Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Halafu ndiyo mnajidanganya mtaitoa madarakani CCM.

CC: Waberoya


Ritz inauma sana, hawa ndio wazalendo!! madawa hamna hospitali...

huwa nawaeleza kil siku, huyu zitto mnayemsema fisadi kila siku anaibua madudu akiwa PAC na anayaanika! mchafu gani so confident kama hivi??

eti anaanzisha vitu hamalizi....sasa nyie wengine mnamsaidia vipi? wajibu wa mamlaka zingine ni nini? eti ataje majina ya walioweka hela uswis? linahitaji akili gani kujua ziko huko...na tuungane pamoja kupigania hili....mtu yuko kwenye keyboard eti ataje...halafu sijui akazichukue

tumelaaniwa, kwa mwendo huu wa "ukimchukia mtu...chukia na kila kitu chake anachofanya hata kama cha kuokoa uhai wa ndugu zako"
 
Last edited by a moderator:
Huyu Zitto ni mnafiki mkubwa na fisadi wa kupuuzwa tu.Unachokieleza hapa ni kutaka kujiona wewe ni bora tu.Yaleyale ya utukufu binafsi.

Kwa vitendo ulivyofanya na unavyoendelea kuvifanya nyuma ya pazia dhidi ya watu wengine kamwe siwezi kukuamini kwa lolote.HUAMINIKI TENA.

Nilikuona mtu wa hovyo ulivyowatukana UKAWA kwamba ni wachumia tumbo.Kwako wewe kwa unafiki wako CCM siyo wachumia tumbo ila UKAWA.

Shame upon you!
 
Last edited by a moderator:
Kinachokugharimu kaka ni kumiliki agenda zai kitaifa kua zako binafs.pamoja na ukw
eli kwamba zina faida kwa taifa lakini wew huwaza zaidi sifa utakazopata wew binafs..hii kitu itakukost sana kwenye siasa.....
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa !

Zitto anashika nafasi ya kwanza katika list ya wanasiasa ambao nimewapuuza hapa Tanzania. Hana maana kabisa huyu dogo !


Huyu Zitto ni mnafiki mkubwa na fisadi wa kupuuzwa tu.Unachokieleza hapa ni kutaka kujiona wewe ni bora tu.Yaleyale ya utukufu binafsi.

Kwa vitendo ulivyofanya na unavyoendelea kuvifanya nyuma ya pazia dhidi ya watu wengine kamwe siwezi kukuamini kwa lolote.HUAMINIKI TENA.

Nilikuona mtu wa hovyo ulivyowatukana UKAWA kwamba ni wachumia tumbo.Kwako wewe kwa unafiki wako CCM siyo wachumia tumbo ila UKAWA.

Shame upon you!
 
Nimependa kauli aliyomaliza nayo "watanzania sio mabwege".
 
Mkuu umejishusha sana, na ndio mana una m copy Nguruvi

imefikia muda huna akili zako, ila unashikiwa na akina Nguruvi ambao wanarukaruka tu na hoja za kujikomba

kumbe unakuwa mshabiki wa watu humu?? na sio philosophy za watu?

Yet unataka mabadiliko??

Hoja iko mezani take it positive jadili kama mzalendo kweli, kuwa ulikuwa unampenda zito na leo unamchukia kana kwamba una una ushahidi na eti anajisafisha ni kuishiwa hoja na haukupaswa kusoma; kubali kuwa umechemka na Mr. Waberoya hatakuacha upite bila kuelezwa kuwa umechemka!!

I thought uko tofauti na akina Mbowe, kumbe hata wewe walikupata??

looser!! kumbuka hicho ni kidonge sina muda wa kujibishana na mgonjwa, meza au tema mimi simo

Great thinker wa Jf huyo. Yaani chuki humuwehusha kwakweli mwanadamu.
 
Mkuu Simiyu Yetu hakuna kazi ngumu katika medani ya siasa za Tanzania kama kujaribu kumshusha,kumchafua,kumsingizia au kujaribu kumuiga mwanasiasa Zitto Zuber Kabwe.Wananchi wamemshiba unapoteza nguvu zako bure .Ninakushauri kiroho safi.ACHA KABISA

Mkuu hata kina mh Mbowe waliposhindwa kumshusha wameamua kumfukuza kimagumashi.
 
Last edited by a moderator:
Unapoteza muda wako, Zitto sio level yako na ata alipoanza siasa sio wewe uliyempandisha na vivyovivyo huna uwezo wa kumshusha, kwani umechaguliwa lini kuwa msemaji wa vijana wa Watanzania?hivi si wewe uliyeshindwa ata kuwashawishi wana Kinondoini ukaangukia pua?sasa kama uliwashindwa hao ndio utaweza leo kuwashawishi Watanzania kuhusu Zitto?endelea na chuki zenu sie tunaendelea na taifa letu.

Nadhani saizi unahangaika kupalilia kwa Mbowe, endelea kutumika tu, wakati wewe unatumika na kusubiri kula kwa fadhira vijan wenzako wanapigana wenyewe kutengeneza historia zao za kisiasa, na kwa hili mtabaki kuandika tu jf.

Hamuwezi kuongea hadharani maana mtapigwa mawe kwani kwenye hili umma wa wazalendo wa Tanzania upo na PAC inayoongozwa na Zitto.

Umetumia busara nying sana mkuu wangu.
 
Mungu akutangulie daima . Hata kama watu watapika majanga Juu yako . Kwa msaada wa Mungu utashinda maadam unapigania HAKI na UKWELI .
Ninajua wa TZ wengi wanatabia ya kuamini kila kitu bila kufikiri!
Mfano :- Zito ni mwanachama wa Siri wa CCM anaevuruga CDM! Sasa ungekua wa CCM ungefanya haya yote yanayoelekea kupoteza heshima ya serekali na CCM?
Kazi ya UKOMBOZI ina upinzani kutoka kwa ADUI lkn pia KWA WALE WANAOKOMBOLEWA!
Mungu awalinde daima na msivunjike Moyo.
Amina.
 
Mungu akutangulie daima . Hata kama watu watapika majanga Juu yako . Kwa msaada wa Mungu utashinda maadam unapigania HAKI na UKWELI .
Ninajua wa TZ wengi wanatabia ya kuamini kila kitu bila kufikiri!
Mfano :- Zito ni mwanachama wa Siri wa CCM anaevuruga CDM! Sasa ungekua wa CCM ungefanya haya yote yanayoelekea kupoteza heshima ya serekali na CCM?
Kazi ya UKOMBOZI ina upinzani kutoka kwa ADUI lkn pia KWA WALE WANAOKOMBOLEWA!
Mungu awalinde daima na msivunjike Moyo.
Amina.

Aamin.
 
Zitto kaweka fact gani hapa? Nisaidie kuona ndugu.

tulia kijana subiri ripoti itoke ndio uje na hoja zako uchwara hapa! na ninakuhakikishia pindi ripoti itakapotoka utakua dekio la Maji uliomwaga mwenyewe hapa!
 
Sasa kwa mfano hii post yake, ina substance gani?

mkuu kwa Hii comment yako kuna moja kati ya hay a mahili utakua unamiss,

la kwanza nahisi hujui Maana ya subsbstance na ndio maana imekua tabu kwa upande wako kuona na kutambua substance zilizomo kwenye majibu ya zzk

la pili, ulijiandaa na substance zako kicwhani mwako na ulikua na matarajio kua lazima ungezikuta hizo ulipozikosa zile unazozifahaamu unaishia kulaumu tu Oooh majibu hayana substance, poor you!
 
Ana nunua kesi...ili aizime. Rejea kesi ambazo amewahi kushiriki kikamilifu....nini kilitokea kwenye kesi hizo(Ela zimefichwa uswizi,inflated gas contracts).

Hapa chakufanya...ni kutumia hizi baadhi ya taarifa anazozitoa tuzifanyie kazi...kwa ajili ya kuwashughulikia wahusika ama kwa njia rasimi ama zisizo rasimi. Huyu asipewe nafasi ya kununua suala hili.

nashukuru mkuu kwa kumpinga zzk lakini hukuacha kile kidogo anachofanya chenye manufaa kwenu!
 
Mkuu hata kina mh Mbowe waliposhindwa kumshusha wameamua kumfukuza kimagumashi.
Mkuu chamvinga ukweli utabaki kuwa ukweli kama zitto ni mwizi hatuwezi kuacha kusema ukweli eti kisa tu alishawahi kuwa na jina watu kibao huwa wanakuwa na majina wanabweteka then wanakuwa wajinga kama hatua aliyofikia zitto amekuwa mla rushwa wa ajabu.
 
mkuu chamvinga ukweli utabaki kuwa ukweli kama zitto ni mwizi hatuwezi kuacha kusema ukweli eti kisa tu alishawahi kuwa na jina watu kibao huwa wanakuwa na majina wanabweteka then wanakuwa wajinga kama hatua aliyofikia zitto amekuwa mla rushwa wa ajabu.


weka ushahidi mkuu Simiyu Yetu otherwise utakua muongo kama waongo wengine tu.
 
Last edited by a moderator:
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.


Mkuu Simiyu Yetu..Kwanza Kabisa Maandishi yako yanameseji nzito sana ndani yake nisingependa kuongeza wala kupunguza neno ila ni seme tu Muongo au Mkweli tamati yake ni Muda ....... sitaki kuwa Hakimu ila Kusudio la Mungu likitimia tutaona Mengi....:der:
 
Kwa utamaduni wa Viongozi wa Serikali ya Tanzania, tutasikia waziri fulani kajiuzulu ndio imetoka. kinacho onekana hapa Escrow A/C ni pipeline ya baadhi ya watawala kufanikisha mambo yao. Nimependa kufahamu kwako Zitto utachukua hatua ngani pale swala hili NYETI litakapo ishia kama vile la EPA baadhi ya wahusika wameachiwa huru bila hata kurudisha SENT?????????????? AU NI:yell:

swali zuri sana mkuu!
kwanza ni wazi unaonyesha unatambua na kukubali juhudi na jitihada zinazofanywa na mzalendo zzk.

kuhusu swali lako ni kukumbushe tu kitu kimoja watanzania tutakua tunafanya dhambi kubwa na takatifu sana kama majukumu mazito kama hayo tutayaacha kwa mtu mmoja tu! mtu ambae cheo na dhamana ya cheo chake havina nguvu ya kutosha kufanya kila kitu, habari ya ufisadi si ya kumwachia mtu mmoja mkuu

lingine mkuu lazima ujue kwamba zzk anafanya lile lililo ndani ya uwezo wake mengine anawaachia wengine wenye mamlaka nayo!
 
Ni jambo la kijinga kabisa baadhi ya mafisadi wanaojiita Upinzani kuungana na mafisadi kutunga tuhuma

Juzi nilisema tuhuma zinazohatarisha hadi diplomasia yetu na Kenya na Uingereza ni za kijinga sana sana

Tumeanzisha Kampeni na tumeionya IMF ikae mbali iachane na kuulea ufisadi wa Serikali ya Tanzania

"IPTL-Bring Back Our Money"

Yupo katibu Mkuu wa wizara moja kazi yake ni kufanya spinning na kutumia magazeti ya serikali kupotosha kuhusu ufisadi wa ESCROW

Nawapongeza wabunge wote vijana kwa kazi nzuri wiki iliyopita

Kila mtu amtumie mbunge wake ujumbe atoe sapoti bungeni kuhusu kashfa hii.

Nimeziona nyaraka zote ,ni aibu sana sana

Mkuu Beni ni tumaini letu muda utakapo jiri utashare nasisi pia hizo nyaraka ili tupate ukweli.
 
Good question?

mara ya mwisho kumuona zitto amechukua hatua zaidi baada ya wabunge wa ccm kutetea ufisadi bungeni ni kwenye issue ya mkataba wa buzwagi.

Alipanda chopa na wenzake akakimbilia kwa wananchi

Siku hizi hana ujasiri wa kukimbilia kwa wananchi, sana sana anakwenda german kumalizia phd yake which is better still ama sivyo huenda facebook.

Ngoja tuone hili litaishaje,sababu uwezekano wa hiyo report kwenda bungeni mpaka sasa ni mdogo sana

lazima hujue na upime na nyakati.
wakati ule alikua na back up ya chama Ku push ajenda ile na ziliwaweka vizuri wote,zzk kwa upande mmoja na chama kwa upande mwingine!

hivi umewahi kujiuliza scandal hii ya escrow ingekua na mwangwi kiasi gani kama kila chama cha upinzani(ukawa) kingejitoa kulipiga kelele!?

kwenye hili naona wawili tu! kafulila na zzk ndio wanaopambana hasa! wangine ni wasikilizaji tu. kama lema & the like hatuwasikii kwenye hili kwa eti kwa sababu wanaogopa kumpa credit za kisiasa zzk na kuacha masrahi mapana ya waninchi
 
Back
Top Bottom