Hoja zinajibiwa kwa hoja. Acha tu nishuke hadi korongoni lakini nibaki salama.Usizidi kujishusha kwa kiwango hiki kama mtoto wa shule ya msingi sasa...ebu anzisha thread nyingine naamini Zitto atakujibu huko.
Shame on you
Hakuna anayehitaji kumshawishi mwananchi. Tunataka maelezo kutoka katika utetezi wa ZZK mwenyewe.Unakomalia wapi?kimya kimya?kwa utupu huu hamuwezi kumshawishi mwananchi wa kawaida.
I told him to man up n come out clean
Mkuu naiona Escrow ikienda na wengi tena ilivyowataja na viongozi wawili toka upinzani ndo basi jamaa siku ya pili wanashinda humu kuhakikisha wanambana Zitto ashindwe kuwasilisha ripoti hiyo siku iliyopangwa, si kwa sababu nyingine yoyote isipokuwa kuwalibda viongozi wa upinzanu
Kwani aliyeweka post ni nani? Hivi mlitaka watu washangilie wasihoji,.Mapambano ya wananchi ni kutaka Pesa zetu zirudi ,basi, hayo mapambano yenu(yako) dhidi ya ZITTO ni yenu na si ya wananchi
Nyie hamna imani na Zitto, majina kayachukueni kwa KUB
Duh.ndio Mchambuzi huyu?imekuwaje amefikia level hii?kweli upambe nuksi.
Yaan kwa namna hii sasa ata udiwani atausikia tu bombani, itabidi ujiunge na vijana wanaopandisha bendera na kusukuma magari ya viongozi.
Mchambuzi na nguruvi wamejaribu kuweka kumbukumbu sawa katika kuzipa nguvu hoja zao kwa Zitto ukizitizama hoja zao kwa Juu juu unaweza ukadhani wana chuki ama wanatetea Ufisadi huo.
Watanzania mara nyingi tunashindwa katika mambo mengi kwa kuwa tumekuwa na fkra za kishabiki bila tafakuri za kina na hicho ndicho kinafanya watu wakejeli nakuwatukana wenye hoja zinazohitaji Majibu.
Yaani tangia post yake ya kwanza nilipompa makavu, nikaamini ameteleza na kama mzalendo kweli atajirudi
Kila anapo post humu, kashupaza shingo na anazidi kujiharibia maana wengi kwanza hatuamini kama ni yeye!!
Hawa ndio wanaotaka mabadiliko, haishangazi yuko CCM!! who knows
achana naye mkuu, wenye akili wengi wanamshangaa, kizuri hata yeye anajua tunamshangaa, ila KAAMUA tu kubisha mpaka mwisho, KIBAYA pro chadema wengi naona wamemwachia yeye zigo hili!!
mwana CCM halisi huyo, kizazi cha kifisadi
...Hivi huyu ndio yule MCHAMBUZI ambaye amekuwa akiandika makala kila mtu anasema Yes! This is the guy! au account yake imekuwa hacked? kama ni yeye basi atakuwa hafahamu heshima aliyonayo katika jamii..May be kama anafanya hivi kwa interests za watu wengine au kwa sababu zake binafsi ila kwa kifupi anatushangaza sanaHawa akina Mchambuzi na mwenzie wanadivert mjadala wa Umma!
KINACHONISHANGAZA WANAKOMAA NA MAJIBU YA ZITTO, LAKINI SHUTUMA ZILIPORUSHWA DHIDI YAKE KWENYE MTANDAO HAPA JF WALA HAWAKUQUESTION SHUTUMA HIZO, WALA HAWAKUWEKA MSULI WAO KUJIRIDHISHA UKWELI WA TUHUMA HIZO!!!. WALA HAWAKUQUESTION KAMA GOMBE COMPANY INAFANYA BIASHARA YA GESI NA MAFUTA, WALIKAA KIMYAA. huu ni uthibitisho wa wazi kwamba hawa watu hawana Interest ya kujua ukweli, bali walitaka tuhuma dhidi ya Zitto Zistick, na Zitto asiaminike mbele ya umma katika ishu hii ya Escrow!!!.
NATOA CHANGAMOTO KWA MCHAMBUZI NA MWENZIE WATUONYESHE MAHALI POPOTE KATIKA MJADALA HUU WA ESCROW UNAOENDELEA, TUONE KAMA KUNA MAHALI WALIQUESTION TUHUMA ALIZOVURUMISHIWA ZITTO ILI TUPROVE KWAMBA KWELI WAPO KATIKA DHATI YA "KUJUA UKWELI" NA KWAMBA HAWAKO BIASED.
NINACHOKIONA MIMI HAWA WANAJARIBU KUTOBOA MATOBO KATIKA MAJIBU YA TUHUMA, LAKINI HAWAONYESHI KWA NAMNA YOYOTE KUTUMIA ENERGY HIYO HIYO KUTOBOA MATOBO KATIKA SHUTUMA ALIZORUSHIWA ZITTO. hii ni prrof kuwa wana chuki binafsi na mheshimiwa Zitto.
