Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Tuambie nani ana huwezo wa kufuatilia jambo mpaka mwisho tumkabizi(maana huko aliko hajui kama tunapigania fedha zetu), yule To local kila anachoanzisha kinafikia mwisho,alimkataa JK,wakatoka bungeni mpaka leo,CDM hawajarudi bungeni,walianzisha opereshen sangara,nazani ilifika mwisho,m4c,chadema msingi,na sasa delete ccm

Huyo huyo too local anaikimbiza serikali yako.

Kila maccm yakimuona yanakimbia na jiandaeni kuwa wapinzani.
 
Huyo huyo too local anaikimbiza serikali yako.

Kila maccm yakimuona yanakimbia na jiandaeni kuwa wapinzani.

Basi wewe POMPO utuongoze kuzipapesa zetu au unaonaje...? Tutakupa full support
 
Last edited by a moderator:
unaonekana mweupe kabisa jimalaya wewe. huwezi kumtenganisha Zitto na Kafulila. na huwezi kumtengenisha Zitto na uibuaji wa scandal ya Escrow. we mwendawazimu huoni hata Maswi alipoenda kwenye media alianza kwa kumtukana Zitto? akili zako umekabidhi kwa akina lema, umebaki kopo tu.
kwanza huyo Kafulila mnayemuongelea ni yupi? yule mliyemfukuza na kumuita ka-sisimizi? yaone kwanza, hayana hata aibu.
mlivyo wapumbavu mliwakataa hata CUF waliowaalika hata kuunda serikali kivuli bungeni kabla yenu. mliwakataa hata NCCR mageuzi. na wote hao kuwabatiza CCM B na C respectively.
mlivyo wapumbavu, akina slaa walishiriki kikamilifu kuanzishwa kwa mchakato wa serikali ya Kitaifa Zanzibar. lakini mlipoambulia patupu Zanzibar mkijafanya kauzu na kuanza kuwakejeli CUF kuwa ni ccm B.
sasa mmeona maji ya shingo mmewapigia magoti haohao ccm B na C.
tena bila aibu. yaone kwanza, hayana hata haya.
sasa mmejificha kwenye koti la ukawa. nje ya ukawa hakuna hiyo saccos yenu wapuuzi nyie.

Abunuas
Mbona matusi bana...
Mbona matusi sasa...
Mtoto wa kiume siyo ridhiki wewe.

Naona umeandika kama waimba taarabu.

Punguza povu na jazba!

Huna hoja ya kukujibu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Basi wewe POMPO utuongoze kuzipapesa zetu au unaonaje...? Tutakupa full support

Tayari kwa nafasi yangu nimeshajitole... Kafulila anaweza sana kutupigania tuendelee kumpatia hiyo full support.

Nimemtext akae mbali na Zitto kwa kumuonyesha vikao mbalimbali alivyokaa Zitto na ccm.

Uzuri Kafulila ni mwelewa sana hana makuu.

Tumsupport, tumkwepe mpiga dili ZKK
 
Last edited by a moderator:
gamba NYOKA Nadhani unapaswa kutambua kwanza msingi wa hoja za akina Nguruvi3 Mchambuzi Zimejikita katika mada iliyopo mezani ambyo Zitto Ameweka kwa msingi wa ujibuji tuhuma.

Zitto amejibu tuhuma huku baadhi ya tuhuma nyingine akiziacha huo ndio msingi wa hoja zinazohitaji majibu kutoka kwa Zitto au yoyote ajuaye.
Hatimaye ameptaikana anaye elewe tatizo. Thank you so much
 
Sasa wewe Masonjo naona hoja zimewaelemea na mmebaki kuleta viroja na character assasination. Nendeni na mbaki kwenye hoja!
Kuna hoja gani hapo?hoja ni wizi wa IPTL..tunapataje hizo pesa na wezivwanawajibishaje?sasa hiyo inahusianaje na siasa zenu za kwenye vyama??

Wengine muhimu kwetu ni Taifa, wewe lako na wenzio tatizo lenu ni siasa, ndipo ilipotofauti.Wewe unahangalia maslahi ya chama chako mie naangalia maslahi ya nchi yangu vitu viwili tofauti kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, punguza wivu na chuki, unazungumzia Zitto kupiga dili kwenye MABILLION YA USWISI, at the same time mnatuambia kuwa alikopa Mil.6 ili akamtibie mama yake...

Yaani mtu apige dili la mabilion then akose Mil.6 ya kumtibia mama yake, La haula ukombozi uko mbali kwelikweli

Fact hapa kuna kuchafuana,angepga dili ya uswisi asingekomaa na kukopa mil.6
 
Nguruvi3 Ni kweli kwamba Watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama wameungana katika hili na kimsingi wewe na mimi na wengineo ni wamoja.

