Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Hatuwezi kurudia kitu hichohicho kwa siku tatu...ngoja nawe nikupuuze tu.

Huyo Zitto nadhani yupo na ameshaona hayo maswali anayoulizwa,si ajitokeze ajibu? Mleta hoja ni zitto,sasa tunashangaa wapambe wake kuanza kutukana ovyo wachangiaji wanaomtaka asijibu tuhuma nusunusu bali kwa vile ameamua kujibu basi atoe majibu yanayojitoshereza ili kila mtu amwamini.Hivi kwa akili ya kawaida,jemedari aliyewahi kuasi na kukimbia vita mnaweza kumuamini tena awe jemedari wenu katika vita nyingine? Hii vita amuachie aliyeianzisha ambaye ni KAFULILA,aache kulifanyia siasa hili jambo kwani yeye haaminiki
 
Mkuu tatizo hao nmaaskari tunaotakiwa kuwaamini wako kimya katika suala hili, je na sisi tunyamaze mpaka hao tunaowaamini watakapovunja ukimya?

Like tu haitoshi. Hawa jamaa wamedhamiria kumpoteza Zitto kisiasa. Wanajifany wamesahau kuwa kipindi Zitto anapambana ouhusu mabilioni ya uswizi wao wakiongozwa na "kamanda" lema wakawa wanamuibulia matuhuma na kumsimamisha uanachama. Sasa jamaa anapambana tena kwenye huu wizi wao kwa Mara nyingine tena wana-teamup na mafisadi kumwangusha Zitto. Kweli hawa ndo wanaifanya cdm iwe ni pazia la ccm. Upumbavu to its maximum
 
Mkuu tatizo hao nmaaskari tunaotakiwa kuwaamini wako kimya katika suala hili, je na sisi tunyamaze mpaka hao tunaowaamini watakapovunja ukimya?

Mtoa hoja ni Kafulila,au naye kalikimbia? Na je,huko bungeni haungwi mkono? Mbona mwanzisha hoja anadeal nalo sana na kajitahidi kulishughurikia tofauti na huyu mgambo anayelifanyia siasa kwenye mitandao ya kijamii?
 
Jibuni hoja zao acheni kuweweseka! Tatizo lenu suala sensitive kama hili mnalifanyia siasa zenu za maji taka.

Wasakatonge nyie. Kilicho akilini mwenu ni kupambana na Zitto tu basi. Shame on you. Mnaunganq Mara ya pili hii na mafisadi ili uozo usiibuliwe kwa kuwa viongozi wawili wa upinzani wametajwa. Hata issue ya uswizi baada ya kuonekana majina ya viongozi wenu mkaamua kuungana kwa hila mkimtumia lema na sugu kumvunja moyo Zitto. Hakuna dhambi hii utakuwa juu yenu wanafiq nyie
 
Tatizo Kiongozi wa Upinzani Bungeni wao wenyewe wanajua anapwaya..Huwezi linganisha uongozi wa upinzani Bungeni wa Mbowe na ile combination ya Hamad Rashid na Dr Slaa kwenye bunge la 2005-10; amepwaya mno.Sijui kwa ukweli utamkumbuka Mbowe kwa lipi Bungeni?

Sasa kama wamepwaya na Zitto akae kimya tu ili wezi wapotee?no itabidi apige kelele tu mpaka kieleweke.

Hivi hili saga lilianza kupigiwa kelele na gazeti la citizen,kafulila au zitto? Tatizo wapuuzi wanataka kulitumia kisiasa badala ya kuongozwa na uzalendo kwa taifa ndio maana wanalipotosha!
 
Usizidi kujishusha kwa kiwango hiki kama mtoto wa shule ya msingi sasa...ebu anzisha thread nyingine naamini Zitto atakujibu huko.

Shame on you

Jibu hoja zake acha kupayuka tu,kama huna majibu kaa kimya au mwite zzk aje ajibu na si kuweka post na kujificha.
 
Jibuni hoja zao acheni kuweweseka! Tatizo lenu suala sensitive kama hili mnalifanyia siasa zenu za maji taka.

