kumshambulia Nguruvi, mngetumia nafasi hiyo kutoa majibu ya tuhuma na majibu ya Zitto.
 
Mkuu Uaminifukazi,

Nimekusoma vyema sana.

Ukweli siku zote utasiama tuh hata kama utapingwa pingwa na wasaka tonge kama kina nguruvi3 na jamaa zake.

Leo aibu tele zimemjaa,teh teh teh
Well, uzi huu kauleta Zitto. Nisake tonge kwa lipi?
Tuhuma katupiwa Zitto, nisake tonge kwa lipi? Majibu katoa Zitto nisake tonge kwa lipi?

Ukiwa mkweli, ukweli utaweka huru. Na wala huwezi kuwa na marafiki ukisimama katika ukweli.
Rafiki wa kweli wa ukweli ni yule anayesimama katika ukweli.

Mtatutkana na kusema kila baya dhidi yangu, hilo halitaniondoa katika Uzi ambao mumeshindwa kusimama na kutetea hoja zinazotokana. Hoja zinatokana na Uzi wa Zitto, Nguruvi ana kosa gani?

Kosa la Nguruvi ni kutopiga vigele gele! hapana!
Nguruvi anafanya matumizi mazuri ya kichwa chake. Hategemei kufungua geti ili mkate uwekwe mezani.
Nguruvi hasubiri mwanaume mwingine afikirie kwa niaba yake.

Ukweli utasimama, na wala hakuna kilichobadilika katika niliyosema
Taarifa ya PAC haina majibu ya tuhuma alizoleta Zitto, alizojibu Zitto! Utendeeni haki uzi wa Zitto

Kama mlidhani uzi huu ulikuwa mahususi kwa kushangilia, nadhani mliingia forum isiyo sahihi.
Hasira zote si kwasababu ya uzi, ni kwasababu pengine hoja tunazotoa zinakwenda kinyume na malengo ya uzi.

Tutasimama katika ukweli ili tuwe huru.
 
Kumekuwa na tuhuma dhidi ya baadhi yetu kuwa tuna chuki na Zitto. Hakuna anayethibitisha chuki ipo wapi tukizingatia kuwa uzi umeletwa, kujadiliwa na kufafanuliwa na Zitto.

Tulichokifanya ni kutaka ufafanuzi zaidi ya maelezo yake yanayoelea au yasiyo na mjibu.
Katika kutafuta ukweli huo, rafiki wa karibu sana kisiasa ambaye amekiri hivyo Ndugu Kitila mkumbo ametueleza kuhusu umakini na udhaifu wa rafiki yake Zitto.

Pengine ni kwa muongozo huo mzuri wa Kitila, nasi tuliokuwa pamoja naye tukaingiwa na shaka.
Hapa Kitila Mkumbo anathibbitisha kuwa tunachosema si chuki bali ni ukweli alioandika mwenyewe.

Msome, nikiweka mkazo katika maeneo yanayoshabihiana na uzi huu

Maandishi na maneno ya Kitila Mkumbo kutoka katika WARAKA

Udhaifu wa tunayemtaka:
Maneno yake mara nyingine hayazingatii anayazungumza katika mazingira gani na hivyo kuwasha masikio ya wanataasisi jambo linalompunguzia kukubalika kwake taratibu.

Kama ilivyo kwa maneno, kuna matendo pia ambayo mara nyingine huyafanya bila kuzingatia mazingira na wasikilizaji wake na hivyo kupunguza imani ya wana taasisi kwake.

Hali ya ndoa ya tunayemtaka kutoeleweka msimamo wake

Kuna wakati tunayemtaka hu-respondkwa taharuki kubwa dhidi ya mashambulizi yanayoelekezwa kwake jambo linalomfanya achukue maamuzi yasiyo sahihi kwa wakati huo. Kwa kifupi kuna wakati tunayemtaka huonekana kufanya maamuzi kwaemotion zaidi badala ya kutulia kwanza na kutafakari kwa kina ikiwa ni pamoja na kutafuta ushauri kwa wenzake kabla ya kurespond.

Jambo lililoelezwa katika ‘d' hapo juu humfanya tunayemtaka wakati mwingine kuonekana ana jazba sana kwa sababu akishataharuki na kuchukua maamuzi akingali kwenye taharuki huwa ni rahisi sana kuonekana anajibu mapigo kwa jazba sana.