Tofauti ya kimtazamo na uwezo wetu wakuchanganua mambo umemezwa na ushabiki wa Jumlajumla ambao haujikiti katika kuangalia pia maswali yanayoelea bila Majibu kutoka kwa Mh Zitto kutokana na aina ya majibu yake kwa wale ambao wamemtuhumu.

Kimsingi Ndugu Nguruvi3 na Mchambuzi Maswali yenu yanahitaji Majibu kwa kuwa nikutokana na majibu ya mada iliyopo mezani kuacha kujibu maswali ya msingi.Inasikitisha akina Waberoya na Wenzie wameishia kutukana na mipasho na maneno yakutaka kuaminisha Wanajukwaa kuwa Mnawatetea Waliokwapua mabilioni hayo.Ushabiki wa Jumlajumla wa Watanzania umechangia kwa kiasi kikubwa kwa baadhi ya wanasiasa kuwafanya Watanzania mitaji yao kisiasa.
Tena mada hiyo kaiweka Zitto, na waliotualika ni wapambe akina Waberoya. Hatukuzua mada kutoka hewani.
Sasa tunapojadili mada tunaambiwa tuna chuki. Tukiuliza maswali yanayotokana na mada ya Zitto tunaambiwa uzalendo wetu una utata kama si shaka.

Kwamba mada iliwekwa ili tuje na njuga na akina dada wapige vigele gele. Kinyume chake ni chuki.

Je, maswali tuliyouliza hayana mantiki? Kama hayana kwanini tusionyeshwe kwa mstari.
Tunaambiwa tumeze tu ili tuwe na akili, na uzalendo.

Hawa wanaotutuhumu hawajibu hoja zinazotokana na mada ya Zitto. Na wala Zitto hajafafanua.
Ikumbukwe, tuhuma hatukuzitoa na wala hatusemi ni za kweli au uongo.

Tunachotaka ni clarifications kutoka kwenye mada, kwanini kuna hoja zimerukwa?

Hapo ndipo tunaonekana stupid kwa mujibu wa akina Waberoya.

Ili uwe intelligent lazima tunyanyue manyanga akina mama wakipoiga vigelegele kwa nderemo na vifijo! hell no! tutatumia akili lini kama si leo.
 
Hatimaye ameptaikana anaye elewe tatizo. Thank you so much

Jiulize

1.Ni nani anamtuhumu Zitto

2. Kwann anamtuhumu Zitto

3. Kwa faida ya nani anavyomtuhumu Zitto

4. Kwann unamsaidia anayemtuhumu Zitto

5. Kwann unamsaidia anayemtuhumu Zitto

6. Kwa faida ya nani unavyomsaidia yule anayemtuhumu Zitto
 
Tayari kwa nafasi yangu nimeshajitole... Kafulila anaweza sana kutupigania tuendelee kumpatia hiyo full support.

Nimemtext akae mbali na Zitto kwa kumuonyesha vikao mbalimbali alivyokaa Zitto na ccm.

Uzuri Kafulila ni mwelewa sana hana makuu.

Tumsupport, tumkwepe mpiga dili ZKK

Kafulila ni sisimizi hatumtaki ana element za usaliti, tuchagulieni mwingine
 
Kuna hoja gani hapo?hoja ni wizi wa IPTL..tunapataje hizo pesa na wezivwanawajibishaje?sasa hiyo inahusianaje na siasa zenu za kwenye vyama??

Wengine muhimu kwetu ni Taifa, wewe lako na wenzio tatizo lenu ni siasa, ndipo ilipotofauti.Wewe unahangalia maslahi ya chama chako mie naangalia maslahi ya nchi yangu vitu viwili tofauti kabisa.
Pesa za Marubeni bilioni 70 inasemekana zimerudi. Je hiyo ndiyo njia sahihi?

Unachotaka kusema ni kuwa katika vita hii watu wachague kurudishwa kwa pesa hata kama kuna mtinange wa pembeni au kuna motive nyingine. Hapana tunataka pesa zirudi lakini pia Zitto afafanue kile alichokiacha katika maelezo yake.

1. Mkandege alitoa mhuri au ulikuwa feki. Hili litasaidia pande zote, za Zitto na wengine kujua ukweli wakati wa mapambano
2. Je ni kweli Ongangi ameshiriki kuanzisha Gombe, na ushiriki wake upoje kama upo. Ni kweli au hapana
3. Gombe na Laketugite zinafanya kazi ya ushauri na zina ushiriki wa Zitto. Je, zinafanyaje kazi hiyo na Ongangi anashiriki au hashiriki vipi
4. CEO wa Shell anadaiwa kutafutiwa nyumba na ZZK. Je, ni kweli au si kweli

n.k.

Tupo pamoja katika mapambano dhidi ya Mafisadi, lakini ni hatari kama tunakwenda vitani kutafuta haki wengine wakitumia vita hiyo kutafuta namna nyingine. Ndivyo tulivyopelekwa Uswiss na labda nikuulize, zile pesa za Uswiss zimerudi zaidi ya political stunt. Hivi na hili lisilo na majibu kwanini tusihoji ili tujue tunakwenda vitani kwa lengo nmoja la kukabiliana na ufisadi.

