Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Nadhani lengo ni hilo.
Kwani huoni wapambe leo wanazungumzia taarifa kwa bidii, wakati uzi unahusu tuhuma. Hakuna anayesema tuhuma ni uongo au ukweli. Kila mmoja kakaa mbali, leo wanatuondoa katika uzi husika.

Ili tuhuma ziwe uongo au ukweli inapaswa kuletwa ushahid au kujadiliwa in the court of law.

Kama unataka ukweli au uwongo wa hizo tuhuma nenda mahakamani.

Au kama una ushahid tuwekee.

Maana tokea ulipoanza kutoa povu hakuna la maana unalolisimamia.

Teh teh teh.
 
I think hili ulipaswa kulifanya wewe.

Nashangaa stil upo unaonyesha shanga.

Huoni aibu wala soni?

Teh teh
Aibu gani? Mada iliyopo na iliyojadiliwa ni ya Zitto. Kumbu kumbu zipo, hebu onyesheni aibu i wapi?
 
Ili tuhuma ziwe uongo au ukweli inapaswa kuletwa ushahid au kujadiliwa in the court of law.

Kama unataka ukweli au uwongo wa hizo tuhuma nenda mahakamani.

Au kama una ushahid tuwekee.

Maana tokea ulipoanza kutoa povu hakuna la maana unalolisimamia.

Teh teh teh.
Tuhuma sikuandikia uzi mimi, na wala sijasema popote ni ukweli au uongo. Nilichosema ni kuhoji tu sehemu zilizorukwa. Tatizo lipo wapi? Mbona mnanibebesha uzito wa uzi wakati aliyeandika ni Zitto!
 
Nadhani lengo ni hilo.
Kwani huoni wapambe leo wanazungumzia taarifa kwa bidii, wakati uzi unahusu tuhuma. Hakuna anayesema tuhuma ni uongo au ukweli. Kila mmoja kakaa mbali, leo wanatuondoa katika uzi husika.
Ni kweli kabisa nakubalina na wewe leo Zitto kaongeza wapambe kutoka kwa watanzania wenye uchungu na nchi yao, leo ndugu yangu naona ulikuwa unamuangalia Zitto anavyipigania taifa lake huku maatumbo yanakukata.
 
Last edited by a moderator:
Tuhuma sikuandikia uzi mimi, na wala sijasema popote ni ukweli au uongo. Nilichosema ni kuhoji tu sehemu zilizorukwa. Tatizo lipo wapi? Mbona mnanibebesha uzito wa uzi wakati aliyeandika ni Zitto!
Teh teh teh!!!
 
Ni kweli kabisa nakubalina na wewe leo Zitto kaongeza wapambe kutoka kwa watanzania wenye uchungu na nchi yao, leo ndugu yangu naona ulikuwa unamuangalia Zitto anavyipigania taifa lake huku maatumbo yanakukata.
Ngoja niwaonyeshe kuwa sisi wengine tunapigania taifa hata kabla ya ninyi kumsoma Zitto.

Leo hamjadili uzi wake, mnajaribu kusema mambo ili kuonyesha kuwa ZZK aanatuhumiwa kwa chuki.
Hamjadili uzi wake mnakwenda nje. Sasa huko nje nako mtaona na kushangaa jinsi wengine tunavyoyaangalia mambo kwa mtazamo mpana na si kuabudu.

Uzi huu wa Zitto ameandika Tarehe 9 November 2014
Soma uzi wa Nguruvi alioandika tarehe 2 July, yaani miezi miwili kabla hamjabaini tatizo.

Mkimaliza kusoma, mrudi hapa,

Ni uzi kutoka duru, mmoja kati ya mingi tuliyopigania ukweli uwekwe wazi. Anayehitaji link nitaweka

MATUKIO YA NCHINI TANZANIA
MSIMAMIZI WA SHERIA ANAPOVUNJA SHERIA
ESCROW YAKWEPESHWA KIAINA, LENGO KUFICHA UOVU

Bado tunafuatilia suala la mashariki ya kati kwa ukaribu.
Hadi sasa Marekani imepeleka wanajeshi 800 kwa walichosema ni kulinda ubalozi na interest za Marekani
Kwa sababu hizo, itabidi walinde uwaanja wa ndege, wanadai.

Inachoogopa Marekani ni mashambulizi dhidi ya Sunni, au kuwasaidia Shia.
Pia wanataka kumuondoa Nur Al Malki kwa namna ambayo haitwaudhi Mashia. Tutaendelea kuhabarisha k

Hapa nyumbani kuna tukio lisilo la kawaida katika siasa za nchi. Mwanasheria mkuu alitaka kumpiga mbunge. Mtunza sheria anaposimama mbele ya chombo cha kutunga sheria ili avunje sheria alizopewa azisimamie ni jambo lisilo la kawaida kwani halijatokea tangu tumepata Uhuru.