Ustahimilivu: yaliyotajwa katika ‘d' na ‘e' hapo juu yanaashiria tunayemtaka si mstahimilivu sana sifa ambayo inahitajika sana kwa kiongozi.

Uwazi: Katika taasisi zetu hizi ni muhimu sana kuepuka kufanya mambo yote wazi wazi hata kama ni mema ama ni haki ya mhusika ama si makosa katika jamii tuliyomo. Kuna mambo ambayo ni haki ya mtu mfano mahusiano binafsi ya kimapenzi, kuwa na marafiki wa damu kutoka upande mwingine wa utawala, nk. Lakini mambo hayo ni muhimu wakati mwingine ama kwa kiwango fulani yakafanywa kwa siri kuepuka mitazamo potofu kwa unaowaongoza
Kitila anatutetea kwa hoja zetu.

Je, si kweli kuwa maamuzi ya kujibu tuhuma bila ushauri na kufikiri ndicho chanzo cha zogo la uzi huu?

Je, si kweli kuwa Zitto amechukua maamuzi ya ku-respond kwa taharuki. Nani aliwahi kumuuliza kuhusu mengi aliyosema?

Je, Kitila anaposema Zitto asifanye mambo kwa uwazi, hapa si ndipo tunapotilia shaka hasa kwa tuhuma alizotupiwa?

Je, si kweli kuwa uzi huu wa taharuki umeleta mtazamo potofu kwa anaowaongoza kama Kitila anavyosema

Je, si kweli kuwa maamuzi ya kujibu tuhuma zilizoonekana kutokuwa na mashiko ilikuwa ni taharuki na maamuzi yasiyo sahihi kama alivyosema Kitila?

Kwa mtazamo huu, nani mwenye chuki baina yetu na Kitila?
Kama si Kitila kosa lipo wapi tukitumia muongozo wa kitila kufanya uchambuzi kuhusu mtu aliyemuandikia SWOT?

Mag3 Mchambuzi JokaKuu zumbemkuu jitegemee Adharusi Waberoya Gamba la Nyoka
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3 ngoja tuwasikilize wale wafuasi wake, nasikia leo bungeni kasema jana ndo kakaribishwa rasmi ukawa, sijaelewa mantik yakusema hivyo ilihali aliiponda ukawa kuwa ni wasaka tonge, anyway labda ndo hayo madhaifu anayoyasema mshirika wake kitila.
 
Last edited by a moderator:
Kumekuwa na tuhuma dhidi ya baadhi yetu kuwa tuna chuki na Zitto. Hakuna anayethibitisha chuki ipo wapi tukizingatia kuwa uzi umeletwa, kujadiliwa na kufafanuliwa na Zitto.

Tulichokifanya ni kutaka ufafanuzi zaidi ya maelezo yake yanayoelea au yasiyo na mjibu.
Katika kutafuta ukweli huo, rafiki wa karibu sana kisiasa ambaye amekiri hivyo Ndugu Kitila mkumbo ametueleza kuhusu umakini na udhaifu wa rafiki yake Zitto.

Pengine ni kwa muongozo huo mzuri wa Kitila, nasi tuliokuwa pamoja naye tukaingiwa na shaka.
Hapa Kitila Mkumbo anathibbitisha kuwa tunachosema si chuki bali ni ukweli alioandika mwenyewe.

Msome, nikiweka mkazo katika maeneo yanayoshabihiana na uzi huu

Maandishi na maneno ya Kitila Mkumbo kutoka katika WARAKA

Kitila anatutetea kwa hoja zetu.

Je, si kweli kuwa maamuzi ya kujibu tuhuma bila ushauri na kufikiri ndicho chanzo cha zogo la uzi huu?

Je, si kweli kuwa Zitto amechukua maamuzi ya ku-respond kwa taharuki. Nani aliwahi kumuuliza kuhusu mengi aliyosema?

Je, Kitila anaposema Zitto asifanye mambo kwa uwazi, hapa si ndipo tunapotilia shaka hasa kwa tuhuma alizotupiwa?

