Bahalulu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 106
- 23
Kuna mambo Zitto ameyaongelea humu ndani, hakupaswa kuwa msemaji wa taasisi hizo au msemaji wa mtu ambaye amehusishwa ila ifahamike kwamba asingeweza kutoa majibu juu ya kashfa nzito zenye nia na malengo ya kumkatisha tamaa pasipo yeye kujibu hoja katika mfumo huo.. ukiona povu linakutoka kunywa maji then rudi jamvini.