Mashaka zaidi ni weledi wa Mwanasheria Werema anayeanatoka 'kimtaani' kwa kuudhi na kudhalilisha.
Ni Jaji kwa wadhifa, matarajio ya umma ni uwezo mzuri wa kutambua, kuchambua na kuamua kuliko raia
Inapotokea majibu yake hayalingani na Kiwango, inatia shaka sana.
Hasira zake zilizopelekea ''ngumi mkononi '' zimetokana na suala la kutiwa Mtuhumiwa.

Utuhumiwa unatokana na mazingira tata ya pesa za Escrow ambazo hazina majibu ya kueleweka.
mbunge Kafulila kauliza baada ya kulindana kusiko na sababu. Escrow, ni sehemu ya tatizo la IPTL.

Spika Anne Makinda akazuia kuundwa tume huru ya bunge. Walichokifanya ni suala linapelekwa kwa uchunguzi PCCB, CAG na Polisi.Hivi ni vyombo vya dola haviwajibiki kwa bunge.
Taarifa zake zinapelekwa serikalini ambako kuna watuhumiwa wakubwa.

Mtandao kufisadi kiasi umeenea serikalini kama alivyotajwa katibu mkuu Maswi, bunge kwa Mwanasheria mkuu, BoT n.k. Hao wote wametajwa tu kama tuhuma na duru tunabaki kusema ni tuhuma.

Hii inatoa picha kuwa hakuna PCCB,CAG au Polisi anayeweza kuvuka uzio uliotengenezwa.
Suala la Richmond, PCCB walitetea uhalifu. Leo tunajua uchafu ule na watu waliohusika.

Njia ya kufunika uhalifu huu wa Escrow ni taarifa na uchunguzi unafanywa na serikali inayotuhumiwa.
Ni mazingaombwe yanaendelea, utajulikanamiaka mingi ijayo si leo

Mwanasheria Werema alipoombwa atoe ufafanuzi, alikimbilia hoja ya kumwita mbunge Tumbili.
Hilo tu kwa mtu wa hadhi yake ni dhalili sana. Mzee wa umri hapaswi kuzungumza matusi hata kama ni sehemu ya malezi au utamaduni. Nafasi yake ni ya kimataifa na kitaifa, anapaswa kujua neno la kawaida kwa raia kwakwe ni habari.

Hata alipofanya hivyo Spika alimkingia kifua, dalili kuwa mtandao wa kulindana ni mpana sana.
Spika hawezi kusimamia kanuni, mwanasheria hawezi kusimamia sheria, nchi inajiendea kama boya.

Hoja hapa ni kuwa wakati umefika hatua za makusudi za kurudisha serikali yenye nidhamu na heshima mbele ya umma zichukuliwe.

mawaziri kusotana vidole, wabunge kuchoma madole, waziri naye kusema mbovu kwa waingereza, mwanasheria kutaka nafasi ya tyson na upuuzi mwingine ambao hauhitaji microscope kuubaini.

Matukio ya namna hii yanazidi kuonyesha, udhaifu, ombwe na dhalili ya serikali ya leo.

Tusiposema uchafu huu unaofumbiwa macho na JK utageuka kuwa utamaduni.
Tayari watu kwama katibu mkuu Maswi hawajibu hoja wala kufafanua, ni kuonyesha ubingwa wa kutukana . Rais yupo kimya, why?

Werema na Maswi wanapeleka ujumbe kuna kulindana. Kinyume chake watmishi hawa wa umma wasingekuwa na jeuri ya kuudhalilisha umma.
Unapotukana mbele ya kipaza sauti ukiwa mwanasheria au katibu mkuu unaudhalilisha umma wa Watanzania.

Tusemezane

cc zumbemkuu @Tujitegemee Mchambuzi Mag3 Waberoya
 
Aibu gani? Mada iliyopo na iliyojadiliwa ni ya Zitto. Kumbu kumbu zipo, hebu onyesheni aibu i wapi?

Aibu ni pale ulipokuja pupa kwa kudhani character assassination mlizokawa mnataka kuzifanya mitandaoni na jamaa zako ulidhani zingekwamisha juhud za wazalendo kulipigania taifa hili.

Mmefeli katika hilo.
 
