Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Baadhi ya watu Matarajio yao ni kuona Zitto anamalizika kisiasa kwa namna yoyote iwayo, wao hawana haja na Bil. 200 ikiwa tu zitampaisha Zitto

Watu mna chuki na wivu mbaya sana

Zitto ni laaana katika nchi...
 
Kwann Lema asiiebebe issue ya mabilions ya uswisi na akatutajia, why always Zitto...?

Kwann Lema asiibebe issue ya escrow, nini kinamshinda, ndugu yangu hata kama humpendi Mtu kiasi gani ila huwezi kufanya kila analofanya liwe MAKOSA, utazidi tu kumuongezea credit
Amalize swala la Uswis kwanza...mnafiki mkubwa kabisa..

ZKK wewe ni laana katika nchi..
 
Kwann Lema asiiebebe issue ya mabilions ya uswisi na akatutajia, why always Zitto...?

Kwann Lema asiibebe issue ya escrow, nini kinamshinda, ndugu yangu hata kama humpendi Mtu kiasi gani ila huwezi kufanya kila analofanya liwe MAKOSA, utazidi tu kumuongezea credit

Give me a break dude!

Tatizo lenu pro-Zitto mnatumia hoja dhaifu kujibu hoja nzito. Mfano ktk hili Lema anaingiaje sasa? Lema hawezi kubeba ishu mufilisi na wala hawezi kuwa enemy of the people. Ishu ya Escrow ataibeba bila kuwa na hidden agenda ya publicity stunt

Kutangazia umma ndani ya nje ya bunge kwamba una majina ya wenye akaunti Uswizi hadi kufikia Bunge kuunda kamati ya uchunguzi na kutumia pesa za walipa kodi only to be told by the whistle blower Zitto kwamba hakuwa na majina huko ni kuwa enemy of the people na kutojali hisia ns pesa za umma at the highest degree. Ni kupoteza integrity and trustworthiness kwa huyu Zitto wenu

Kwa kifupi hana lolote zaidi ya kutafuta cheap popularity or rather kujisafisha ndio maana mko busy kumtetea, after all angemwachia tu Kafulilah aibebe ishu yake at least yeye ana moral authority ya kunyooshea mafisado kidole lakini siyo huyu fisadi ZZK na kuwadi wa kuyapinga harakati za ukomboz wa watanzania
 
Last edited by a moderator:

Sisi tunachotaka ni hela zetu za escrow zirudi, haijalishi nani kajitoa muhanga na vilevile tunapenda wajitokeze wengi zaidi...ufisadi hauwezi kukomeshwa na Kafulila pekeyake, tunataka na team nzima ya UKAWA(tumaini letu) ipaze sauti kwa ukali kwenye hili Saga

Matatizo yenu na CHADEMA hayatuhusu sisi ambao si wanachama(na tunajua NJAA ya madaraka kati ya MBOWE NA ZITTO ndio zimewafanya maadui)

IPTL BRING BACK OUR MONEY
 
Last edited by a moderator:
Hatuna tatizo na "upambanaji dhidi ya ufisadi" Bali "mpambanaji dhidi ya ufisadi". Tunasema Kwamba zitto has lost integrity and political maturity, mapambano dhidi ya ufisadi, mapambano kutafuta mabadiliko, yote haya zitto hatoshi Tena, that's the bottom line.
 