Je, si kweli kuwa uzi huu wa taharuki umeleta mtazamo potofu kwa anaowaongoza kama Kitila anavyosema

Je, si kweli kuwa maamuzi ya kujibu tuhuma zilizoonekana kutokuwa na mashiko ilikuwa ni taharuki na maamuzi yasiyo sahihi kama alivyosema Kitila?

Kwa mtazamo huu, nani mwenye chuki baina yetu na Kitila?
Kama si Kitila kosa lipo wapi tukitumia muongozo wa kitila kufanya uchambuzi kuhusu mtu aliyemuandikia SWOT?

Mag3 Mchambuzi JokaKuu zumbemkuu jitegemee Adharusi Waberoya Gamba la Nyoka

ZITTO kama binadam lazima awe na udhaifu,ndio tukea uzi ule wa kufukuzwa CHADEMA nilisema kuna vitu natofatiana sana na zitto,ila nakataa sababu zilizotumika kumfukuza CDM kwa jambo ambalo hakufanya
 
Could it be the one?
compareand contrast behavior of jaji werema and mr.nguruvi3

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/782893-taarifa-act-tanzania-hatuna-ushirika-na-cuf.html
Wanajamvi
Uzi huu utakumbusha machungu mengi kwa baadhi yenu. Nina uhakika mnatamani msingeandika mliyoandika.
Mnatamani mumeze kauli zenu za matusi na kejeli, na mnatamani kutuomba radhi wale tunaoona leo na kesho.

Tuliwahi kusema Kitila na Zitto integrity yao ni matatizo.
Nadhani mnasikia yanayotokeahuko ACT. Hapa kuna tuhuma nzito

Tulisema ukweli ni silaha bora na humweka mtu huru. Leo wengine mumejificha hamtaki hatakuona jamvi.
Sura zenu zimesawijika kwa fadhaa na simamzi. Mliowakaidhi akili wamezitupa mtoni, nanyi mumebaki na mafuvu ya nazi.

Ukweli nikitu kizuri, utakuweka huru mbele ya jamii.
Wapowaliotuelewa na kutufariji
Nguruvi3 na Mchambuzi shukrani za pekee ziende kwenu.Nimefatilia mjadala huu tokea day one hadi leo hii.
Kwakweli mmeonyesha weledi wenu wa kusimamia kile mnachokiamini na mnakijengeanguvu ya hoja na siyo vioja.

Mmetukanwa sana,mmekejeliwa sana na mmetishwa sana…lakini mwisho wa sikuwasomaji wenye akili watajuwa au wameshajuwa mchele ni upi na pumba ni zipi.Kwa pamoja mmeshinda!…hayo mengine kutoka kwa hao wengine ni mbwembwe na blahblah tu.

Nilikuwepo.
Waberoya zumbemkuu dolevaby CHAMVIGA Ritz GalaxyS3 Mchambuzi THE BIG SHOW Granta Shardcole Mingoi mshikachuma Alexandry Nemesi Mbepo yamba Gamba la Nyoka

Kunguru hafugiki,na wala coward aliyevaa joho/Kilemba hawezi kuwa saint/Nabii
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/782893-taarifa-act-tanzania-hatuna-ushirika-na-cuf.html
Wanajamvi
Uzi huu utakumbusha machungu mengi kwa baadhi yenu. Nina uhakika mnatamani msingeandika mliyoandika.
Mnatamani mumeze kauli zenu za matusi na kejeli, na mnatamani kutuomba radhi wale tunaoona leo na kesho.

Tuliwahi kusema Kitila na Zitto integrity yao ni matatizo.
Nadhani mnasikia yanayotokeahuko ACT. Hapa kuna tuhuma nzito

Tulisema ukweli ni silaha bora na humweka mtu huru. Leo wengine mumejificha hamtaki hatakuona jamvi.
Sura zenu zimesawijika kwa fadhaa na simamzi. Mliowakaidhi akili wamezitupa mtoni, nanyi mumebaki na mafuvu ya nazi.

