Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Hachomoki matunguli yameshafeli. Maza kasepa nayo. Hivyo panya wataendelea kuishi salama salimini

Ana hali mbaya sana. Wanaanda usaliti ndani ya chama kwa kujiona wao eti wasomi. Pyuuuu.

Sasa kwa hili tunamjua Kafulila na tupo nyuma yake. Siyo huyo mpiga dili. Tumemstukia.

Amuachie Kafulila alielianzisha. Yeye na sarakasi za fedha za uswiss mbona hakuingiliwa?

Unamwamini Kafulila?
 
Unamwamini Kafulila?

Yeah! Namuamini kuliko huyo mpiga dili.

Tunaimani na Kafulila.

Kwa nini Zitto kajiingiza kwenye hili, kama siyo kutaka kupiga dili?
Ampishe Kafulila amalizie hii ngwe.
 
Subirini jumatano moto uwake

Kwa sababu limeingiliwa na wapiga dili, upo uwezekano wa kupindishwa as longer inamuhusu mzee wa wapigwe tu.

Nchi Wahisani wanataka kuiona hii report kama nasi tunavyoisubiri.

Hapa kuna uchakachuaji
 
Yeah! Namuamini kuliko huyo mpiga dili.

Tunaimani na Kafulila.

Kwa nini Zitto kajiingiza kwenye hili, kama siyo kutaka kupiga dili?
Ampishe Kafulila amalizie hii ngwe.

Kafulila ni Zitto na Zitto ni Kafulila. Usizubaishwe na ukswa
 
Hii nchi watu wake bado tumelala sana,yaani tumekuwa ni watu wa kupinduliwa kama chapati,Zitto usiogope kitu tunaelewa kinchoendelea lakini hili lisikukatishe tamaa,nchi hii inawahitaji wazalendo wachache kama wewe na wenzako,hakika usirudi nyuma,mbele daima
 
Wakati UKAWA wanagawana vyeo Zitto anapigania mali za UMMA
 
Zitto usikatishwe tamaa na wanaokupinga, wengi hawana hoja isipokuwa chuki tu, go zitto ttupo nyuma yako katika hili
 
Kwa sababu limeingiliwa na wapiga dili, upo uwezekano wa kupindishwa as longer inamuhusu mzee wa wapigwe tu.

Nchi Wahisani wanataka kuiona hii report kama nasi tunavyoisubiri.

Hapa kuna uchakachuaji

Viongozi wakuu wawili wa vyama vya upinzani wamelipwa toka akaunti ya IPTL tawi la Mkombozi.Hivi chama kikuu cha upinzani ni chama gani?
 
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.

Sijui kama mimi sijaelewa au sikuzingatia nilichokisoma LAKINI sijaona sehemu ZITTO aliyosema kuwa SHELL haifanyi biashara nadhani siko makini katika usomaji wangu
 
Viongozi wakuu wawili wa vyama vya upinzani wamelipwa toka akaunti ya IPTL tawi la Mkombozi.Hivi chama kikuu cha upinzani ni chama gani?

Mbona unajizungisha sana mkuu.

Pesa kapewa Zitto na ushahidi umewekwa humu.

Zitto kala hela under ACT
 
Ndugu yangu Zitto utapata shida sana. Huwezi kupigana na CCM ukiwakwepa wapinzani, jipambanue. Jeshi la mtu mmoja sijaona kama utashinda. Unaweza ukawa na malengo mazuri tu lakini unapokuwa unapiga vita ufisadi kwa kushirikiana na CCM hapo hautashinda maana wengi wao wana maslahi na ufujaji wa pesa za nchi, watajifanya kukuunga mkono halafu mwisho wanakutosa. Kaa na upinzani mshirikiane kushinda hii vita
 
Last edited by a moderator:
Story za zitto some time zinakela sana zito hawezi kujisafisha hata afanye nini amechafuka kwa kiasi kikubwa sana hafai kabisa anakula rushwa sana pia mnafiki na msaliti.

Kama anakula rushwa kwann msimpeleke mahakamani
 
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.

we jamaa sijui unaharaka gani hebu soma vizuri huo waraka utaelewa....kwani ni wapi katika andiko hilo hapo juu amesema kampuni ya SHELL haifanyi biashara?? soma tena kwa umakini sio kuendelkeza chuki binafsi dhidi ya mtu
 
Harbinder Singh Seth aliiangusha Serikali ya KANU nchini Kenya, sasa anachotaka kukifanya kinaweza kuiangusha Serikali ya CCM wakiendelea kumkumbatia. Watanzania sio mabwege!

Zitto Kabwe
Mwenyekiti PAC
Kwa hiyo yeye Zitto kama mpinzani anaamini CCM itaangushwa na huyo muhindi na siyo vinginevyo!!?? Hapa ameonyesha ni jinsi gani anapigania maslahi ya CCM badala ya nchi!!
 
Yeah! Namuamini kuliko huyo mpiga dili.

Tunaimani na Kafulila.

Kwa nini Zitto kajiingiza kwenye hili, kama siyo kutaka kupiga dili?
Ampishe Kafulila amalizie hii ngwe.

acha upambafu wewe
 
lazima hujue na upime na nyakati.
wakati ule alikua na back up ya chama Ku push ajenda ile na ziliwaweka vizuri wote,zzk kwa upande mmoja na chama kwa upande mwingine!

hivi umewahi kujiuliza scandal hii ya escrow ingekua na mwangwi kiasi gani kama kila chama cha upinzani(ukawa) kingejitoa kulipiga kelele!?

kwenye hili naona wawili tu! kafulila na zzk ndio wanaopambana hasa! wangine ni wasikilizaji tu. kama lema & the like hatuwasikii kwenye hili kwa eti kwa sababu wanaogopa kumpa credit za kisiasa zzk na kuacha masrahi mapana ya waninchi

lema mwehu usimfananishe na watu wenye akili zao,mtu wanam0713 halafi unamfananisha na zitto?
 
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.
Mkuu unaweza kuwa na point za maana kabisa lakini usipotaja kifungu kwa maana ya tuhuma namba ngapi ambapo yeye anajibu hiyo unaweza kuonekana kituko na hivyo kufanya point zako zionekane "unyambilisi". Nimerudia mara tatu hakuna sehemu anaposema kwamba SHELL haifanyi biashara!
 
Sinufaiki na sipendi fitina. Haki ipewe nafasi ya kuonekana kutendeka...CAG na PCCB wamepewa kazi ripoti bado lakini tunawaona walewale walioibua hoja hii wakikomaa kushinikiza kama kwamba kuna ukweli ndani yake....Mikataba inalindwa na sheria na makubaliano baina ya pande mbili.. Inapotokea kamati ya bunge badala ya kupeleka maombi kwa Mwenye bunge ambaye ni Spika na spika naye awasiliane na waziri husika lakini kamati inawatisha wakuu wa vyombo vya umma bila sababu mahsusi..Vitisho hivi mimi navitafsiri kama njia mojawapo ya kushinikiza rushwa...badala ya kupiga vita rushwa. Kwa nini kuvunja kanuni na kudai mikataba kwa watu ambao hawana mamlaka ya kuitoa? kwa nini wasiidai bungeni kwa waziri mhusika????Tafakari
Kaka nakuona kama nawe ni mnufaika wa hyo mikataba siri ya ges na mafuta.
Hongera sana mzalendo zaid ya zitto
 
Back
Top Bottom