......Nafikiri ifike mahali watanzania na vijana wenzangu tujifunze kusamehe na kusema(Let it go)..Jamani dunia unatucheka...Hata kama kuna mahala Mh:Zitto amewakwaza tusamehe twende mbele kwa masilahi mapana ya nchi yetu Tanzania...Hatuwezi kuwaacha hawa mafisadi/wezi wa rasimali zetu watambee na kutembea vifua mbele...Kuna watu humu Jf mungu kawapa(God gifted) upeo wa kipekee sana kujadili na kujenga hoja kwa hamasa,mashiko na weledi wa hali ya juu kwa mfano:MCHAMBUZI na wengine ila leo hii wamweshindwa kabisa kutuunganisha kwa pamoja kwa hoja zao makini dhidi ya wizi huu wa Tegeta Escrow wamebaki kumjadili Mh:zitto tu na kuacha hoja ya msingi, Kila binadamu ana mapungufu na hakuna binadamu aliyekamilika...Yatosha sasa ya Mh:Zitto yamepita tusonge mbele tuna mengi ya msingi sana ya kujadili...tunavyoongea sasa hakuna dawa mahospitalini Msd(Bohari ya dawa) wanaidai serikali zaidi ya billion 90 na wahisani wamegoma kabisa kuchangia budget yetu mpaka uchunguzi wa sakata hili la Tegeta Escrow utakapokamilika...Mwisho kama Taifa tusipojenga utamaduni wa kusameheana na kuamaniana siku zote adui yetu atakuwa anatumia udhaifu huo....Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Hivi Rwegasira si alichangia ile shule ya mama Tibaijuka,mbona huo mgao ajapeleka MSD tupate dawa,bilioni miambili nyingi sana kwakweli
 
Hakuna tatizo kabisa, na hicho ndicho alitakiwa akiweke wazi. Anapokificha inazua maswali mengi kuliko majibu.

Lakini pia tutaweza kuona uhusiano huo unahusishwaje na tuhuma ili kumsafisha au kumshirikisha Zitto katika sakata hili.

Unakumbuka January Makamba alisema Richmond bla bla n.k. Akaonekanekana ni shujaa.
Leo tunajua alichokuwa anatetea si masilahi ya umma, ni sehemu ya masilahi binafsi ikiwemo washirika na mzazi wake.

Tunachotaka wengine ni rekodi kuwa clear. Kama wameanzisha kampuni pamoja na isemwe, hilo halina tatizo kabisa.
Tunachohoji kwanini hili hajalizungumzia akakimbia hoja isiyokuwa ya awali kabisa ya tuhuma.

Kumbuka tuhuma zimesema ''wameanzisha kampuni pamoja' kabla ya jambo jingine halijazungumziwa.
Sasa ana dhima ya kusema kweli au si kweli, basi! kitu gani kigumu hapo?

Hilo limeeleweka....unataka kusema ikiwa ongangi kwa mfano ikaonekana amepewa kaescrow kidogo ..bw zzk dhambi ya ushiriki hatoikwepa
 
Nguruvi kajivua akili hasikii wala haoni.

Nguruvi3 Mchambuzi hawa ndo walinifanya nijiunge JUKWAA LA GREAT THINKER sababu ya Mijadala yao MIKALI,uzalendo kwa nchi,kipindi hiko walikua hawana upande,ila tokea wamekua na MAHABA baadhi ya wanasiasa wamepoteza integrity kwa sisi vijana,sijui na wao ------------,au sababu Zitto aliteleza kidogo(kuteleza si kuanguka),wao wameamua Kuanguka kabisa,sisi vijana(mfano mimi nina miaka 30) tunawaomba mludi katika mstali,tupo chini ya miguu yenu
 
Hatuna tatizo na "upambanaji dhidi ya ufisadi" Bali "mpambanaji dhidi ya ufisadi". Tunasema Kwamba zitto has lost integrity and political maturity, mapambano dhidi ya ufisadi, mapambano kutafuta mabadiliko, yote haya zitto hatoshi Tena, that's the bottom line.

Mkuu Mchambuzi usichoke kupaza sauti kuwaambia hawa team-zitto ukweli huu.

Na wapo wengine wanasema wanaopinga Zitto ni wanaCHADEMA ktk kukwepa kujibu maswali. Haiwezekani leo unapambana na ufisadi afu kesho unapiga dili la ufisadi afu eti mtu wa namna hii tumwamini. Haiwezekani katu

Zitto alianzisha kampuni ya Gombe sijui Leka makitu gani afu akapiga dili na TANAPA na kuchota mamilioni ya pesa wakati yeye ni mwenyekiti wa PAC na anajua kabisa kwamba ana conflict of interest, lakini kwa kuwa ni fisadi kaamua kupiga dili ilimradi tonge linaenda kinywani

Eti leo ndie anawanyooshea kidole mafisadi, mbutaaa! hapa ngastuka kabisa. Hatudanganyiki aloo.