Ukweli nikitu kizuri, utakuweka huru mbele ya jamii.
Wapowaliotuelewa na kutufariji Waberoya zumbemkuu dolevaby CHAMVIGA Ritz GalaxyS3 Mchambuzi THE BIG SHOW Granta Shardcole Mingoi mshikachuma Alexandry Nemesi Mbepo yamba Gamba la Nyoka

Kunguru hafugiki,na wala coward aliyevaa joho/Kilemba hawezi kuwa saint/Nabii

bado hujafahamu kinachotokea ndani ya ACT, bado hujajua nature ya mgogoro wenyewe tayari ushajump to conclusion!! absurd!, Zitto ambaye mpaka hivi sasa siyo mwanachama wa ACT ameingiaje hapo?.

What if Tatizo ni Hawa viongozi wa mpito na si kina Kitila na Mwigamba?
Je umeshafanya research yoyote ya kiini na nature ya mgogoro huo?
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!!!!
 
Umesahau kwamba hata Chadema ilijengwa kwa misingi hii ya matamko kila uchao? Kifupi mgogoro huu ni mtaji mzuri kwa ACT manake unawaweka kwenye magazeti kila siku. Hata hivyo sijaona uhusiano wa Zitto na mgogoro wa chama cha ACT.
 
You guys dont waste time kumjibu mtu ambaye ana childish mentality, bado ana hasira ya escrow

Yote aaliyoyaandika hapo sidhani kama ni busara kwenu kumjibu maana ni maada nyingine, ila hataki kuamin kwenye uzi huu, alitokota na kujiharibia, ila haamini bado.
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/782893-taarifa-act-tanzania-hatuna-ushirika-na-cuf.html
Wanajamvi
Uzi huu utakumbusha machungu mengi kwa baadhi yenu. Nina uhakika mnatamani msingeandika mliyoandika.
Mnatamani mumeze kauli zenu za matusi na kejeli, na mnatamani kutuomba radhi wale tunaoona leo na kesho.

Tuliwahi kusema Kitila na Zitto integrity yao ni matatizo.
Nadhani mnasikia yanayotokeahuko ACT. Hapa kuna tuhuma nzito

Tulisema ukweli ni silaha bora na humweka mtu huru. Leo wengine mumejificha hamtaki hatakuona jamvi.
Sura zenu zimesawijika kwa fadhaa na simamzi. Mliowakaidhi akili wamezitupa mtoni, nanyi mumebaki na mafuvu ya nazi.

Ukweli nikitu kizuri, utakuweka huru mbele ya jamii.
Wapowaliotuelewa na kutufariji Waberoya zumbemkuu dolevaby CHAMVIGA Ritz GalaxyS3 Mchambuzi THE BIG SHOW Granta Shardcole Mingoi mshikachuma Alexandry Nemesi Mbepo yamba Gamba la Nyoka

Kunguru hafugiki,na wala coward aliyevaa joho/Kilemba hawezi kuwa saint/Nabii

PAC and Escrow vinahusiana vipi na kitila na ACT?? ebu acha utoto bana!! anzisha uzi mwingine

plz dont mention my name kwa vitu vya kijinga we busy in other important issues

wengine tuliishasahau kabisa uzi huu, ila kwa maumivu usiyoyasahau bado unaukumbuka

grow bana get life

tulibishana yakaisha sio kuendeleza gubu tu na vinyongo

acha hizo zina kudefine kind of person you are, na sio vzr ni forums tu hizi kama debate tu

ndio nyie vitu vya mwaka juzi mnavibishia mpaka leo; na ndio maana hata kunenepa kwako ni kazi mno, unabeba mambo mengi mno moyoni na akilini.....na hivyo ni viturubisho vya cancer na pressure

uzi uliishafungwa huu kama unataka kujiabisha nadhani Gamba la Nyoka na Chamviga wameisha kujibu kwa just few words ambavyo ni kukudhalilisha wewe

acha hizo
 
Thank you.

Nadhani umemaliza hapo Mkuu Moja kwa moja,

Mimi sina cha kuongeza.

Tutamuua huyu Mtu ANAEITWA NGURUVI3.

TEH TEH TEH TEH

heeh,heeh mwanaZitto in a panic mode,majibu yanakudhalili bora ungepiga kimya tu.hili la kuwa na mahaba na mtu badala ya vitu inaumiza sana
 
bado hujafahamu kinachotokea ndani ya ACT, bado hujajua nature ya mgogoro wenyewe tayari ushajump to conclusion!! absurd!, Zitto ambaye mpaka hivi sasa siyo mwanachama wa ACT ameingiaje hapo?.
hata mtoto mdogo huwezi mdanganya.....ni vigumu kumtenganisha zitto na act.
 
