Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

...Hivi huyu ndio yule MCHAMBUZI ambaye amekuwa akiandika makala kila mtu anasema Yes! This is the guy! au account yake imekuwa hacked? kama ni yeye basi atakuwa hafahamu heshima aliyonayo katika jamii..May be kama anafanya hivi kwa interests za watu wengine au kwa sababu zake binafsi ila kwa kifupi anatushangaza sana

kajivua ufahamu, anaweweseka anabaki kutaja waberoya kila post!!

tumeona wengi

eti ana maswali, watu wa aina ya hii hata umweleze vipi; katu hawezi kukuelewa au kukuamini

ila anabaki, nimeuliza maswali sijajibiwa!!!
 
Unaepuka kunijibu moja kwa moja, lakini Watu wazima wanaelewa ujumbe ni nini. Asante kwa mchango wako.
 
Naam, Ndio Mimi mkuu. Hata Mimi nashangazwa na hoja za zitto pamoja na watetezi wake humu, kwanini? Nimeshaeleza kwa kina, Nisome kisha rudi kwa hoja. Wenzako wamekimbia baada ya kuporomosha mitusi na kutoa mipasho.
...Mkuu kama ni wewe kweli siwezi kuanza malumbano ila kwa kifupi Dunia inatucheka mzee tunavyodiscuss maisha binafsi ya watu na kuacha hoja ya msingi...hivi sasa kuna watanzania wenzetu wanaumia sana na wizi huu inawezekana lisikuguse wewe kama Mchambuzi lakini jirani yako likamgusa...Mkuu wewe mungu kakupa(God gifted) uwezo wa kipekee sana hata wewe mwenyewe unafahamu hilo..Hebu leo tuachane na mambo ya Zitto/kafulila twende na hili la ufisadi wa Iptl..Hii vita sio rahisi Mkuu inahitaji nguvu ya pamoja na kuaminiana...Yaliyopita yamepita Mchambuzi tusameheane na twende mbele..Mungu ibariki Tanzania na watu wake
 
Hujamuelewa Mchambuzi tatizo ni kuwa Zitto ana price tag hayuko consistency hivi unaweza kujua mabilioni ya Uswiss huyu mkuda aliishia wapi na majina yake? Muvi zake huwa anacheza na Lukuvi kama kawaida kwenye scene ya mwisho ataonekana Lukuvi akihitimisha muvi then Zitto anaanzisha project fame nyingine. Sema hii nchi raia wake wengi wana short memory na Zitto anajua hili na analitumia vyema.
 
Last edited by a moderator:
kajivua ufahamu, anaweweseka anabaki kutaja waberoya kila post!!

tumeona wengi

eti ana maswali, watu wa aina ya hii hata umweleze vipi; katu hawezi kukuelewa au kukuamini

ila anabaki, nimeuliza maswali sijajibiwa!
!!

Kweli huyu kijana Mchambuzi ameharibikiwa ufahamu wake wote kwa sababu ya chuki na upambe, huyu ni mtu wa kumpuuza tu.Kama hawa ndio wasomi waliojaa upambe tu basi kuna tofauti gani na Kibajaji wa Mtera aliyeishia la saba?
 
Simply Mchambuzi and Nguruvi3 have lost their heads in this saga, they are just exposing their dirty underpants, pathetic loosers ......IPTL BRING BACK OUR MONEY....
 
Hawa akina Mchambuzi na mwenzie wanadivert mjadala wa Umma!

KINACHONISHANGAZA WANAKOMAA NA MAJIBU YA ZITTO, LAKINI SHUTUMA ZILIPORUSHWA DHIDI YAKE KWENYE MTANDAO HAPA JF WALA HAWAKUQUESTION SHUTUMA HIZO, WALA HAWAKUWEKA MSULI WAO KUJIRIDHISHA UKWELI WA TUHUMA HIZO!!!. WALA HAWAKUQUESTION KAMA GOMBE COMPANY INAFANYA BIASHARA YA GESI NA MAFUTA, WALIKAA KIMYAA. huu ni uthibitisho wa wazi kwamba hawa watu hawana Interest ya kujua ukweli, bali walitaka tuhuma dhidi ya Zitto Zistick, na Zitto asiaminike mbele ya umma katika ishu hii ya Escrow!!!.

NATOA CHANGAMOTO KWA MCHAMBUZI NA MWENZIE WATUONYESHE MAHALI POPOTE KATIKA MJADALA HUU WA ESCROW UNAOENDELEA, TUONE KAMA KUNA MAHALI WALIQUESTION TUHUMA ALIZOVURUMISHIWA ZITTO ILI TUPROVE KWAMBA KWELI WAPO KATIKA DHATI YA "KUJUA UKWELI" NA KWAMBA HAWAKO BIASED.

NINACHOKIONA MIMI HAWA WANAJARIBU KUTOBOA MATOBO KATIKA MAJIBU YA TUHUMA, LAKINI HAWAONYESHI KWA NAMNA YOYOTE KUTUMIA ENERGY HIYO HIYO KUTOBOA MATOBO KATIKA SHUTUMA ALIZORUSHIWA ZITTO. hii ni prrof kuwa wana chuki binafsi na mheshimiwa Zitto.

Kama wangekuwa fair, wangequestion hoja za pande zote mbili, Upande wa shutuma na Upande wa majibu. Lakini so far wamechagua upande, na upande wenyewe ni upande wa mafisadi wa IPTL. this is pathetic, kwa sababu at the end of the day wapo katika upande wa kushindwa.
Vema kabisa. Ukisoma bandiko langu moja, kurasa kama mbili nyuma, nimeandika kwa uyakinifu kuhusu madai yako.

1. Nimesema kuna wizi wa Escrow ambao serikali inauficha, ripoti ya PCCB inakwenda Ikulu kinyume na kwa waziri mkuu.

2. Nikaeleza wazi, kuna mafisadi walioiba pesa za Escrow na hilo halina mjadala

3. Nikasema, hili la Zitto kujibu tuhuma mtandaoni ni jema, lakini ameacha maswali muhimu.
Nikajadili maswali hayo kwa kina kuonyesha kwanini amechagua baadhi na kujaza hoja za bla bla badala ya core issue.

Nikirudi katika hoja kwanini tulikaa kimya tuhuma zikirushwa.

1. Ni kwasababu tulijua mafisadi wanatumia mwanya huo kutaka kujitetea.
Niliona hoja zao kama za leseni ya udereva na mengineyo ni mfa maji tu.

2. Tulisubiri ukweli wa kamati ya bunge badala ya kukimbilia ukweli wa upande mmoja

3. Ukisoma hoja utaona hatuongelei hoja kama za ubalozi wa Kenya na Uingereza.
Hii maana yake ni kukuonyesha kuwa hakukuwa na cha kujibu kutoka kwa Zitto au maelezo yake yalihitaji utambuzi zaidi, na hivyo kumpa benefit of doubt.

Kwanini basi hoja zinaendelea?

1. Ni kutokana na maelezo ya Zitto yanayoacha mwanya wa kuhoji kuliko majibu
2. Ni wasi wasi kuhusu suala hili kugeuzwa la kisiasa hasa publicity kuliko ukweli wa uhalifu uliotendeka
3. Hakuna tuhuma dhidi ya Zitto, kilichopo ni kumtaka afanye clarifications ya maelezo yake. Ndio msingi wa hoja
4. Hoja zimefungua mambo tuliyokuwa hatuyajui, kama uwepo wa wakili Mkandege
5. Kuna tuhuma zimeelekezwa kwake hazikujibiwa kwa uyakinifu na kuacha maswali muhimu sana bila majibu

Nimeingiaje hapa katika mada
1. Kama mwananchi na mwanaJF nikitumia haki yangu ya kusoma au kuchangia
2. Kusoma na kupata ukweli wa upande wa Zitto baada ya kusikia tuhuma za mafisadi
3. Kufanya critic ya maelezo yake ili kupata ukweli wa kile kinachosemwa
4. Kushangaa vigelegele bila majibu mahususi
5. Historia ya Zitto inayotuacha njia panda kwa masuala mengi
6. Nimealikwa na ''mshauri'' wa Zitto kuchangia bw. Waberoya na kuitikia wito

Mwisho, wengine hatupo katika ushindani. Tupo katika fikra na hatutarajii ushindi kutoka kwa upande wowote.
Ushindi ni pesa za wananchi na walioshiriki kufikishwa mbele ya sheria.