Kama wangekuwa fair, wangequestion hoja za pande zote mbili, Upande wa shutuma na Upande wa majibu. Lakini so far wamechagua upande, na upande wenyewe ni upande wa mafisadi wa IPTL. this is pathetic, kwa sababu at the end of the day wapo katika upande wa kushindwa.
...Hivi huyu ndio yule MCHAMBUZI ambaye amekuwa akiandika makala kila mtu anasema Yes! This is the guy! au account yake imekuwa hacked? kama ni yeye basi atakuwa hafahamu heshima aliyonayo katika jamii..May be kama anafanya hivi kwa interests za watu wengine au kwa sababu zake binafsi ila kwa kifupi anatushangaza sanaYaan kuna watu hizi chuki zinawashushia sana heshima.Yaan Nguruvi kageuka akili kama mtoto wa Chekechea?kweli upambe ni mbaya sana.
...Hivi huyu ndio yule MCHAMBUZI ambaye amekuwa akiandika makala kila mtu anasema Yes! This is the guy! au account yake imekuwa hacked? kama ni yeye basi atakuwa hafahamu heshima aliyonayo katika jamii..May be kama anafanya hivi kwa interests za watu wengine au kwa sababu zake binafsi ila kwa kifupi anatushangaza sana
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,
kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.
Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.
suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.
zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.
jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.
ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.
Hawa akina Mchambuzi na mwenzie wanadivert mjadala wa Umma!
KINACHONISHANGAZA WANAKOMAA NA MAJIBU YA ZITTO, LAKINI SHUTUMA ZILIPORUSHWA DHIDI YAKE KWENYE MTANDAO HAPA JF WALA HAWAKUQUESTION SHUTUMA HIZO, WALA HAWAKUWEKA MSULI WAO KUJIRIDHISHA UKWELI WA TUHUMA HIZO!!!. WALA HAWAKUQUESTION KAMA GOMBE COMPANY INAFANYA BIASHARA YA GESI NA MAFUTA, WALIKAA KIMYAA. huu ni uthibitisho wa wazi kwamba hawa watu hawana Interest ya kujua ukweli, bali walitaka tuhuma dhidi ya Zitto Zistick, na Zitto asiaminike mbele ya umma katika ishu hii ya Escrow!!!.
NATOA CHANGAMOTO KWA MCHAMBUZI NA MWENZIE WATUONYESHE MAHALI POPOTE KATIKA MJADALA HUU WA ESCROW UNAOENDELEA, TUONE KAMA KUNA MAHALI WALIQUESTION TUHUMA ALIZOVURUMISHIWA ZITTO ILI TUPROVE KWAMBA KWELI WAPO KATIKA DHATI YA "KUJUA UKWELI" NA KWAMBA HAWAKO BIASED.
NINACHOKIONA MIMI HAWA WANAJARIBU KUTOBOA MATOBO KATIKA MAJIBU YA TUHUMA, LAKINI HAWAONYESHI KWA NAMNA YOYOTE KUTUMIA ENERGY HIYO HIYO KUTOBOA MATOBO KATIKA SHUTUMA ALIZORUSHIWA ZITTO. hii ni prrof kuwa wana chuki binafsi na mheshimiwa Zitto.
Kama wangekuwa fair, wangequestion hoja za pande zote mbili, Upande wa shutuma na Upande wa majibu. Lakini so far wamechagua upande, na upande wenyewe ni upande wa mafisadi wa IPTL. this is pathetic, kwa sababu at the end of the day wapo katika upande wa kushindwa.
Yaani tangia post yake ya kwanza nilipompa makavu, nikaamini ameteleza na kama mzalendo kweli atajirudi
Kila anapo post humu, kashupaza shingo na anazidi kujiharibia maana wengi kwanza hatuamini kama ni yeye!!
Hawa ndio wanaotaka mabadiliko, haishangazi yuko CCM!! who knows
achana naye mkuu, wenye akili wengi wanamshangaa, kizuri hata yeye anajua tunamshangaa, ila KAAMUA tu kubisha mpaka mwisho, KIBAYA pro chadema wengi naona wamemwachia yeye zigo hili!!
mwana CCM halisi huyo, kizazi cha kifisadi
gamba NYOKA Nadhani unapaswa kutambua kwanza msingi wa hoja za akina Nguruvi3 Mchambuzi Zimejikita katika mada iliyopo mezani ambyo Zitto Ameweka kwa msingi wa ujibuji tuhuma.
Zitto amejibu tuhuma huku baadhi ya tuhuma nyingine akiziacha huo ndio msingi wa hoja zinazohitaji majibu kutoka kwa Zitto au yoyote ajuaye.
Hatuna tatizo na "upambanaji dhidi ya ufisadi" Bali "mpambanaji dhidi ya ufisadi". Tunasema Kwamba zitto has lost integrity and political maturity, mapambano dhidi ya ufisadi, mapambano kutafuta mabadiliko, yote haya zitto hatoshi Tena, that's the bottom line.