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Kamati ninayoongoza ya PAC kuwasilisha Bungeni Taarifa Maalumu kuhusu ukaguzi maalumu wa akaunti ya Tegeta Escrow, kumekuwa na kampeni za chini chini zinazoendeshwa kwenye korido za Bunge na kwenye mitandao dhidi yangu binafsi na baadhi ya wabunge waliosimama kidete dhidi ya wizi wa fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania akaunti ya Escrow.

Baadhi ya tuhuma nimezipeleka kwenye vyombo vya dola ili zichunguzwe kwani zina vielelezo vya mahala pa kuanzia (kama leseni ya udereva ya mwanamke anajulikana kama Vivian Emmanuel Sirikwa na muhuri wa kampuni ya uwakili inayomilikiwa na Bwana Joseph Mkandege). Baadhi ya tuhuma nitazijibu moja baada ya moja.

Waziri mmoja ambaye ni mtuhumiwa wa wizi wa fedha za Tegeta Escrow anazunguka kwa wabunge akisema tuhuma hizi kupikwa kama njia yake ya kuhamisha mjadala kutoka uporaji wa Tshs 200 bilioni kwenda kwenye masuala binafsi.

Tuhuma hizi zenye kichwa cha habari "Zitto na Filikunjombe wanatumiwa na Kenya na Uingereza kuvuruga na kudhoofisha Uwekezaji nchini mwetu" zinajibiwa hapa chini. Utaona ndugu Filikunjombe ametajwa kwa kichwa cha habari ili kumtaja tu bila sababu yeyote ile.

Tuhuma #1 :

Zitto anaye rafiki yake Mkenya aitwae Rapahel Ongangi ambao kwa pamoja wameanzisha Gombe Advisors Co. Ltd (registered on 24 November 2011, Certificate No 87387) kwa ajili ya kufanya biashara na Makampuni ya Gesi na Mafuta yanayofanya kazi nchini hapa.

Majibu:

Gombe Advisors ni kampuni binafsi isiyofanya faida yaani ‘Company Limited by Guarantee’. Haina kazi na kampuni yoyote ya Gesi na Mafuta na wala yenyewe haijuhusishi na biashara hiyo. Gombe advisors haijafanya kazi yoyote ile na kampuni nyingine zaidi ya kusaidia wasanii wa kundi la Kigoma All stars. Upotoshaji hapa unalenga kupindisha mjadala.

Tuhuma #2 :

Zitto amemsaidia Ongangi kupata uraia wa Tanzania na kwa sasa ni raia wa pasipoti. Zitto na Ongangi walimtafutia CEO wa Shell aitwae Axel Knospe nyumba na gari ya kukodi.

Majibu:

Raphael ni mtu binafsi ambaye anafanya shughuli zake hapa nchini, amesoma hapa nchini na ameoa na ana mtoto. Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo. Wanaotoa tuhuma hizi waonyeshe hiyo pasipoti ya Bwana Ongangi kuthibitisha madai yao.

Tuhuma #3 :

Mikataba ya STATOIL iliyokuwa inarushwa kwenye mitandao ya jamii na kuchapishwa kwenye magazeti ya Kenya ya hapa nchini (The Citizen na Mwananchi) mwandishi mkuu alikuwa huyo CEO wa Shell.

Majibu:

Mkataba uliovujishwa wa StatOil ulivujishwa na waandishi wa habari wa Norway. Uchambuzi wa mkataba huo nimeufanya mwenyewe kwa kutumia utaalamu wangu niliosomea wa kuchambua mifumo ya kodi kwenye sekta ya mafuta na gesi. Kwa namna yoyote ile, huyo anayetajwa kuwa CEO wa kampuni ya Shell hahusiki. Tuhuma hii wanaoitoa watoe ushahidi usio na chembe ya mashaka.