Nguruvi3 kachanganyikiwa kabisa
Nimeandika uzi huu JULY 2 2014

Nilikuuliza uonyeshe character assassination, hukuwahi.
Uzi wa Zitto hamkujibu tuhuma

Soma uzi nilioandika miezi miwili kabla hamjamsoma Zitto
 
Teh teh teh.

Eti nguruvi3 anashinda jamii forum kuweka mabandiko yake kisha anajigamba kuwa analipigania taifa.

Wenzake wako front wazi wazi tena wanarisky hadi maisha yao yeye yupo nyuma ya keyboard tena kwa fake identity..anavuja jasho kujiproud kuwa anaipigia nchi yake.

Teh teh teh.

Nguruvi3 kweli umevurugwa.
 
Naona Nguruvi3 naye anataka kujifananisha na Zitto. Teh teh teh.

Mwenzako vita vyake siyo JF tu nikuwekee vita vyake kutoka kwenye blog yake na Twitter na Facebook?
 
Last edited by a moderator:
Aibu ni pale ulipokuja pupa kwa kudhani character assassination mlizokawa mnataka kuzifanya mitandaoni na jamaa zako ulidhani zingekwamisha juhud za wazalendo kulipigania taifa hili.

Mmefeli katika hilo.
Je, tuhuma alizotupiwa alizijibu? Maana katupiwa na yeye katuletea, sasa wenzetu mlitaka tubebe manyanga na akina mama vigele gele! hell no! tutatumia lini akili zetu
 
Naona Nguruvi3 naye anataka kujifananisha na Zitto. Teh teh teh.

Mwenzako vita vyake siyo JF tu nikuwekee vita vyake kutoka kwenye blog yake na Twitter na Facebook?
Walaa mimi sifanani naye na wala sina sababu. Ni mtu binafsi na mtazamo binafsi. Nimesema kuwa badala ya kuandika matusi japo tunaandika kitu kinachotokea. Huo uzi nimeandika JULY 2.

Sasa kama tuna chuki na Zitto, iweje niandike jambo miezi 2 kabla ya yeye kuleta tuhuma? Kaleta mwenyewe.
Chuki ipo wapi?

MATUKIO YA NCHINI TANZANIA
MSIMAMIZI WA SHERIA ANAPOVUNJA SHERIA
ESCROW YAKWEPESHWA KIAINA, LENGO KUFICHA UOVU

Bado tunafuatilia suala la mashariki ya kati kwa ukaribu.
Hadi sasa Marekani imepeleka wanajeshi 800 kwa walichosema ni kulinda ubalozi na interest za Marekani
Kwa sababu hizo, itabidi walinde uwaanja wa ndege, wanadai.

Inachoogopa Marekani ni mashambulizi dhidi ya Sunni, au kuwasaidia Shia.
Pia wanataka kumuondoa Nur Al Malki kwa namna ambayo haitwaudhi Mashia. Tutaendelea kuhabarisha k

Hapa nyumbani kuna tukio lisilo la kawaida katika siasa za nchi. Mwanasheria mkuu alitaka kumpiga mbunge. Mtunza sheria anaposimama mbele ya chombo cha kutunga sheria ili avunje sheria alizopewa azisimamie ni jambo lisilo la kawaida kwani halijatokea tangu tumepata Uhuru.

Mashaka zaidi ni weledi wa Mwanasheria Werema anayeanatoka 'kimtaani' kwa kuudhi na kudhalilisha.
Ni Jaji kwa wadhifa, matarajio ya umma ni uwezo mzuri wa kutambua, kuchambua na kuamua kuliko raia
Inapotokea majibu yake hayalingani na Kiwango, inatia shaka sana.
Hasira zake zilizopelekea ''ngumi mkononi '' zimetokana na suala la kutiwa Mtuhumiwa.

Utuhumiwa unatokana na mazingira tata ya pesa za Escrow ambazo hazina majibu ya kueleweka.
mbunge Kafulila kauliza baada ya kulindana kusiko na sababu. Escrow, ni sehemu ya tatizo la IPTL.

Spika Anne Makinda akazuia kuundwa tume huru ya bunge. Walichokifanya ni suala linapelekwa kwa uchunguzi PCCB, CAG na Polisi.Hivi ni vyombo vya dola haviwajibiki kwa bunge.
Taarifa zake zinapelekwa serikalini ambako kuna watuhumiwa wakubwa.

Mtandao kufisadi kiasi umeenea serikalini kama alivyotajwa katibu mkuu Maswi, bunge kwa Mwanasheria mkuu, BoT n.k. Hao wote wametajwa tu kama tuhuma na duru tunabaki kusema ni tuhuma.