Walioshiriki ni akina nani?
Wezi wa pesa
Walioshiriki kuandaa nyaraka
Waliohifadhi pesa
Waliopitisha pesa sehemu nyingine
Waliopata mgao na kusafisha pesa
Waliopata mgao wa moja kwa moja au kupitia sehemu nyingine

Kwanini tuna hofu na vita
Majemadari lazima wawe na mikono misafi, wanaoaminika na wakweli.
Historia inasuta kukubali kumeza bila kutafuna

Tumeingia mkenge mara nyingi na safari hii ni upuuzi kuingia mkenge mwingine.

Tunawajuaje majemadari waadilifu
1. Kupitia kauli zao
2. Kupitia historia zao
3. Kuangalia motive behind
4. Kuangalia public trust yao na kama wana moral authority tena ya kusikilizwa bila cross exams
 
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.

Mkuu umeahidiwa percent ngapi kufanikisha uvurugaji wa hili suala. Hebu kuwa mzalendo angalau kwa hili halafu likishapita fungua uzi uanzishe la kwako na wewe. Vichwa vingine bana ni tia maji kweli
 
ok PAP wanalipa mianne kwa siku na yule kachero wa marekani analipwa ngapi?
 
Nina wasiwasi kuna baadhi ya wakuu hapa jamvini...hawajasoma post ya kwa ya uzi huu neno kwa neno. Na kuna uwezekano wengine wamesoma neno kwa neno lakini hawakutafakari kwa kwa kina juu ya kile kilichoandikwa na hasa malengo ya mwandishi wa post hiyo. Vinginevyo hao wanao mtetea mwanzisha mada wange kuja na majibu ya maswali yanayoulizwa juu ya kile kilicholetwa jukwaani.
Nimeshawaeleza hapo Juu Watanzania ni wengi wanasoma Juujuu hawapendi kutafakari neno kwa neno na ndilo tatizo lililopo hapa.
 
Vema kabisa. Ukisoma bandiko langu moja, kurasa kama mbili nyuma, nimeandika kwa uyakinifu kuhusu madai yako.

1. Nimesema kuna wizi wa Escrow ambao serikali inauficha, ripoti ya PCCB inakwenda Ikulu kinyume na kwa waziri mkuu.

2. Nikaeleza wazi, kuna mafisadi walioiba pesa za Escrow na hilo halina mjadala

3. Nikasema, hili la Zitto kujibu tuhuma mtandaoni ni jema, lakini ameacha maswali muhimu.
Nikajadili maswali hayo kwa kina kuonyesha kwanini amechagua baadhi na kujaza hoja za bla bla badala ya core issue.

Nikirudi katika hoja kwanini tulikaa kimya tuhuma zikirushwa.

1. Ni kwasababu tulijua mafisadi wanatumia mwanya huo kutaka kujitetea.
Niliona hoja zao kama za leseni ya udereva na mengineyo ni mfa maji tu.

2. Tulisubiri ukweli wa kamati ya bunge badala ya kukimbilia ukweli wa upande mmoja

3. Ukisoma hoja utaona hatuongelei hoja kama za ubalozi wa Kenya na Uingereza.
Hii maana yake ni kukuonyesha kuwa hakukuwa na cha kujibu kutoka kwa Zitto au maelezo yake yalihitaji utambuzi zaidi, na hivyo kumpa benefit of doubt.

Kwanini basi hoja zinaendelea?

1. Ni kutokana na maelezo ya Zitto yanayoacha mwanya wa kuhoji kuliko majibu
2. Ni wasi wasi kuhusu suala hili kugeuzwa la kisiasa hasa publicity kuliko ukweli wa uhalifu uliotendeka
3. Hakuna tuhuma dhidi ya Zitto, kilichopo ni kumtaka afanye clarifications ya maelezo yake. Ndio msingi wa hoja
4. Hoja zimefungua mambo tuliyokuwa hatuyajui, kama uwepo wa wakili Mkandege
5. Kuna tuhuma zimeelekezwa kwake hazikujibiwa kwa uyakinifu na kuacha maswali muhimu sana bila majibu

Nimeingiaje hapa katika mada
1. Kama mwananchi na mwanaJF nikitumia haki yangu ya kusoma au kuchangia
2. Kusoma na kupata ukweli wa upande wa Zitto baada ya kusikia tuhuma za mafisadi
3. Kufanya critic ya maelezo yake ili kupata ukweli wa kile kinachosemwa
4. Kushangaa vigelegele bila majibu mahususi
5. Historia ya Zitto inayotuacha njia panda kwa masuala mengi
6. Nimealikwa na ''mshauri'' wa Zitto kuchangia bw. Waberoya na kuitikia wito

Mwisho, wengine hatupo katika ushindani. Tupo katika fikra na hatutarajii ushindi kutoka kwa upande wowote.
Ushindi ni pesa za wananchi na walioshiriki kufikishwa mbele ya sheria.

Walioshiriki ni akina nani?
Wezi wa pesa
Walioshiriki kuandaa nyaraka
Waliohifadhi pesa
Waliopitisha pesa sehemu nyingine
Waliopata mgao na kusafisha pesa
Waliopata mgao wa moja kwa moja au kupitia sehemu nyingine

Kwanini tuna hofu na vita
Majemadari lazima wawe na mikono misafi, wanaoaminika na wakweli.
Historia inasuta kukubali kumeza bila kutafuna

Tumeingia mkenge mara nyingi na safari hii ni upuuzi kuingia mkenge mwingine.

Tunawajuaje majemadari waadilifu
1. Kupitia kauli zao
2. Kupitia historia zao
3. Kuangalia motive behind
4. Kuangalia public trust yao na kama wana moral authority tena ya kusikilizwa bila cross exams
Kuwa mkweli kwenye hii mada umeingia baada ya kuitwa na Mchambuzi kwenye post yake alikuita Waberoya ndiyo akahoji kuitwa kwako, nilikuwa naweka kumbukumbu sana.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mkweli kwenye hii mada umeingia baada ya kuitwa na Mchambuzi kwenye post yake alikuita Waberoya ndiyo akahoji kuitwa kwako, nilikuwa naweka kumbukumbu sana.

Mkuu hawa watu watafanya kila kitu ili malengo yao yatimie. Umeona hapa umemkamata READY HANDED ANADANGANYA, unadhani mtu kama huyu ni wa kuaminika?. Anapowadoubt wenzie motives na Integrity zao, basi ni vyema na yeye akawa na Integrity ya kusema Ukweli!. Hapa nyuma ya Keyboard anadanganya mchana kweupee, Je kule mtaani atakuwa mtu wa namna gani huyu?.
 
Nimeshawaeleza hapo Juu Watanzania ni wengi wanasoma Juujuu hawapendi kutafakari neno kwa neno na ndilo tatizo lililopo hapa.
Ahsante sana. Kutafakari wanasema ni kukosa uzalendo. Ukitafuta ukweli wanasema ni kushirikiana na mafisadi.

Laiti wangalifahamu kilchomo, laiti wangalijuakiichomo nyuma ya pazia
 
Mkuu hawa watu watafanya kila kitu ili malengo yao yatimie. Umeona hapa umemkamata READY HANDED ANADANGANYA, unadhani mtu kama huyu ni wa kuaminika?. Anapowadoubt wenzie motives na Integrity zao, basi ni vyema na yeye akawa na Integrity ya kusema Ukweli!. Hapa nyuma ya Keyboard anadanganya mchana kweupee, Je kule mtaani atakuwa mtu wa namna gani huyu?.
Nimesema wazi kuwa Waberoya amenialika. Soma post yaWaberoya halafu utafakari kwanini nimesema amenialika. Nenda kule GT usome uziwa '' ACT mpini wa kuua upinzani'' utamkuta Waberoya tena akiwa na post yamwisho.

