Mkuu kama baada ya maelezo yote haya bado unaulizia majibu then you really are missing all the points completely. Hakuna mtu atakuja na majibu ambayo yatakuridhisha wewe kwa sababu hayatakuwa ni majibu ambayo unataka kuyasikia.
Simple example;Tuhuma: Zitto amemsaidia Ongangi kupata uraia wa Tanzania na kwa sasa ni raia wa pasipoti. Zitto na Ongangi walimtafutia CEO wa Shell aitwae Axel Knospe nyumba na gari ya kukodi.
Jibu: Raphael ni mtu binafsi ambaye anafanya shughuli zake hapa nchini, amesoma hapa nchini na ameoa na ana mtoto. Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo. Wanaotoa tuhuma hizi waonyeshe hiyo pasipoti ya Bwana Ongangi kuthibitisha madai yao.
Simple analysis ya Jibu: Zitto admits he knows Ongagi and his family. Na pia anasema huyu bwana kwa anavyojua yeye ni Mkenya na anayetoa hizi shutuma athibitishe kuwa huyu bwana ni mtanzania (kwa kusaidiwa na Zitto). Na mwisho maelezo mengine yote katika tuhuma hizi ni UWONGO.
Nguruvi3's take: Zitto ameulizwa kumtafutia nyumba CEO amejibu Ongagi ana mke na watotot wawili!
You see, just because you dont like the answer it does not make it an incorrect answer. again he clearly says "Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo" ila wewe ndugu yangu bado umekomaa unasubiri majibu!!! I mean, this is out of this world. It does not make any sense.
Well, what more can anybody say kutoka katika hiyo quote yako hapo juu. Nikisema una chuki binafsi na Zitto ntakuwa nimekosea kwa sababu ntakuwa nimegeneralize your take on Zitto on all issues ila for this particular issue, you really have some personal vendate against him.