Kweli hujitambui...mimi ninayeangalia malsahi ya nchi yangu na nyie wenye hofu tu kuwa japo jambo hili ni muhimu kwa nchi lakini mlizime kwa hofu kuwa Zitto atapata credit?nawe utasema unaipenda nchi?hapana unapenda chama chako na wala sio nchi.Na kwa hii ndio tofauti ya Zitto na wanasiasa wengi, yeye kwake ni nchi kwanza na hayo makundi madogo madogo.

Mwananchi wa kawaida kama mimi hajali nani atapata credit, muhimu ni pesa zetu zilizoibwa zinapatikana na waliohusika wanachukuliwa hatua.Hizo siasa zenu kazichezeni ndani ya vyama vyenu.
 
Hivi hili saga lilianza kupigiwa kelele na gazeti la citizen,kafulila au zitto? Tatizo wapuuzi wanataka kulitumia kisiasa badala ya kuongozwa na uzalendo kwa taifa ndio maana wanalipotosha!
Tatizo hujui kuwa Kafulila na Zitto ni kama mapacha kwenye siasa.

Yaan wewe kweli hujitambui kabisa..sasa unalalamika tena jambo kutumika kisiasa wakati huohuo unadai uzalendo?mzalendo ni mwananchi anayeangalia maslahi ya nchi yake bila kujali maslahi yake.

Sasa wewe mwenye kuangalia kisiasa tena unajiita mzalendo?hujui ata uzalendo ni nini?wewe sio mzalendo bali ni kada wa chama chako ndio maana kila kitu unakiangalia kwa miwani ya siasa.Shame.

Kwa mzalendo wa nchi yake hajiulizi hilo la nani atapata credit bali anajiuliza je nchi yangu itanufaika na hili?ata kama jambo hili lingeingozwa na Mbunge wa Cuf ningeunga mkono, lingeongozwa na Mbowe ningeunga mkono, na ata lingeongozwa na Lusinde ningeunga mkono.Wenye ukada wa vyama hamuwezi kufanya hivyo kwani kwenu ukada umeufunika uzalendo wenu.
 
Nilimwambia mchambuzi,ila leo hajatoa mbadala,yeye baada ya kujadili hoja ya escrow,anajadili kampuni ya zito,

Kwani mleta mada ambaye ni zitto kalileta ili tujadili scandal ya escrow au kaleta mada kujitetea dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake? Na kama msingi wa post ni kujibu tuhuma,SASA KWA NINI ACHAGUE TUHUMA ZA KUJIBU? KWA NINI ASIJIBU TUHUMA ZOTE?
 
ishu ya pesa za uswisi ni mutual exclusive na pesa za Escrow.
Kutopatikana kwa pesa za uswis hakujustify Zitto kutopigania pesa nyingine za umma.

Kama hakupata za Uswisi je akifnikiwa kupata za escrow si ni jambo la heri hilo?. Mchambuzi na wenzie ambao ni Negative wanaangalia GLASI ya ishu hii kama HALF EMPTY, badala ya HALF FULL

Huu ubinafsi ndio unatuchanganya,unadai akizipata pesa za escrow itakuwaje? Kwani anazipigania peke yake? Mwambieni asiitumie PAC kisiasa,kwani asipokuwepo yeye hiyo PAC itashindwa kuwasilisha hiyo riport kwa mujibu wa ratiba ya bunge? Hii hoja iliibuliwa na gazeti la citizen na kutolewa bungeni na kafulila,sasa huyo zitto kaibukaje tena? Au anataka alitumie tena hili sakata kupiga mpunga?
 
Teh teh Kazi kweli kweli Aanzishe thread Nyingine ili iweje?

Kwn hii imewekwa na nani?

Nguruvi3 Kajishushaje wakati hoja zake hazina majibu?

Huwezi kujibu tuhuma kwa kuchagua maswali ya kujibu.
Nemesi , hii thread ilianzishwa kwa lengo, ndio maana tunaambiwa tuanzishe nyingine ili 'tusichafue' hii iliyopo.

Hakuna majibu, ila matusi na hapo ndipo watu wanaanza kuamka na kuona walichoshindwa kukiona.

Mada imewekwa ijadiliwe, sasa kwanini wengine wanaambiwa wakaanzishe yao. Nitaanzisha thread ya Escrow kwa tuhuma zipi. Hii imejibu tuhuma zilizotolewa na ndio msingi wa kuhoji mbona hoja zinajibiwa kwa kuchagua na si ufafanuzi kwa ujumla?