Ikumbukwe kuwa mkataba wa StatOil utaipotezea Tanzania mapato ya dola za Marekani bilioni 12 (takribani Tshs 20,400,000,000,000/=) katika kipindi cha miaka 15 baada ya gesi kuanza kuchimbwa. Uamuzi wa Kamati ya PAC kutaka mikataba yote ya Gesi kuwa wazi una lengo la kuchambua kuona kama mikataba yote nchini haipotezi mapato kwa nchi. Uamuzi huo umewakasirisha sana baadhi ya waliohusika kuingia mikataba Serikalini maana wanajua kuna madudu kwenye mikataba na wanataka umma wa watanzania usijue!

Tuhuma #4 :

Kampuni ya SHELL imechukizwa sana kucheleweshwa kwa kupata kibali cha kutafuta gesi na mafuta kule Pemba. Vilevile SHELL haina uwekezaji mkubwa Tanzania Bara kwani ilishindwa kwenye tenda zenye vitalu vyenye gesi nyingi upande wa Bara.

Majibu:

Ukweli ni kuwa Kampuni ya Shell ina vitalu 4 huko Zanzibar na tayari ina makubaliano na Serikali ya Zanzibar kuhusu utafutaji mafuta huko katika vitalu namba 9,10,11 na 12. Shell inafanya kazi na kampuni ya Petrobras ya Brazil kwenye kitalu namba 6 na namba 8. Taarifa hizi zipo wazi kwenye tovuti ya TPDC. Tuhuma nyepesi namna hii dhidi ya kampuni kubwa kama Shell zinaonyesha dharau na kiburi kinachotokana na uelewa mdogo wa mambo wa watu wanaotuhumu.

Tuhuma 5:

Ongangi anapokea maelekezo kutoka Serikali ya Kenya kuhujumu uwekezaji nchini mwetu.

Majibu:

Nazifahamu mbinu nyingi zinazotumika kufanya propaganda, lakini mbinu hii imeshindwa ikiwa mapema sana. Ni vema wanaotoa tuhuma hizi wazithibitishe vinginevyo ni mwendelezo wa propaganda zisozingatia diplomasia ndani yake dhidi ya jirani zetu wa Kenya. Hizi ni propaganda hatari ambazo hata hao wanaotuhumiwa wakisikia watatudharau sana.

Tuhuma #6 (juu ya Uingereza):

Uingereza imekuwa inamfadhili Zitto kwa miaka mingi kwa mambo yake ya kisiasa kwa hiyo sasa hivi Ubalozi wa Uingereza unamlipa Zitto na Kafulila kuhakikisha kwamba Standard Chartered ya Uingereza inalipwa deni lake lisilotambulika kisheria nchini mwetu.

Majibu:

Nimetangulia kusema hapo awali kuwa kuna propaganda ambazo haziangalii hata diplomasia; nyingine ni hii. Pamoja na kukanusha uzushi huu, ni vizuri wanaotoa tuhuma za namna hii kuthibitisha. Mimi binafsi sijawahi kufadhiliwa kisiasa na Taifa lolote lile. Inaelekea kuna wanasiasa wanaofadhiliwa na mataifa mengine ambao kwakuwa kwao ndiyo maisha wanaamini na wengine tupo kama walivyo. Kwangu itikadi yangu ni ‘Uzalendo kwa nchi yangu’, ni jambo ambalo halina mbadala wake. Siku zote nasema “Right or wrong, my country first". Kurudia kurusha tuhuma kwa Ubalozi wa Uingereza nchini ni kudhihirisha kwa mara nyingine kiburi cha kuwa na mamlaka (arrogance of power) walicho nacho wanaotuma tuhuma hizi.

Aidha, wanatuhumu kuwa “Kafulila na Zitto wamehaidiwa 15% ya USD 150 million kama deni likilipwa”

Mtanzania anayeweza propaganda dhaifu kama hizi basi anatakiwa ajitafakari. Hata hivyo ni vema wanaotoa tuhuma hizi wathibitishe bila chembe ya mashaka.

Tuhuma #7 :

Mbunge Mkono nae ameshikwa hasira kupoteza kazi ya uwakili pale TANESCO. Kafulila na Zitto wanalipwa na Mkono kuvuruga Serikali kwa hasira za kukosa fedha za kitapeli za TANESCO.