Soma uzi ule utaelewa kwanini kifasihi nimesema amenialika. Jamani mbona mnaona giza mchana?

Issue nzima na Wabe ilikuwa ni ZZK. Hivyo ninapotumia neno amenialika si kama mjuavyo, ni Zaidi ya hapo.

Pili, mimi si mwanasiasa na wala si kiongozi. Ninatoa maoni yangu kwa mtazamo wangu.
Integrity yangu haiwezi kuhojiwa kwasababu sina ubia wala ushiriki wa suala aliloeta ZZK.

Tatu, Hoja kubwa kuhusu mada ya ZZK. Je, imekidhi kiu yakile anachoeleza.
Mbona hamtoi ufafanuzi kuonyesha integrity yetu wangine eilivyo mbaya.

Nne, mnjaua disco mnalocheza au mnacheza mirindimo?
Hivi kesho mkijua kuwa ni
shangwe za ''sendoff'' ya mtu mtajisikiaje?

Tano, hebu tuelezeni, je ZZK aliyetuhumiwa kuchukua milioni6, ni kweli si kweli?

Je, Laketugite na Gombe ni kampuni moja au mbili zenye kazi moja?

Je, Ongangi ni mshiriki au si mshiriki wa Gombe company

Je, yale majina ya uswiss yamepatikana?

Je, ZZK alimkodishia nyumba CEO wa shell au hapana?
 
Nimesema wazi kuwa Waberoya amenialika. Soma post yaWaberoya halafu utafakari kwanini nimesema amenialika. Nenda kule GT usome uziwa ‘’ ACT mpini wa kuua upinzani’’ utamkuta Waberoya tena akiwa na post yamwisho. Soma uzi ule utaelewa kwanini kifasihi nimesema amenialika. Jamanimbona mnaona giza mchana?
Issue nzima ilikuwa ni ZZK. Hivyo ninapotumia neon amenialikasi kama mjuavyo, ni Zaidi ya hapo.
Pili, mimi si mwanasiasa na wala si kiongozi. Ninatoa maoniyangu kwa mtazamo wangu. Integrity yangu haiwezi kuhojiwa kwasababu sina ubiawala ushiriki wa suala aliloeta ZZK.
Tatu, Hoja kubwa kuhusu mada ya ZZK. Je, imekidhi kiu yakile anachoeleza. Mbona hamtoi ufafanuzi kuonyesha integrity yetu wangeineilivyo mbaya.
Nne, manjua disco mnalocheza au mnacheza mirindimo? Hivikesho mkijua kuwa ni shangwe za ‘’sendoff’’ ya mtu mtajisikiaje?
Tano, hebu tuelezeni, je ZZK aliyetuhumiwa kuchukua milioni6, ni kweli si kweli?
Je, Laketugite na Gombe ni kampuni moja au mbili zenye kazimoja?
Je, Ongangi ni mshiriki au si mshiriki wa Gombe company
Je, yale majina ya uswiss yamepatikana?
Je, ZZK alimkodishia nyumba CEO wa shell au hapana?

Kumbe nawe ni miongoni wa wanaomtuhumu Zitto, ningelijua toka jana uko upande wa wanaomtuhumu Zitto I swear nisingelitia hata Nukta
 
Kweli huyu kijana Mchambuzi ameharibikiwa ufahamu wake wote kwa sababu ya chuki na upambe, huyu ni mtu wa kumpuuza tu.Kama hawa ndio wasomi waliojaa upambe tu basi kuna tofauti gani na Kibajaji wa Mtera aliyeishia la saba?
Ndugu zangu, mbona hoja zipo wazi na hazijibiwi?
Kamakaharibikiwa hilo ni suala jingine, lakini je hoja zake zinajibika?

ZZK amejirisha kuwa mhuri uliotumika wa wakiliJoseph Mkandege ni feki au ni halali?

Mbona hilo hajawaeleza? Ninyi mna maoni gani?

Je, milioni 6 alizotuhumiwa kuchukua, ni kweliau ni uongo? Mbona hilo hamjibu mnataka tu watu wakae kimya ili wawe wazalendo

Uhusiano wa ZZK na Ongagi upoje katika Gombe.Je, Ongagi ni mshirika au la? Mbona hamjibu?

Je, ZZK alimtafutia nyumba CEO wa Shell, nikweli au si kweli? Ninyi mna maoni gani kuhusu hilo?

Integrity ya ZZK

Majina ya Uswiss yapo wapi? Mbona hamtuwekeikama aliweza kutaja.
Je, alikuwa na uzalendo au ilikuwa na motive nyingine?

Ukaguzi wa vyama kwa kumtumia CAG. Mnakumbuka Waraka ulisema nini na integrit
Ndugu zangu, mbona hoja zipo wazi na hazijibiwi? Kama kaharibikiwa hilo ni suala jingine, lakini je hoja zake zinajibika?

  1. ZZK amejiridhisha kuwa mhuri uliotumika wa wakili Joseph Mkandege ni feki au ni halali? Mbona hilo hajawaeleza? Ninyi mna maoni gani?
  2. Je, milioni 6 alizotuhumiwa kuchukua, ni kweli au ni uongo? Mbona hilo hamjibu mnataka tu watu wakae kimya ili wawe wazalendo?
  3. Uhusiano wa ZZK na Ongagi upoje katika Gombe. Je, Ongagi ni mshirika au la? Mbona hamjibu?
  4. Je, ZZK alimtafutia nyumba CEO wa Shell, ni kweli au si kweli? Ninyi mna maoni gani kuhusu hilo?

    Integrity ya ZZK

  1. Majina ya Uswiss yapo wapi? Mbona hamtuwekei kama aliweza kutaja. Je, alikuwa na uzalendo au ilikuwa na motive nyingine?
  2. Ukaguzi wa vyama kwa kumtumia CAG. Mnakumbuka Waraka ulisema nini na integrity ya ZZK ilikuwaje? Je, aliposema anasimamia pesa za umma tukamuunga mkono, halafu waraka ukatueleza alikuwa anatafuta njia ya kisiasa, mbona hamjibu kuwa si kweli?
  3. Alipotoka nje ya bunge kama upinzani, akawalaani wapinzani kutoka bungeni kwa kutumia UKAWA. Hapo integrity yake ipo wapi

Orodha inaendelea kama yupo anayehitaji. Ni ndefu sana

Hujamuelewa Mchambuzi tatizo ni kuwa Zitto ana price tag hayuko consistency hivi unaweza kujua mabilioni ya Uswiss huyu mkuda aliishia wapi na majina yake? Muvi zake huwa anacheza na Lukuvi kama kawaida kwenye scene ya mwisho ataonekana Lukuvi akihitimisha muvi then Zitto anaanzisha project fame nyingine. Sema hii nchi raia wake wengi wana short memory na Zitto anajua hili na analitumia vyema.
Yale majina ya uswiss yamepotelea hewani,kweli Zitto msanii..
 
Last edited by a moderator:
Kumbe nawe ni miongoni wa wanaomtuhumu Zitto, ningelijua toka jana uko upande wa wanaomtuhumu Zitto I swear nisingelitia hata Nukta
Hakuna mahali katika hoja za bandiko lake nimesema namtuhumu, hakuna.Kila mara nimesema ni kweli au si kweli?

Wengine tumeitwa watetezi wa mafisadi. Sasa tunajenga hoja kwanini

  1. Maelezo yake hayakujibu hoja zinazomkabili
  2. Kwanini kuna hofu na integrity yake
  3. Kwanini wapambe wanataka tunyamaze pesa zirudina si kuzungumzia suala kama alivyoleta.
  4. Kwanini tunaitwa watetezi wa mafisadi

    Maelezo ndiyo yanafuata. Siwezi kuacha kujibu hoja na ninachokifanya nikujibu. Najibu kwa kunukuu mtu ili nisizue yaliyo nje

    Nimeulizwa kuhusu integrity ya ZZK, nimefafanua kwa mtazamo wangu. Nifair kabisa, sikimbii hoja nakabiliana na hoja

    Tunaomba ufafanuzi wa hoja za mada ya ZZK aliyoleta mwenyewe.

    Kuanziajana naona unataukana tu, laity ungalijua ungeacha matusi
 
Ndugu zangu, mbona hoja zipo wazi na hazijibiwi?
Kamakaharibikiwa hilo ni suala jingine, lakini je hoja zake zinajibika?

ZZK amejirisha kuwa mhuri uliotumika wa wakiliJoseph Mkandege ni feki au ni halali?

Mbona hilo hajawaeleza? Ninyi mna maoni gani?

Je, milioni 6 alizotuhumiwa kuchukua, ni kweliau ni uongo? Mbona hilo hamjibu mnataka tu watu wakae kimya ili wawe wazalendo

Uhusiano wa ZZK na Ongagi upoje katika Gombe.Je, Ongagi ni mshirika au la? Mbona hamjibu?

Je, ZZK alimtafutia nyumba CEO wa Shell, nikweli au si kweli? Ninyi mna maoni gani kuhusu hilo?

Integrity ya ZZK

Majina ya Uswiss yapo wapi? Mbona hamtuwekeikama aliweza kutaja.
Je, alikuwa na uzalendo au ilikuwa na motive nyingine?

Ukaguzi wa vyama kwa kumtumia CAG. Mnakumbuka Waraka ulisema nini na integrit
Ndugu zangu, mbona hoja zipo wazi na hazijibiwi? Kama kaharibikiwa hilo ni suala jingine, lakini je hoja zake zinajibika?

  1. ZZK amejiridhisha kuwa mhuri uliotumika wa wakili Joseph Mkandege ni feki au ni halali? Mbona hilo hajawaeleza? Ninyi mna maoni gani?
  2. Je, milioni 6 alizotuhumiwa kuchukua, ni kweli au ni uongo? Mbona hilo hamjibu mnataka tu watu wakae kimya ili wawe wazalendo?
  3. Uhusiano wa ZZK na Ongagi upoje katika Gombe. Je, Ongagi ni mshirika au la? Mbona hamjibu?
  4. Je, ZZK alimtafutia nyumba CEO wa Shell, ni kweli au si kweli? Ninyi mna maoni gani kuhusu hilo?

    Integrity ya ZZK

  1. Majina ya Uswiss yapo wapi? Mbona hamtuwekei kama aliweza kutaja. Je, alikuwa na uzalendo au ilikuwa na motive nyingine?
  2. Ukaguzi wa vyama kwa kumtumia CAG. Mnakumbuka Waraka ulisema nini na integrity ya ZZK ilikuwaje? Je, aliposema anasimamia pesa za umma tukamuunga mkono, halafu waraka ukatueleza alikuwa anatafuta njia ya kisiasa, mbona hamjibu kuwa si kweli?
  3. Alipotoka nje ya bunge kama upinzani, akawalaani wapinzani kutoka bungeni kwa kutumia UKAWA. Hapo integrity yake ipo wapi

Orodha inaendelea kama yupo anayehitaji. Ni ndefu sana

Hatuwezi kurudia kitu hichohicho kwa siku tatu...ngoja nawe nikupuuze tu.
 
Kweli huyu kijana Mchambuzi ameharibikiwa ufahamu wake wote kwa sababu ya chuki na upambe, huyu ni mtu wa kumpuuza tu.Kama hawa ndio wasomi waliojaa upambe tu basi kuna tofauti gani na Kibajaji wa Mtera aliyeishia la saba?

Jibuni hoja zao acheni kuweweseka! Tatizo lenu suala sensitive kama hili mnalifanyia siasa zenu za maji taka.
 
Back
Top Bottom