Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Watu wanakufuata PM Mchambuzi? Kwi kwi kwi. Shukuru tu mwenyezi Mungu kakupa uwezo wa kuandika sana na kulemba uongo kuonekana kweli otherwise wewe na kina Tundulisu,Mbowe Slaa na kina Mnyika hamna tofauti.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Granta, Swala hapa si nani zaidi ya Zitto anafaa kupigiaa mbinja swala la ufisadi wa IPTL-ESCROW, bali hoja iliyopo mezani ni "Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC 'Hatutetereki' kama alivyowasilisha mwenyewe ZZK. Hili tumelipokea vizuri lakini kabla hatujabeba mbeleko na kupiga vigelegele na nderemo na vifijo yakawepo maswali ya msingi ya kujibiwa na mleta mada, yaani Zitto ambaye mpaka muda huu kapotea mazima, wamebaki watu wanaoshabikia na kumsifia mtu ambaye hana moral authority yeyote na kumnyooshea mwingine kidole.

Kwa hiyo kabla hatujaenda mbali ajibu maswali yetu ili asije akatuacha solemba njiani
I hear you sir! much respect
 
Watu wanakufuata PM Mchambuzi? Kwi kwi kwi. Shukuru tu mwenyezi Mungu kakupa uwezo wa kuandika sana na kulemba uongo kuonekana kweli otherwise wewe na kina Tundulisu,Mbowe Slaa na kina Mnyika hamna tofauti.
Wanamfuata ili wamsitiri maana anajidharirisha hapa hadharani akionyesha utupu wa kiwango cha juu sana kifikra.

Lakini ndio hivyo tena kama wahenga walivyosema "sikio la kufa halisikii dawa"..Chuki na Upambe vimeishaharibu akili yake kijana huyu, inasikitisha sana.
 
Sasa wewe Masonjo naona hoja zimewaelemea na mmebaki kuleta viroja na character assasination. Nendeni na mbaki kwenye hoja!
 
Last edited by a moderator:
Lakini hii thread ni ya WIZI WA IPTL..ebu jikite kwenye mada please, tunahitaji wa kutuongoza kwenye mapambana haya, tupone alternative tuifuate.
Hapa ndipo mnakosea wanananchi.
Kuna wizi wa Escrow, kuna wezi wa fedha hizo. Hilo halina mjadala kwasababu serikali inahaha sana kuficha ukweli.
Wengine tumeliongelea siku nyingi sana.

Kafulila alipoambiwa ''kaa chini'' ni muongo n.k. tumesimama hapa na kusema, wait a minute, uongo wake mbona kama ukweli! tukasema asikilizwe. Hatukumuangalia Kafulila kama kiongozi wa mapambano, tulimwangalia kama mwakilishi wa wananchi mwenye hoja ya wananchi.

Kuna hoja ya pili, ambayo ndio mnaichanganya.
Kuna tuhuma zilizoletwa au kutolewa dhidi ya Zitto.
Wengine tulikaa kimya tukijua wafa maji na mafisadi wanamwandama Zitto.
Na tulifahamu lazima watatafuta njia za kupinda mjadala.

Zitto kajitokeza kujibu tuhuma dhidi yake, si kama kiongozi wa mapambano dhidi ya rushwa, bali kama Zitto.
Majibu yake hayajitoshelezi ndio msingi wa kuuliza kwanini abcd haisomeki vizuri?
Hatujibiwi tunaambiwa tuna chuki

Majibu hayajitoshelezi kwasababu huko nyuma tulikubali kwa kuamini tu, mwisho wa siku tukajikuta tupo njia panda.
Njia panda kwasababu kulikuwa na political move behind the curtain., wakati sisi tulijua ni suala la masilahi ya kitaifa.

Hoja zinazotokana na ufafanuzi wa Zitto hakuna anayetusaidi kuzijibu.
Hii maana yake ni kuwa kuna doubt nyingi dhidi ya integrity yake katika hili suala kukiwa na ushaidi wa nyuma kuwa mambo kama haya yanaambatana na political move.

Ni rahisi sana, Zitto ajibu hoja twende mbele.

Sasa hili la kusema anaongoza mapambano ni kutaka kumvika kilemba tu.
Mapambano dhidi ya rushwa ni jukumu letu sote na wala tusitegemee mtu kuwa kiongozi. Wewe hapo ulipo unatakiwa uwe kiongozi.

Tulimtegemea Zitto huyu huyu kuhusu Uswiss, na nipo katika rekodi nikimuunga mkono, koo likikauka, huku mamsap akipiga vigele gele, mabinti zangu nderemo na vifijo. Mwisho wa siku wakaniuliza hili suala limeishaje? Nikachutama yarabi!!

Hivi kweli mnataka nichutame tena., ikiwa nimeshachutama mara zaidi ya 3 kwa huyu mtu.
Nimejilipua kwa kusema nasimama na Zitto, nashangaa hoja zinazotokana na maelezo yake si Zitto wala wapambe wake wanajibu.

Hivi nikiamka kesho na kugundua kuwa ilikuwa ni polituical move yenye motive kama ile ya Uswiss, bank kuu, n.k. nitarudi kuchutama tena! Jamani, wengine umri umesogea, simama kaa, simama kaa, ruka ruka inatuchosha.

Mapambano ya rushwa na hili la Escrow ni yetu sote, na wala hakuna aliyemteua Zitto kuwa kiongozi hasa tukiangalia integrity yake.

Jibuni hoja zinazotokana na maelezo yake, acheni kutuambia ''amini tu''. Hatujamhukumu kama ni kweli au si kweli, tunataka ajibu hoja ili tusimame naye, au tujue anatuweka njia panda! Hii habari ya sarawili kwenda magotini kila siku, hapana.
Integrity yake na historia yake inatia hofu.
 
Kuna kitu kinaitwa pragmatism.
Mfano wa Pragmatism ni pale unapoungana na mtu usiyekubaliana naye kwa ajili ya Maslahi mapana zaidi, Chukulia mfano kuna wakati wakati wa utawala wa mwalimu, Tanzania ilikuwa inafanya Biashara ya Almasi kwa Ubia na makaburu!, wakati huo huo tulikuwa tunawapiga vita makaburu!!!!!.

Leo hii marekani inashirikiana na Iran kumpiga ISIS, wakati huo huo marekani inawaminya Wairan kwa vikwazo vya kufa mtu. na pia irani nao viongozi wao hawaishi kuitukana na kuiponda marekani, lakini leo kwa jambo la ISIS wako pamoja kupambana.
Hii ndiyo inaitwa pragmatism, siyo unakuwa na shingo ngumu tu saa zote,ilihali unachokitafuta kinapatikana kwa mtu usiyekubaliana naye.

Zitto anapambana na Adui, na sisi tunapambana na Adui, kwa hiyo naturally tumekuwa washirika katika hili. Ni bora tukaungana naye katika hili halafu likiisha turudie misimamo yetu,

NASHANGAA BADALA YA KUWAPONDA NA KUWASHUSHUA WENYE "INTEGRITY" WASIOPAZA SAUTI KATIKA MUDA NA SAA TUNAPOWAHITAJI MOST, THEN MNAMPONDA MTU MNAYEDHANI ETI HANA "INTEGRITY, LAKINI CHA AJABU MTU HUYU YUKO FRONT KUTETEA MASLAHI YA WANANCHI!

MARTIN LUTHER KING ALISEMA "THERE COMES THE TIME WHEN SILENCE IS BETRAYAL"
WAKO WAPI HAWA WENYE INTEGRITY AMBAO WAKO KIMYA WAKATI TAIFA LINAWAHITAJI?. HIYO INTEGRITY YAO INATUSAIDIAJE SISI KUPATA HELA ZETU ZA ESCROW?

JE MCHAMBUZI NA MWENZIO MNATAKA TUSIKILIZE UKIMYA TUACHE SAUTI ILIAYO NYIKANI?.
 
Hapo swali lipo wapi? Ok kampe service mtokwa povu mwenzio Abunuas ama yeye ndio atakupa service.

Chadema ndio inaendesha nchi, usalama wameshaikabidhi kwetu.

mpaka sasa magamba hamna hiyo report lakini sie timeshainyaka.

FYI Huyo anajiliza liza amekalia kuti kavu. Muache aendelee kujitekenya.

Na wakichakachua tutaiweka original mpaka na sauti zao.

Chadema chama makini kwa watu makini.

Katoe service puvu likushuke
kinyesi. period.
 
Hapa ndipo mnakosea wanananchi.
Kuna wizi wa Escrow, kuna wezi wa fedha hizo. Hilo halina mjjadala kwasababu serikali inahaha sana kuficha ukweli. Wengine tumeliongelea siku nyingi sana.

Kafulila alipoambiwa ''kaa chini'' ni muongo n.k. tumesimama hapa na kusema, wait a minute, uongo wake mbona kama ukweli! tukasema asikilizwe. Hatukumuangalia Kafulila kama kiongozi wa mapambano, tulimwangalia kama mwakilishi wa wananchi mwenye hoja ya wananchi.

Kuna hoja ya pili, ambayo ndio mnaichanganya.
Kuna tuhuma zilizoletwa au kutolewa dhidi ya Zitto. Wengine tulikaa kimya tukijua wafa maji na mafisadi wanamwandama Zitto. Na tulifahamu lazima watatafuta njia za kupinda mjadala.

Zitto kajitokeza kujibu tuhuma dhidi yake, si kama kiongozi wa mapambano dhidi ya rushwa bali kama Zitto.
Majibu yake hayajitoshelezi ndio msingi wa kuuliza kwanini abacd haisomeki vizuri?

Majibu hayajitoshelezi kwasababu huko nyuma tulikubali kwa kuamini tu, mwisho wa siku tukajikuta tupo njia panda.
Njia panda kwasababu kulikuwa na political move behind the curtain., wakati sisi tulijua ni suala la masilahi ya kitaifa.

Hoja zinazotokana na ufafanuzi wa Zitto hakuna anayetusaidi kuzijibu. Hii maana yake ni kuwa kuna doubt nyingi dhidi ya integrity yake katika hili suala kukiwa na ushaidi wa nyuma kuwa mambo kama haya yanaambatana na political move.

Ni rashisi sana, Zitto ajibu hoja twende mbele.

Sasa hili la kusema anaongoza mapambano ni kutaka kumvika kilemba tu. Mapambano dhidi ya rushwa ni jukumu letu sote na wala tusitegemee mtu kuwa kiongozi. Wewe hapo ulipo unatakiwa uwe kiongozi.

Tulimtegemea Zitto huyu huyu kuhusu Uswiss, na nipo katika rekodi nikimuunga mkono, koo likikauka, huku mamsap akipiga vigele gele, mabinti zangu nderemo na vifijo. Mwisho wa siku wakaniuliza hili suala limeishaje? Nikachutama Yarabi.

Hivi kweli mnataka nichutame tena., ikiwa nimeshachutama mara zaidi ya 3 kwa huyu mtu. Nimejilipua kwa kusema nasimama na Zitto, nashangaa hoja zinaztokana na maelezo yake si Zitto wala wapambe wake wanajibu.

Hivi nikiamka kesho na kugundua kuwa ilikuwa ni polituical move yenye motive kama ile ya Uswiss, bank kuu, n.k. nitarudi kuchutama tena! Jamani, wengine umri umesogea, simama kaa, simama kaa, ruka ruka inatuchosha.

Mapambano ya rushwa na hili la Escrow ni yetu sote, na wala hakuna aliyemteua Zitto kuwa kiongozi hasa tukiangalia integrity yake.

Nguruvi3 Ni kweli kwamba Watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama wameungana katika hili na kimsingi wewe na mimi na wengineo ni wamoja.

Tofauti ya kimtazamo na uwezo wetu wakuchanganua mambo umemezwa na ushabiki wa Jumlajumla ambao haujikiti katika kuangalia pia maswali yanayoelea bila Majibu kutoka kwa Mh Zitto kutokana na aina ya majibu yake kwa wale ambao wamemtuhumu.

Kimsingi Ndugu Nguruvi3 na Mchambuzi Maswali yenu yanahitaji Majibu kwa kuwa nikutokana na majibu ya mada iliyopo mezani kuacha kujibu maswali ya msingi.Inasikitisha akina Waberoya na Wenzie wameishia kutukana na mipasho na maneno yakutaka kuaminisha Wanajukwaa kuwa Mnawatetea Waliokwapua mabilioni hayo.Ushabiki wa Jumlajumla wa Watanzania umechangia kwa kiasi kikubwa kwa baadhi ya wanasiasa kuwafanya Watanzania mitaji yao kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
Kama kusoma hujui hata picha hauoni?? Angalia paragraph ya mwisho ya mada iliyowasilishwa na Zitto!!! anaonyesha wasiwasi wa serikari ya CCM kuanguka!! Funguka wewe, au ndio kijana wake??
Kuanguka kwa ccm ni jambo jema, wanaonishangaza ni hawa mataahira wanaomshambulia Zitto, mtetea masilahi ya wanyonge kutuletea habari murua na za jikoni badala ya kumshukuru. maana kufanya hivyo ni sawa na kujitoa muhanga. ccm hawachelewi kummaliza hasa yule anayegusa masilahi yao maovu.
 
unaonekana mweupe kabisa jimalaya wewe. huwezi kumtenganisha Zitto na Kafulila. na huwezi kumtengenisha Zitto na uibuaji wa scandal ya Escrow. we mwendawazimu huoni hata Maswi alipoenda kwenye media alianza kwa kumtukana Zitto? akili zako umekabidhi kwa akina lema, umebaki kopo tu.
kwanza huyo Kafulila mnayemuongelea ni yupi? yule mliyemfukuza na kumuita ka-sisimizi? yaone kwanza, hayana hata aibu.
mlivyo wapumbavu mliwakataa hata CUF waliowaalika hata kuunda serikali kivuli bungeni kabla yenu. mliwakataa hata NCCR mageuzi. na wote hao kuwabatiza CCM B na C respectively.
mlivyo wapumbavu, akina slaa walishiriki kikamilifu kuanzishwa kwa mchakato wa serikali ya Kitaifa Zanzibar. lakini mlipoambulia patupu Zanzibar mkijafanya kauzu na kuanza kuwakejeli CUF kuwa ni ccm B.
sasa mmeona maji ya shingo mmewapigia magoti haohao ccm B na C.
tena bila aibu. yaone kwanza, hayana hata haya.
sasa mmejificha kwenye koti la ukawa. nje ya ukawa hakuna hiyo saccos yenu wapuuzi nyie.

Mbona umetokwa na povu jingi sana? Wewe ndio mrs Zitto ama ndio Diva.

Kwa style yoyote ile. ZK hana mchango wowote kwenye hii saga.

Kaianzisha Kafulila na badae akaileta kwa jamii. Kwa kuwa jamaa yako ZK anapenda kurukia na kutaka kupiga dili KF anamkimbia sana.

Mwambia atulie amalizie ya Pesa za uswiss na TPDC apate mikataba.

Ya Escrow hayamuhusu abadani.

Hiyo hiyo m6 imemtosha.
 
Kuna kitu kinaitwa pragmatism.
Mfano wa Pragmatism ni pale unapoungana na mtu usiyekubaliana naye kwa ajili ya Maslahi mapana zaidi, Chukulia mfano kuna wakati wakati wa utawala wa mwalimu, Tanzania ilikuwa inafanya Biashara ya Almasi kwa Ubia na makaburu!, wakati huo huo tulikuwa tunawapiga vita makaburu!!!!!.

Leo hii marekani inashirikiana na Iran kumpiga ISIS, wakati huo huo marekani inawaminya Wairan kwa vikwazo vya kufa mtu. na pia irani nao viongozi wao hawaishi kuitukana na kuiponda marekani, lakini leo kwa jambo la ISIS wako pamoja kupambana.
Hii ndiyo inaitwa pragmatism, siyo unakuwa na shingo ngumu tu saa zote,ilihali unachokitafuta kinapatikana kwa mtu usiyekubaliana naye.

Zitto anapambana na Adui, na sisi tunapambana na Adui, kwa hiyo naturally tumekuwa washirika katika hili. Ni bora tukaungana naye katika hili halafu likiisha turudie misimamo yetu,

NASHANGAA BADALA YA KUWAPONDA NA KUWASHUSHUA WENYE "INTEGRITY" WASIOPAZA SAUTI KATIKA MUDA NA SAA TUNAPOWAHITAJI MOST, THEN MNAMPONDA MTU MNAYEDHANI ETI HANA "INTEGRITY, LAKINI CHA AJABU MTU HUYU YUKO FRONT KUTETEA MASLAHI YA WANANCHI!

MARTIN LUTHER KING ALISEMA "THERE COMES THE TIME WHEN SILENCE IS BETRAYAL"
WAKO WAPI HAWA WENYE INTEGRITY AMBAO WAKO KIMYA WAKATI TAIFA LINAWAHITAJI?. HIYO INTEGRITY YAO INATUSAIDIAJE SISI KUPATA HELA ZETU ZA ESCROW?

JE MCHAMBUZI NA MWENZIO MNATAKA TUSIKILIZE UKIMYA TUACHE SAUTI ILIAYO NYIKANI?.

gamba NYOKA Nadhani unapaswa kutambua kwanza msingi wa hoja za akina Nguruvi3 Mchambuzi Zimejikita katika mada iliyopo mezani ambyo Zitto Ameweka kwa msingi wa ujibuji tuhuma.

Zitto amejibu tuhuma huku baadhi ya tuhuma nyingine akiziacha huo ndio msingi wa hoja zinazohitaji majibu kutoka kwa Zitto au yoyote ajuaye.
 
Last edited by a moderator:
unaonekana mweupi kabisajimalaya wewe. huwezi kumtenganisha Zitto na Kafulila. na huwezu kumtengenisha Zitto na uibuaji wa scandal ya Escrow. we mwendawazimu huoni hata Maswi alioenda kwenye media aliaanza kwa kumtukana Zitto? akili zako umekabidhi kwa akila lema, umebaki kopo tu.
kwanza huyo Kafulila mnayemuongelea ni yupi? yule mliyemfukuza na kumuita ka-sisimizi? yaone kwanza, hayana hata aibu.
mlivyo wapumbavu mliwakataa hata CUF waliowaalika hata kuunda serikali kivuli bungeni. mliwakataa hata NCCR mageuzi. na wote hao kuwabatiza CCM B na C.
mlivyowapumbavu, akina slaa walishiriki kikamilifu kuanzishwa kwa mchakato wa serikali ya Kitaifa Zanzibar. lakini mlipoambulia patupu Zanzibar mkijafanya kauzu na kuanza kuwakejeli CUF.
sasa mmeona maji ya shingo mmewapigia magoti haohao ccm B na C.
tena bila aibu. yaone kwanza, hayana hata haya.
sasa mmejificha kwenye koti la ukawa. nje ya ukawa hakuna hiyo saccos yenu wapuuzi nyie.
Kejeli,Matusi na maneno mengine yakukera hayawezi kujibu baadhi ya hoja za Wadau kutokana na bandiko la Zitto mwenyewe.

Sakata la Escrow limewaunganisha Watanzania ila hatutaweza kwenda jumla jumla huku hoja nyingine zikielea bila majibu.

Mchambuzi amerejea sakata la Mabilioni ya USWISS na hatma yake ambyo ipo gizani mpaka leo.
 
Last edited by a moderator:
Hebu tuambie basi, ni nani Unayedhani ana Integrity ya Kupambana na ishu hii ya Ufisadi wa Escrow ili Watanzania tuwe nyuma yake na Tuachane na Zitto. Hebu tupe alternative Mkuu.

Nilimwambia mchambuzi,ila leo hajatoa mbadala,yeye baada ya kujadili hoja ya escrow,anajadili kampuni ya zito,
 
gamba nyoka nadhani unapaswa kutambua kwanza msingi wa hoja za akina nguruvi3 mchambuzi zimejikita katika mada iliyopo mezani ambyo zitto ameweka kwa msingi wa ujibuji tuhuma.

zitto amejibu tuhuma huku baadhi ya tuhuma nyingine akiziacha huo ndio msingi wa hoja zinazohitaji majibu kutoka kwa zitto au yoyote ajuaye.
nadhani hujamsoma mchambuzi vizuri, hebu rudia mabandiko yake. Yeye anaona nongwa zitto kukomaa na ishu hii ya escrow eti kwamba hana integrity
 
Kejeli,Matusi na maneno mengine yakukera hayawezi kujibu baadhi ya hoja za Wadau kutokana na bandiko la Zitto mwenyewe.

Sakata la Escrow limewaunganisha Watanzania ila hatutaweza kwenda jumla jumla huku hoja nyingine zikielea bila majibu.

Mchambuzi amerejea sakata la Mabilioni ya USWISS na hatma yake ambyo ipo gizani mpaka leo.

ishu ya pesa za uswisi ni mutual exclusive na pesa za Escrow.
Kutopatikana kwa pesa za uswis hakujustify Zitto kutopigania pesa nyingine za umma.

Kama hakupata za Uswisi je akifnikiwa kupata za escrow si ni jambo la heri hilo?. Mchambuzi na wenzie ambao ni Negative wanaangalia GLASI ya ishu hii kama HALF EMPTY, badala ya HALF FULL
 
nadhani hujamsoma mchambuzi vizuri, hebu rudia mabandiko yake. Yeye anaona nongwa zitto kukomaa na ishu hii ya escrow eti kwamba hana integrity
Nimemsoma sana na kimsingi ameeleweka amehoji Integrity ya Zitto kwa kuweka na matukio ya kisiasa na Pia kulingana na Majibu yake Juu ya tuhuma zilizoelekezwa kwake.
 
Last edited by a moderator:
ishu ya pesa za uswisi ni mutual exclusive na pesa za Escrow.
Kutopatikana kwa pesa za uswis hakujustify Zitto kutopigania pesa nyingine za umma.

Kama hakupata za Uswisi je akifnikiwa kupata za escrow si ni jambo la heri hilo?. Mchambuzi na wenzie ambao ni Negative wanaangalia GLASI ya ishu hii kama HALF EMPTY, badala ya HALF FULL

Mchambuzi na nguruvi wamejaribu kuweka kumbukumbu sawa katika kuzipa nguvu hoja zao kwa Zitto ukizitizama hoja zao kwa Juu juu unaweza ukadhani wana chuki ama wanatetea Ufisadi huo.

Watanzania mara nyingi tunashindwa katika mambo mengi kwa kuwa tumekuwa na fkra za kishabiki bila tafakuri za kina na hicho ndicho kinafanya watu wakejeli nakuwatukana wenye hoja zinazohitaji Majibu.
 
Last edited by a moderator:
Nilimwambia mchambuzi,ila leo hajatoa mbadala,yeye baada ya kujadili hoja ya escrow,anajadili kampuni ya zito,
@Adharus hoja iliyopo mezani na ambyo imewekwa na Zitto Mwenyewe katika kujibu baadhi ya tuhuma dhidi yake ndio Msingi wa hoja za akina Nguruvi3 na Mchambuzi,

Swala la mbadala sio sehemu ya hoja iliyopo mezani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,
Hatupaswi kukaa tukisubiri "muda ufike"

Tuanze kwanza kukataa Zitto asiubebe mjadala huu. Kwa sababu amekosa integrity.

Kwa sababu hana record nzuri za kufuatilia jambo mpaka mwisho ( uswiss) muda haujafika mpaka sasa.

Kwa sababu ameonekana ana maslahi binafsi katika hili. (Ushahidi wa kuomba M6 kutoka IPTL)

Kwakuwa watu tunamtilia shaka, tunaomba akae pembeni. Kwa nini Zitto tu? Wengine hawawezi?

Atulie mpiga dili. Tumemstukia.

Tuambie nani ana huwezo wa kufuatilia jambo mpaka mwisho tumkabizi(maana huko aliko hajui kama tunapigania fedha zetu), yule To local kila anachoanzisha kinafikia mwisho,alimkataa JK,wakatoka bungeni mpaka leo,CDM hawajarudi bungeni,walianzisha opereshen sangara,nazani ilifika mwisho,m4c,chadema msingi,na sasa delete ccm
 
Back
Top Bottom