Hii inatoa picha kuwa hakuna PCCB,CAG au Polisi anayeweza kuvuka uzio uliotengenezwa.
Suala la Richmond, PCCB walitetea uhalifu. Leo tunajua uchafu ule na watu waliohusika.

Njia ya kufunika uhalifu huu wa Escrow ni taarifa na uchunguzi unafanywa na serikali inayotuhumiwa.
Ni mazingaombwe yanaendelea, utajulikanamiaka mingi ijayo si leo

Mwanasheria Werema alipoombwa atoe ufafanuzi, alikimbilia hoja ya kumwita mbunge Tumbili.
Hilo tu kwa mtu wa hadhi yake ni dhalili sana. Mzee wa umri hapaswi kuzungumza matusi hata kama ni sehemu ya malezi au utamaduni. Nafasi yake ni ya kimataifa na kitaifa, anapaswa kujua neno la kawaida kwa raia kwakwe ni habari.

Hata alipofanya hivyo Spika alimkingia kifua, dalili kuwa mtandao wa kulindana ni mpana sana.
Spika hawezi kusimamia kanuni, mwanasheria hawezi kusimamia sheria, nchi inajiendea kama boya.

Hoja hapa ni kuwa wakati umefika hatua za makusudi za kurudisha serikali yenye nidhamu na heshima mbele ya umma zichukuliwe.

mawaziri kusotana vidole, wabunge kuchoma madole, waziri naye kusema mbovu kwa waingereza, mwanasheria kutaka nafasi ya tyson na upuuzi mwingine ambao hauhitaji microscope kuubaini.

Matukio ya namna hii yanazidi kuonyesha, udhaifu, ombwe na dhalili ya serikali ya leo.

Tusiposema uchafu huu unaofumbiwa macho na JK utageuka kuwa utamaduni.
Tayari watu kwama katibu mkuu Maswi hawajibu hoja wala kufafanua, ni kuonyesha ubingwa wa kutukana . Rais yupo kimya, why?

Werema na Maswi wanapeleka ujumbe kuna kulindana. Kinyume chake watmishi hawa wa umma wasingekuwa na jeuri ya kuudhalilisha umma.
Unapotukana mbele ya kipaza sauti ukiwa mwanasheria au katibu mkuu unaudhalilisha umma wa Watanzania.

Tusemezane
 
Teh teh teh.

Eti nguruvi3 anashinda jamii forum kuweka mabandiko yake kisha anajigamba kuwa analipigania taifa.

Wenzake wako front wazi wazi teba wanarisky hadi maisha yao yeye yupo nyuma ya keyboard tena kwa fake identity..anavuja jasho kujiproud kuwa anaipigia nchi yake.

Teh teh teh.

Nguruvi3 kweli umevurugwa.

Huyu jamaa anaonekana ana roho za visirani na wivu za kike. Bora hata pacha wake kaamua kuingia mitini kuepuka aibu.
 
Well, si mnatumia mbandiko hayo hayo kusema nina chuki. Nimeweka bandiko kuonyesha kuwa sina chuki na mtu, ninashambulia hoja.

Maswali ya tuhuma zinazomkabili hamjibu.
 
Huyu jamaa anaonekana ana roho za visirani na wivu za kike. Bora hata pacha wake kaamua kuingia mitini kuepuka aibu.
Jibu tuhuma alizopewa zitto. Sisi wengine tunaamini katika hoja, si watu. Hoja ipo wapi?

MATUKIO YA NCHINI TANZANIA
MSIMAMIZI WA SHERIA ANAPOVUNJA SHERIA
ESCROW YAKWEPESHWA KIAINA, LENGO KUFICHA UOVU

Bado tunafuatilia suala la mashariki ya kati kwa ukaribu.
Hadi sasa Marekani imepeleka wanajeshi 800 kwa walichosema ni kulinda ubalozi na interest za Marekani
Kwa sababu hizo, itabidi walinde uwaanja wa ndege, wanadai.

Inachoogopa Marekani ni mashambulizi dhidi ya Sunni, au kuwasaidia Shia.
Pia wanataka kumuondoa Nur Al Malki kwa namna ambayo haitwaudhi Mashia. Tutaendelea kuhabarisha k

Hapa nyumbani kuna tukio lisilo la kawaida katika siasa za nchi. Mwanasheria mkuu alitaka kumpiga mbunge. Mtunza sheria anaposimama mbele ya chombo cha kutunga sheria ili avunje sheria alizopewa azisimamie ni jambo lisilo la kawaida kwani halijatokea tangu tumepata Uhuru.

Mashaka zaidi ni weledi wa Mwanasheria Werema anayeanatoka 'kimtaani' kwa kuudhi na kudhalilisha.
Ni Jaji kwa wadhifa, matarajio ya umma ni uwezo mzuri wa kutambua, kuchambua na kuamua kuliko raia
Inapotokea majibu yake hayalingani na Kiwango, inatia shaka sana.
Hasira zake zilizopelekea ''ngumi mkononi '' zimetokana na suala la kutiwa Mtuhumiwa.

Utuhumiwa unatokana na mazingira tata ya pesa za Escrow ambazo hazina majibu ya kueleweka.
mbunge Kafulila kauliza baada ya kulindana kusiko na sababu. Escrow, ni sehemu ya tatizo la IPTL.

Spika Anne Makinda akazuia kuundwa tume huru ya bunge. Walichokifanya ni suala linapelekwa kwa uchunguzi PCCB, CAG na Polisi.Hivi ni vyombo vya dola haviwajibiki kwa bunge.
Taarifa zake zinapelekwa serikalini ambako kuna watuhumiwa wakubwa.

Mtandao kufisadi kiasi umeenea serikalini kama alivyotajwa katibu mkuu Maswi, bunge kwa Mwanasheria mkuu, BoT n.k. Hao wote wametajwa tu kama tuhuma na duru tunabaki kusema ni tuhuma.

Hii inatoa picha kuwa hakuna PCCB,CAG au Polisi anayeweza kuvuka uzio uliotengenezwa.
Suala la Richmond, PCCB walitetea uhalifu. Leo tunajua uchafu ule na watu waliohusika.

Njia ya kufunika uhalifu huu wa Escrow ni taarifa na uchunguzi unafanywa na serikali inayotuhumiwa.
Ni mazingaombwe yanaendelea, utajulikanamiaka mingi ijayo si leo

Mwanasheria Werema alipoombwa atoe ufafanuzi, alikimbilia hoja ya kumwita mbunge Tumbili.
Hilo tu kwa mtu wa hadhi yake ni dhalili sana. Mzee wa umri hapaswi kuzungumza matusi hata kama ni sehemu ya malezi au utamaduni. Nafasi yake ni ya kimataifa na kitaifa, anapaswa kujua neno la kawaida kwa raia kwakwe ni habari.

Hata alipofanya hivyo Spika alimkingia kifua, dalili kuwa mtandao wa kulindana ni mpana sana.
Spika hawezi kusimamia kanuni, mwanasheria hawezi kusimamia sheria, nchi inajiendea kama boya.

Hoja hapa ni kuwa wakati umefika hatua za makusudi za kurudisha serikali yenye nidhamu na heshima mbele ya umma zichukuliwe.

mawaziri kusotana vidole, wabunge kuchoma madole, waziri naye kusema mbovu kwa waingereza, mwanasheria kutaka nafasi ya tyson na upuuzi mwingine ambao hauhitaji microscope kuubaini.

Matukio ya namna hii yanazidi kuonyesha, udhaifu, ombwe na dhalili ya serikali ya leo.

Tusiposema uchafu huu unaofumbiwa macho na JK utageuka kuwa utamaduni.
Tayari watu kwama katibu mkuu Maswi hawajibu hoja wala kufafanua, ni kuonyesha ubingwa wa kutukana . Rais yupo kimya, why?

Werema na Maswi wanapeleka ujumbe kuna kulindana. Kinyume chake watmishi hawa wa umma wasingekuwa na jeuri ya kuudhalilisha umma.
Unapotukana mbele ya kipaza sauti ukiwa mwanasheria au katibu mkuu unaudhalilisha umma wa Watanzania.

Tusemezane
 
Taarifa ya leo haijajibu tuhuma alizoweka ZZK mwenyewe. Hebu tendeni wema katika uzi huu.
Hoja si Nguruvi ni uzi wa Zitto. Majibu ya tuhuma yaliyobaki yapo wapi?
 
mkuu Nguruvi3 kubishana na hao viazi Ritz1 , big sHOW na co ni kupoteza mda wako, si kwamba hawaelewi unachowaeleza, wameziba maksudi masikio yao maana kibaraka wao zitto mbunge wa mahakama anayetumikia CCM kapata kick yakutosha kwenye hill la escrow ili apate pakuanzia kwa lengo la kusaliti harakati tena maana najua wapo wapuuzi wachache wataliangalia swala la escrow bila kujua ni mitego mingine ya Zitto, shangaa eti wamekesha kulinda report, hahahahaha,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom