Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Fuatilia rekodi yangu humu, nilikuwa shabiki mkubwa sana wa Zitto, na sababu zangu kufanya hivyo Zipo Katika nyuzi ambazo ukitaka Nitakupa link usome kisha urudi kwa hoja badala ya maneno ya chuki chuki chuki.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sasa kama ulikuwa shabiki,mnafukuzia demu mmoja,umezaliwa pamoja na Zitto inatuhusu nini? hapa watanzania na wapenda haki wanataka kujua hatma ya mabillion yaliyofisadiwa.
 
Nirudie Tena, zitto wa buzwagi alikuwa mzalendo, zitto wa escrow ni zitto anayejisafisha.

Cc Nguruvi3

Sent from my iPhone using JamiiForums

Huu ndio ukweli......mimi nimesema namuunga Zitto mkono kwenye hili na nasubiri mwisho wa hili ili turudi hapa kusoma hukumu vizuri......."lengo" ni zuri.....tusubiri sarakati zake sasa.....
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama ulikuwa shabiki,mnafukuzia demu mmoja,umezaliwa pamoja na Zitto inatuhusu nini? hapa watanzania na wapenda haki wanataka kujua hatma ya mabillion yaliyofisadiwa.

Msamehe bure Mkuu...labda ni mambo ya weekend leo hayupo fresh...anamaliziamalizia hangover..,

Mtu yeyote mwenye kuipenda nchi yake lazima achukie wizi huu, sasa kwenye hili ni either uungane na wanaopinga huu wizi au uungane na wezi kuzimisha hii hoja, ndio maana ni muhimu watu wajitafakari kwa ajili ya Mama Tanzania.

Chuki binafsi hazitalisaidia taifa hili.
 
Binafsi nitafurahi kama jambo hili la Escrow litashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi.

Kinachokera hivi sasa ni kutafuta umaarufu wa kisiasa. Kwamba baada ya Zitto kugaragazwa vibaya kisiasa na Chadema kiasi cha kuishi ubungeni kwa msaada wa mahakama na kupoteza mashabiki wengi aliokuwa nao, sasa anataka kuwa-retain waliobaki na kupata popularity upya kupitia matukio.

Wakati Zitto ana deni letu la majina ya walioficha fedha uswisi, anakuja na mbwembwe za kutishiwa maisha bila ushahidi.

Fedha za uswis sisi hatukumtuma aziseme. Ni yeye mwenyewe aliyesema anajua majina ya watu walioficha hizo fedha huko. Akafanya safari mbili tatu akapotea kimyaa lakini ilikuwa ni baada ya mbwembwe kama hizi. Maana ilikuwa kila siku ni Zitto na fedha za uswisi. Ikaja tena hekaya kama ya leo kuwa kutokana na fedha ya uswis kubumbuliwa na yeye eti wanataka kumuua. Fedha za uswis hazijaja na majina hatujayapata na kwenye tume ya Werema Zitto kakanusha kuyajua majina.

Hili la Escrow ni dana dana nyingine ya 'nitoke vipi' Ni mwendelezo ule ule wa Zitto kutaka kujiinua tena kwa visibgizio na mbinu za kizamani tena bila ushahidi.
Asubihi leo, zimepandishwa threads tatu za kumsifia Zitto toka kwa mtu mmoja. Thread zenyewe ukiziona ni kama takataka tu lakini kwakuwa ni mkakati maalum zikaanzishwa. Mara eti Zitto ni Mbunge bora wa November. Wapi walianza kutoa hizo tuzo? Kama Zitto ni mbunge bora wa November, wa February ni nani? Mbunge bora kwa Parameters zipi? Zimekubaliwa na nani hizo parameters hadi tukubali Zitto ni mbunge bora wa November? Wenye akili tulipoona thread zinazomsifia Zitto zimeanzishwa tukajua tu kuna kitu kitaibuliwa.

Sasa Zitto amekuja na hadithi njoo utamu kolea. Sisi hatutaki kujua nani katishiwa nani hajatishiwa. Tunataka fedha za Escrow zirudi kwa watanzania wanaokosa dawa, wanaochangishwa michango ya kishenzi ilhali fedha ipo mifukoni mwa wajanja. Hii move pamoja na Kafulila Mnyika aliwahi kuishikia bango. Sasa PAC mnayo, fanyeni kazi zenu mje na matokeo acheni longolongo kama za fedha za uswis. Na mkome kutaka kupata umaarufu binafsi kwenye ishu yenye national interest.

Maelezo marefu yenye chuki binafsi, wkt huo huo ukiitaji fedha zirudi! Hiyo kauli mkome inafaa tu kwa familia yako haijawahi kutolewa kwa mtu usie na mahusiano kindugu. Huu ni wakati wa wewe kusimama na kudai fedha zetu km inavyoonesha hakuna mtu mwingine mwenye ubavu wa kuzifuatilia
 
Zitto wa Buzwagi sio Zitto wa Escrow- Mchambuzi
 
Last edited by a moderator:
Zitto, Kafulila na Filikunjombe wanastahili pongezi sana. Ila mimi hofu yangu ni kwa wao Kutangaziwa dau wasiloweza kukataa. Nina matumaini na jinsi wanavyolishughulikia hili Jambo, Ila I reserve my comments mpaka nione conclusion yake, Je watawavusha Watanzania katika mto huu wa uliojaa nyangumi wa Mafisadi au Wataogelea nao na kisha wakifika katikati wawaaache, huku wakisema "Tumewabebeni vya kutosha, sasa sehemu iliyobaki jibebeni wenyewe!"
 
Watanzania tunaelewa mpaka yuambiwe na wazungu,ile mind set ua papai la kizungu?kuku wa kizungu,Mapera ya kizungu ndiyo imsyolitafuna taifa hili.

Fedha ya Rada ililiwa kihuni wakati wa utawala wa Mkapa,Lipumba akasema saana akaonekana anatafuta umaarufu.

Baadae waliposema wazingu kuwa tunajiinia wenyewe hivyo tukachulue chenji tukaenda huku tukiwa tunajisifu kuwa pesa zimeridi.

Leo Mabillioni yameibiwa ,Zitto na Kafulila wanasimamia maslahi ya Umma linakuja jitu linaleta ushabiki wa vyama?

Hivi kuna vyama ambavyo vinashangilia ufisadi?

Kwa wazalendo wote tuungane ma yeyote anaedai Fedha hizi zirejeshwe na kila aliehusika ashughulikiwe.

Hawa wspiga debe waajizi ni sehemu ya wanaonufaika na wizi.

Wezi tuwatokomeze bila kuangalia vyama vyao

Hii ndio tofauti ya siasa za kweli na Presure group.
Zitto na kafulila na yeyote mwenye nia njema fanyeni kazi ya kuitumikia nchi,watanzania wanyonge tupo pamoja nanyi,hata wakiwafukiza Bungeni bado haki itasimama
Hongera Mzalendo wa Kweli Zitto Kabwe
 
Zitto sijui anafaa kupewa adhabu gani mtu anakula rushwa halafu anaanza kujikosha sijui alifundishwa na nani haya mambo ya kihuni kiasi hiki.

Mkuu mjepo weka ushahidi wa Zitto kula rushwa kila mtu aone! Bavicha mlitamani ili swala libebwe na Mnyika!
 
Last edited by a moderator:
Naomba ruhusa yako Mh zitto niweke ushahidi mbalimbali wa tuhuma zako tunayajua mengi sana vipi kwanza hiyo kesi imeisha au hujafungua kabisa naona watuhumiwa wapo nje ni kwa dhamana au

Fedha alizokuwa anakusainia wakili wako anakuletea ushahidi upo???sitaki nikuvue nguo ila Mimi nayajua mengi sana yako na kama vipi angalia Simu yako namba inayoishia 111 na 18 ndo zangu hunitambui tu...

Hebu tuache kuwaibishana cha msingi jiuzulu mapema kabla ya kukuripua yako. zitto bwana kwa nini unapenda shortcut?????
 
this is getting interesting...
where my pop corn at..
 
Naomba ruhusa yako Mh zitto niweke ushahidi mbalimbali wa tuhuma zako tunayajua mengi sana vipi kwanza hiyo kesi imeisha au hujafungua kabisa naona watuhumiwa wapo nje ni kwa dhamana au

Fedha alizokuwa anakusainia wakili wako anakuletea ushahidi upo???sitaki nikuvue nguo ila Mimi nayajua mengi sana yako na kama vipi angalia Simu yako namba inayoishia 111 na 18 ndo zangu hunitambui tu...

Hebu tuache kuwaibishana cha msingi jiuzulu mapema kabla ya kukuripua yako. zitto bwana kwa nini unapenda shortcut?????

braza weka huo ushahidi

otherwise u are just an empty bottle

let zitto save himself
 
Mungu aendelee kukulinda Zitto mzalendo wa kweli! Pamoja na wewe kubeba hii hoja ya kuliokoa taifa Bavicha wamechukia sana wanatamani ushindwe au upate aibu yeyote au ukutwe na mabaya!

Maana walitaka hii hoja ibebwe na Mnyika ndio wafurahi na waliposikia majina mawili ya viongozi wa upinzani wamekasirika sana!

Mungu aendelee kukulinda watanzania wanazidi kukuombea!
 
braza weka huo ushahidi

otherwise u are just an empty bottle

let zitto save himself
Mkuu kwani wewe ni zitto kaulizwa zitto mbona kiherehere wewe subiri alipuke aone watu ushahidi wanao siyo kuzuka mfano huu hajaukanusha hadi sasa.
 
Fuatilia rekodi yangu humu, nilikuwa shabiki mkubwa sana wa Zitto, na sababu zangu kufanya hivyo Zipo Katika nyuzi ambazo ukitaka Nitakupa link usome kisha urudi kwa hoja badala ya maneno ya chuki chuki chuki.

Nirudie Tena, zitto wa buzwagi alikuwa mzalendo, zitto wa escrow ni zitto anayejisafisha.

Cc Nguruvi3

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kuna tatizo lolote la mtu kujisafisha??

Maybe maybe maybe aliteleza somewhere in the prosess
But he didn't fall

Last time I checked zitto sio malaika

Asiye na dhambi ana awe wakwanza kurusha jiwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom