- You know, I dont get my super friend and brother Zitto Kabwe. Mara leo unakiunga mkono CCM, mara anaishambulia. I mean I dont get unless someone helps me. You cant eat from two enemies. Either you are with us or against us.
-Ha! ha! ha! ha! ha! ha! Watanzania, msidanganyike. Hizi kujitetea na kujaribu kujisafisha kwa huyu bwana. Kuna jambo, na ni kwa nini atumie nguvu nyingi kabla ya report ya CAG kutolewa? Jiulize Mnakumbuka kuna viongozi wa upinzania wametajwa? Tuone Zitto atachomokaje . Kumbuka Albert msando alipokea fedha kwa niamba ya .? Ushahidi hupo
- Sam Sholei alikuwa Managing Director wa Mwananchi Communication. Baada ya kugundulika kwamba permit yake kuisha, alilazimika kurudi kwao. Zitto Kabwe aliingia kati na kupiga kelele sana, akimtetea Mr. Sholei kwa nguvu zake zote. Je ni kwa nini Zitto alifanya hivyo? Ni kwa sababu, Zitto alipewa fedha nyingi sana na Mwanamke mmoja anayeitwa Gladys Sholei ambaye ni mke wa Sam. Zitto alipewa offer ya kwenda vacation kwenye moja ya visiwa ndani ya bahari ya Indi.
- My super friend Zitto leo anaishambulia CCM sana tu akitafuta attention, kana kwamba amesahau fadhila za CCM kwake. You know, mara nyingi Mbwa kamwe amngati anayemlisha. Zitto you know historia yako ndani ya CCM ni ndefu. Ulipotaka uwaziri wa nishati na madini tena kwa kulazimisha unadhani ni vitu ambavyo tumeshavisahau? ACT-Inapumua kutokana na fadhila za CCM sasa kelele za nini kutuma watu kukusafisha wakati unajua umechafuka pasipo kusafishika. Sasa nakubaliana ni kwa nini CHADEMA walikufukuza, sababu Kubwa UNAFIKI.