Hapa wapambe wanaona ni pagumu, hivyo wanaita watu wasaliti, wanashirikiana na mafisadi n.k.
Wanasema ili mtu awe mzalendo lazima abebe manyanga, na mkewe au girlfriend apige vigelegele Zitto! zitto
Ukihoji tu, uzalndo unaondoka, akili huna, unajishusha na unakuwa stupid. Hayo ndiyo majibu ya hoja zao.

Tutaonyesha kila jambo na tutadai maelezo, hatuwezi kumeza tu kila kitu kinachotupa jamvini! hell no!
 
Kweli hujitambui...mimi ninayeangalia malsahi ya nchi yangu na nyie wenye hofu tu kuwa japo jambo hili ni muhimu kwa nchi lakini mlizime kwa hofu kuwa Zitto atapata credit?nawe utasema unaipenda nchi?hapana unapenda chama chako na wala sio nchi.Na kwa hii ndio tofauti ya Zitto na wanasiasa wengi, yeye kwake ni nchi kwanza na hayo makundi madogo madogo.

Mwananchi wa kawaida kama mimi hajali nani atapata credit, muhimu ni pesa zetu zilizoibwa zinapatikana na waliohusika wanachukuliwa hatua.Hizo siasa zenu kazichezeni ndani ya vyama vyenu.
Alaaa kuuumbe! hatukujua kuwa ZZK anapata credit, tulidhani anajibu tuhuma kama mzalendo. OK! taratibu tunaanza kujua motive behind

Tunaipenda nchi sana ndio maana tunamtaka afafanu ili tujue mafisadi wanamwandama vipi au ana ushiriki upi.
Kuacha hoja zinaelea kunatia shaka sana, lazima tuseme.

1. Tuhuma za leseni ya Vivian iliyomhusisha wakili Mkandege, ni pamoja na karatasi ile iliyosema ZZK kapewa milioni 6 za matibabu.
a) Hajatuambia kama ni kweli au si kweli
b) Hajatueleza kama ule mhuri uliotumika ni feki au si feki na ushiriki wa Mkandege upoje

2. Katuhumiwa kuanzisha Gombe company na Ongangi
a) Hajatueleza kama ni kweli ameanzisha na Ongangi au la
b) Hajatuambia Gombe na Laketugite ambazo ni mwanzislishi na zinazofanya kazi za ushauri, Ongangi ni mshiriki au la
c) Kampuni za ushauri mbili kwa wasanii wa Kigoma zinafanyaje kazi

3. Katuhumiwa kumtafutia nyumba CEO wa Shell
a) Hajasema ni kweli au si kweli
b) Kwamba, yeye au Ongangi walishiriki au la

n.k.

Haya ndio mambo wapambe walipaswa kuyatolea majibu kama si ZZK mwenyewe. Hakuna majibu kuna mitusi mizito.
Tukiuliza tunaambiwa hoja ni pesa kurudi kwa wananchi. Lakini hiyo siyo hoja ya ZZK hapo juu.
ZZK anajibu tuhuma zinazomhusu na wala si kueleza namna pesa zinavyorudi.

Hizi hoja za uzalendo, wasaliti, washiriki ufisadi n.k. hazijibu maswali na hoja za ZZK kama alivyoletea.
Akijibu hoja tukaelewa, hakuna tatizo. Akikaa kimya tutauliza zaidi na huenda tukafika alipokuwa hakukusudia.
Tunasema hivyo kwasababu rekodi zipo na litakapotokea jingine bado hoja hizi zitarudi tena zinaweza kuwa na nguvu pengine kuliko ambavyo angezitolea ufafanuzi.

Sasa tunasikia kuwa hututaki apate credfit! heee! kumbe si suala la uzalendo ni credit.
Kwamba hili amelifanya lake na si wananchi!
Credit ili iweje, maana unaposimamia masilahi ya taifa ni uzalendo na uzalendo hauna credit ni jukumu la kila mmoja.

Naomba msome vizuri hoja za credit. Kumbe kulikuwa na mpango wa credit! Sasa kazi kama zinafanywa kwa credit hamuoni tatizo hapo? Jamani fungueni macho, hoja zijibiwe tumuunge mkono, hili la kuleta uzi kwa credit linafungua macho zaidi.
 
Hujamuelewa Mchambuzi tatizo ni kuwa Zitto ana price tag hayuko consistency hivi unaweza kujua mabilioni ya Uswiss huyu mkuda aliishia wapi na majina yake? Muvi zake huwa anacheza na Lukuvi kama kawaida kwenye scene ya mwisho ataonekana Lukuvi akihitimisha muvi then Zitto anaanzisha project fame nyingine. Sema hii nchi raia wake wengi wana short memory na Zitto anajua hili na analitumia vyema.

So.

Wewe ulikua unataka kusemaje kwa mfano.

Umesimamia wapi.

Unataka hili la escrow lisitolewe macho kwa kuwa huna iman na zitto au nin hasa hoja yako.

Sonotorious or sostupid?
 
Last edited by a moderator:
Alaaa kuuumbe! hatukujua kuwa ZZK anapata credit, tulidhani anajibu tuhuma kama mzalendo. OK! taratibu tunaanza kujua motive behind

Tunaipenda nchi sana ndio maana tunamtaka afafanu ili tujue mafisadi wanamwandama vipi au ana ushiriki upi.
Kuacha hoja zinaelea kunatia shaka sana, lazima tuseme.

1. Tuhuma za leseni ya Vivian iliyomhusisha wakili Mkandege, ni pamoja na karatasi ile iliyosema ZZK kapewa milioni 6 za matibabu.
a) Hajatuambia kama ni kweli au si kweli
b) Hajatueleza kama ule mhuri uliotumika ni feki au si feki na ushiriki wa Mkandege upoje

2. Katuhumiwa kuanzisha Gombe company na Ongangi
a) Hajatueleza kama ni kweli ameanzisha na Ongangi au la
b) Hajatuambia Gombe na Laketugite ambazo ni mwanzislishi na zinazofanya kazi za ushauri, Ongangi ni mshiriki au la
c) Kampuni za ushauri mbili kwa wasanii wa Kigoma zinafanyaje kazi

3. Katuhumiwa kumtafutia nyumba CEO wa Shell
a) Hajasema ni kweli au si kweli
b) Kwamba, yeye au Ongangi walishiriki au la

n.k.

Haya ndio mambo wapambe walipaswa kuyatolea majibu kama si ZZK mwenyewe. Hakuna majibu kuna mitusi mizito.
Tukiuliza tunaambiwa hoja ni pesa kurudi kwa wananchi. Lakini hiyo siyo hoja ya ZZK hapo juu.
ZZK anajibu tuhuma zinazomhusu na wala si kueleza namna pesa zinavyorudi.

Hizi hoja za uzalendo, wasaliti, washiriki ufisadi n.k. hazijibu maswali na hoja za ZZK kama alivyoletea.
Akijibu hoja tukaelewa, hakuna tatizo. Akikaa kimya tutauliza zaidi na huenda tukafika alipokuwa hakukusudia.
Tunasema hivyo kwasababu rekodi zipo na litakapotokea jingine bado hoja hizi zitarudi tena zinaweza kuwa na nguvu pengine kuliko ambavyo angezitolea ufafanuzi.

Sasa tunasikia kuwa hututaki apate credfit! heee! kumbe si suala la uzalendo ni credit.
Kwamba hili amelifanya lake na si wananchi!
Credit ili iweje, maana unaposimamia masilahi ya taifa ni uzalendo na uzalendo hauna credit ni jukumu la kila mmoja.

Naomba msome vizuri hoja za credit. Kumbe kulikuwa na mpango wa credit! Sasa kazi kama zinafanywa kwa credit hamuoni tatizo hapo? Jamani fungueni macho, hoja zijibiwe tumuunge mkono, hili la kuleta uzi kwa credit linafungua macho zaidi.

You have to employ your thinking capacity nguruvi3.

I thought you were smarter than that.

Ipi ni intention yako hasa.

Character assassination or tegeta escrow?

Hivi kweli mtu mwenye akili zake timamu anaweza acha kuzungumzia huu ufisadi wa escrow ambao unaligusa taifa na kuvaa shanga zake kisha akaenda kushikia bango personal issue kama ya lekatutigite tena ambayo so far imetamkwa pasi na vidhibiti??

Ndie wewe unaesifiwa ni great thinker humu ndan siyo??

Inasikitisha.
 
Nguruvi3 unataman hoja kama hii mle ndan ingetolewa na kamanda lema au mbowe kisha upige makofi.

Wewe na jamaa zako mmeacha kuzungumza yaliyo ya msingi mmekimbilia kupiga ramli za nani ni nani.

Akili zenye matope hizo.
 
kwahiyo hutaki serikali ya CCM kuangushwa?. Hapa ZZK najua unamaanisha nini.
 
You have to employ your thinking capacity nguruvi3.

I thought you were smarter than that.

Ipi ni intention yako hasa.

Character assassination or tegeta escrow?

Hivi kweli mtu mwenye akili zake timamu anaweza acha kuzungumzia huu ufisadi wa escrow ambao unaligusa taifa na kuvaa shanga zake kisha akaenda kushikia bango personal issue kama ya lekatutigite tena ambayo so far imetamkwa pasi na vidhibiti??

Ndie wewe unaesifiwa ni great thinker humu ndan siyo??

Inasikitisha.
The big show
Kwanza,ningeomba uonyeshe wapi nimefanya character assassination?
Pili, hakunahoja ya Escrow iliyouzungumziwa na Zitto katika hoja yake hapo juu

AlichozungumzaZitto ni tuhuma anazojengewa na mafisadi.
Katika tuhuma hizo ametoa majibu. Kuna hoja alizoeleza mwenyewe bila kuzitolea majibu.

Hizo ndizo wengine tunaziuliza kama zina majibu au la, kama ni kweli au la.

Sijui kamandio character assassination yenyewe unayosema.

Bandiko uliloninukuu nimeeleza hoja zinazogitaji majibu.
Ninashangaa hukunisaidia kuelewa bali kusema ninafanya character assassination.

Mfano,bandiko la Zitto anasema kuna tuhuma zilizopikwa na keshazipleka katika vyombovya dola.
Kataja leseni ya Vivian na mhuri wa wakili Mkandege.

Swali nikuwa, je ameona nini katika mhuri wa Mknadege? Ni feki au Mkandege alitumikakwa nafasi yake?

Mfano wapili, Zitto ametuhumiwa kuwa na kampuni ya Gombe aliyoanzisha nab w Ongagi.
Katika majibu, Zitto anaelezea kazi za ushauri za kampuni ya Gombe.

Zittohakutuambia kuwa ni kweli au si kweli kuwa alianzisha kampuni na Ongagi?
Kumbukahakuna neon hata moja tulilounda, yote yanatoka katika maelezo yake

Zittokatueleza kuhusu kutuhumiwa kumtafutia nyumba CEO wa Shell. Katika majibu yakeZitto ameeleza mengi kuhusu Shell. Kitu tulichotaka kusikia ni je, tuhuma zakumtafutia nyumba ni za kweli? Je, hiyo ndiyo character assassination

Ufisadi waEscrow, wengine mnauona baada ya Zitto. Mimi nimeuongelea hata kbala ya hapo.
Mbona wakati huo hamkuniuliza kama nina washambulia Escrow kwa characterassassination?

Mimi nadhanihoja muhimu ni kujadili mada ya Zitto.
Zitto hakuongelea Escrow kiasi kwambatunaweza kuacha mambo mengine.

Someniheading ya mada '' Ninashambuliwa, tunashambuliwa…'' Hoja ni kushambuliwa kwatuhuma.
Amejibu na wala hatkuhoji majibu yake. Tunachohoji ni kile alichotuhumiwa bila kujibu.

Tulitarajikuwe na link ya majibu kama ya kumhusisha Vivia, Mkandege na Milioni 6. Ukisoma
hoja hakuna link. Je, tukae kimya bila kuuliza kwa kuogopa characterassassination?

Na mwisho,nilipomzungumzia Mbowe mara 3, kwanza ni kumsifia JK kwa kujenga barabara,pili, kukimbilia Ikulu kwenye juisi ya Obama na tatu kusifia JK kuanzishamchakato, mbona wakati huo hamkusema nafanya character assassination?

Tatizohamjadili hoja kwasababu tusizozijua. Mnatafuta cha kusema. Mkuu hoja zipo wazimbona hazijibiwi?
 
Back
Top Bottom