Majibu:

Hizi ni tuhuma ambazo sasa tumezizoea kutolewa. Mambo mepesi hayawezi kujibu mambo ya msingi kama tuhuma za wizi wa fedha zaidi ya Tshs bilioni 200 kutoka Benki kuu ya Tanzania. Kukusanya kila propaganda ili kuuhamisha umma ni kupungukiwa hekima na busara.

Aidha, wanaotuhumu wanadokeza kuwa “Naomba tuwe macho na Wabunge wetu achananeni na madai ya Zitto ya wizi. Huyu mtu anafanya biashara na Kampuni ya SHELL na inasemekana analipwa na Ubalozi wa Uingereza. Serikali ya Kenya na tapeli mkubwa Mbunge Mkono nae anawalipa Zitto na Kafulila”.

Watanzania, haya ni maneno ya hasira ya watu wanaokaribia kukamatwa kwa kushiriki wizi wa fedha katika Benki kuu ya Tanzania. Kamwe tuhuma kama hizi haziwezi kutukatisha tamaa katika kupambana ili ukweli ujulikane. Sisi tutapigana kwa ajili ya Taifa, kwa ajili ya mtanzania na tunachotaka ni umma uujue ukweli wa mambo.

Hasira hizi zinatokana na mambo mawili:

Moja ni uamuzi wa kamati ya PAC kuwasweka ndani baadhi ya watendaji wa TPDC kwa kushindwa kutekeleza maamuzi ya Kamati yanayohusu uwazi wa mikataba ya Gesi na Mafuta.

Pili, ni uamuzi wa PAC kuagiza ukaguzi maalumu wa mchakato mzima wa kuanzishwa na kufungwa kwa akaunti ya Tegeta Escrow ambapo zaidi ya shilingi bilioni 200 ziliporwa na zaidi ya shilingi bilioni 12 zinalipwa na TANESCO kila mwezi kwenda kampuni ya PAP inayomilikiwa na Harbinder Singh Seth (50%) na watu wasiojulikana kupitia kampuni ya Simba Trust iliyosajiliwa na kufichwa nchini Australia (50%).

Ieleweke kuwa PAP inalipwa shilingi milioni 400 kila siku kutoka TANESCO izalishe au isizalishe Umeme! Watanzania, PAP itaendelea kulipwa namna hiyo kwa miaka 20 ijayo. Kwa namna ambayo Seth analindwa na baadhi ya watendaji Serikalini na hasa ndani ya Wizara ya Nishati na Madini. Aidha, kuna fununu kuwa kuna maofisa serikalini wanaomiliki hizo 50% za kampuni ya PAP. Seth pia anamiliki kitalu cha gesi Mnazi bay Kaskazini kupitia kampuni ya HydroTanz.

Hasira hizi walizo nazo wanaonituhumu na Kamati yangu zimewapelekea kugushi nyaraka mbalimbali zinazonituhumu mimi na wenzangu ili kutuogopesha na kutukatisha tamaa katika kutafuta ukweli juu ya suala la uporaji wa fedha kutoka Benki kuu. Lengo lao ni kututoa kwenye mstari. Mimi na wenzangu hatutatoka kwenye mstari, tutashirikiana na wabunge wenzetu kuhakikisha ukweli unajulikana na wezi kuchukuliwa hatua kali.

Harbinder Singh Seth aliiangusha Serikali ya KANU nchini Kenya, sasa anachotaka kukifanya kinaweza kuiangusha Serikali ya CCM wakiendelea kumkumbatia. Watanzania sio mabwege!

Zitto Kabwe
Mwenyekiti PAC

Dodoma, 9 Novemba 2014

Huko kote mwanzo umeongea vizuri ingawaje hukutoa ushahidi wa kutosha mfano ungeweka passport ya huyo mjaruo ambaye ni vigumu kujua kama ni mjaruo wa Kenya au Tanzania ILA kwenye paragraph yako ya mwisho kama kweli huyo Singasinga alikuwa kiini cha KANU kupoteza ushindi Kenya basi ni mtu muhimu sana hapa Tanzania na CCM wanatakiwa kuendelea kumkumbatia.

Hivi wewe bwana Zitto una dual political party membership - CCM & Chadema? Nauliza kwa sababu kwenye red unaonyesha kupata hofu kubwa endapo CCM itaondoka madarakani!!
 
Back
Top Bottom