With or without Zitto ESCROW ishapamba moto, tayari wazungu washadindisha na serikali corrupt na ombaomba ya CCM haina ujanja zaidi ya kuleta sarkasi kwa kuwatumia wapinzani wa mahakama akina Zitto ili wazungu wawaonee huruma

Mimi binafsi nakataa kuchezewa akili na mafisadi kama akina Zitto. Nawe mtanzania mwenzangu zinduka
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mchambuzi usichoke kupaza sauti kuwaambia hawa team-zitto ukweli huu.

Na wapo wengine wanasema wanaopinga Zitto ni wanaCHADEMA ktk kukwepa kujibu maswali. Haiwezekani leo unapambana na ufisadi afu kesho unapiga dili la ufisadi afu eti mtu wa namna hii tumwamini. Haiwezekani katu
Zitto alianzisha kampuni ya Gombe afu akapiga dili na TANAPA na kuchota mamilioni ya pesa wakati yeye.ni mwenyekiti wa PAC na anajua kabisa kwamba ana conflict of interest, lakini kwa kuwa ni fisadi kaamua kupiga dili ilimradi tonge linaenda kinywani

Eti leo ndie anawanyooshea kidole mafisadi, mbutaaa! hapa ngastuka kabisa. Hatudanganyiki aloo.

With or without ESCROW ishapamba moto, tayari wazungu washadindisha na serikali corrupt na ombaomba ya CCM haina ujanja zaidi ya kuleta sarkasi kwa kuwatumia wapinzani wa mahakama akina kusema

Mimi binafsi nakataa kuchezewa akili na mafisadi kama akina Zitto. Nawe mtanzania mwenzangu zinduka

Hujui hata unachokitaka

IPTL BRING BACK OUR MONEY
 
Last edited by a moderator:
Hapana, unachokosea ni kimoja. Wengi wenu mnadhani kuna kupata pass kwa Escrow. In fact nimeongelea sana hili.

Tunaweza kuunganisha nguvu tukiwa na uhakika wa maelezo. Tunaweza kuunganisha nguvu tukaachwa njia panda kama suala la Uswiss. Ndio maana tunasema maelezo hayajitoshelezi. Aliyeleta maelezo ni Zitto, kwanini msimuombe ajibu tu kwavile tayari kuna majibu manyoamini ni sahihi?

Mfano ni hili la Ongangi na Gombe.
Kwanini asiseme huyo bwana si mshirika au ni mshirika katika kiwango kadhaa.
Ugumu upo wapi?

Nakuhakikishia sijamjadili zitto, najadili hoja zake, sasa hazijibiwi kwa hoja bali matusi.
Kwanini watu wana hasira badala ya kutuelewesha.

Hakuna ufisaidi wa pesa au kisiasa. Ufisadi ni ufisadi tu.

Nikupe kionjo kingine, kabla ya Uswiss kulikuwa na suala la nyumba ya gavana.
Wote tulikuwa nyuma ya ZZK. Mwisho wa siku mambo yakawa 'safi'' tuhuma zikaisha.
Baadaye tukajua mengine.

Hivi kwanini aliyeumwa na nyoka, asishtuke akiguswa na ujani.

Hoja zipo mbele, watu wajibu waonyeshe upambavu na stupidity zetu tutakubali.
Ni wanadamu hatuna utimilifu.

Lakini kutukana tu bila kujibu hoja, kunajenga maswali mengi zaidi. In fact wasi wasi ndio kwanza umeanza.

Ni suala la muda mutaelewa kwanini kuna shaka. Hapo mtagundua kuwa ukombozi haubebwi kama mitumba.

Naomba Mungu ampe ZITTO hekima na busara uaminifu katika hili na mengineyo,usituache njia panda,maana ukituacha tu utakuwa umetupa haibu sana sisi tunatetea kuludi kwa fedha zetu kutoka kwa singasinga
 
Back
Top Bottom