Nyumba ya bilioni 2.5 ya gavana tuliungana pamoja, mwisho wa siku ni ZZK huyu akasema deal ni safi.
Leo tunajua kuna mengine yanayohusiana na kauli ya 'clean deal''. Tumeachwa njia panda.

Kila siku tunaomba maji njia panda, tutakunywa madafu hadi lini? Kwanini tusitafute ramani kabisa safari hii ili tusijejikuta njia panda tukinywa madafu kwa kiu ya kuachwa na mwenzetu?
 
Jiulize

1.Ni nani anamtuhumu Zitto

2. Kwann anamtuhumu Zitto

3. Kwa faida ya nani anavyomtuhumu Zitto

4. Kwann unamsaidia anayemtuhumu Zitto

5. Kwann unamsaidia anayemtuhumu Zitto

6. Kwa faida ya nani unavyomsaidia yule anayemtuhumu Zitto
Hapa suala si Zitto. Tena ni makosa kutaja jina la Zitto. Suala ni mada iliyopo mbele yetu ambayo imeandikwa na Zitto na ndipo bahati mbaya anapotajwa. Hatuna tuhuma na ZZK, tunataka majibu ya maswali yetu
 
Hapa suala si Zitto. Tena ni makosa kutaja jina la Zitto. Suala ni mada iliyopo mbele yetu ambayo imeandikwa na Zitto na ndipo bahati mbaya anapotajwa. Hatuna tuhuma na ZZK, tunataka majibu ya maswali yetu

Labda kama kuna Mtu anatumia ID yako, ww sio yule...too low for you
 
Nilimwambia mchambuzi,ila leo hajatoa mbadala,yeye baada ya kujadili hoja ya escrow,anajadili kampuni ya zito,
Haya si mapambano ya ZZK. Ni mapamabano ya wananchi dhidi ya dhulma. Hakuna cha mbadala, kwani nani alimweka ZZK hadi tuulizwe mbadala. Kwani ZZK ni nani katika mapambano kiasi cha ombwe lake kuonekana.

Lazima tupigane kama wananchi na si jeshi la mtu mmoja.
Tumejifunza, baada ya kupelekwa Uswiss na kuachwa huko bila ticket ya Siwss air kurudi nyumbani.

Haya ni mapambano yetu si ya mtu.
 
kwenye mambo ya kitaifa tunatakiwa tuweke vyama chini,tuipende nchi yetu na tufanye maamuz kwa ajili ya watanzania na vizazi vija vyo,tusishabikie mikataba ya kifisadi kwa maelezo mepesi et watanzania watapata ajira,na kampuni italipa kodi,ivyo vitu ni obvious ukianzisha kampuni ndio mategemeo ya serikali,ila kama unachimba resources zetu mkataba inatakiwa iwe wazi kuwa katika hiyo resources tunapata faida gani kuacha majibu mepesi ya output ya baada kuwa imechimbuliwa hiyo ges au madini,keep it up zito
 
hoja ya uswisi ipi unaiulizia? ile hata nyie wapinzani njaa kama akina lema mliomgeuka Zitto na kuungana na ccm badal ya kumuunga mkono? Zitto naye anaroho pia.

Kejeli,Matusi na maneno mengine yakukera hayawezi kujibu baadhi ya hoja za Wadau kutokana na bandiko la Zitto mwenyewe.

Sakata la Escrow limewaunganisha Watanzania ila hatutaweza kwenda jumla jumla huku hoja nyingine zikielea bila majibu.

Mchambuzi amerejea sakata la Mabilioni ya USWISS na hatma yake ambyo ipo gizani mpaka leo.
 
Tuambie nani ana huwezo wa kufuatilia jambo mpaka mwisho tumkabizi(maana huko aliko hajui kama tunapigania fedha zetu), yule To local kila anachoanzisha kinafikia mwisho,alimkataa JK,wakatoka bungeni mpaka leo,CDM hawajarudi bungeni,walianzisha opereshen sangara,nazani ilifika mwisho,m4c,chadema msingi,na sasa delete ccm

Usipoteze muda wako kujihangaisha kwa kujibizana na hao wasaka tonge wa ufipa ndg, kwani ni sawa na kupoteza muda wako. Huo ndo msimamo wao waloushikilia kuwa kantu haitotokea waunge mkono hoja yoyote ya Zitto zaidi ya Kumshambulia kwa viroja uchwara.

Kama unategemea ipo siku watakubaliana na Zitto naomba nikupe pole. Muhimu tumewasoma, tumewaelewa na kuwajua rangi zao halisi. Hilo tu linatosha haina haja ya kuendelea kulumbana nao, kama vipi potezea tu.
 
Back
Top Bottom