Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,425
Usidhani watu wote wapiga dili kama Zitto.
●Kama una muda fuatilia thread ambayo uongozi wa JF na members alihojiwa live.
●Angalia alichokuwa anakisema na sasa hivi anafanya nini?
Mwambie akuambie hela za ujerumani alikuwa anazipata vipi.
Ubunge wake wa kifisadi kasaidiwa na mahakama. Sasa anajifanya PAC.
Unazungumzia hela zipi ambazo kwa sasa hana hadi kumlazimisha kukopa mil.6 ...
We mbulula sio kama anajifanya bali Zitto ni mwenyekiti wa PAC upende usipende
Ajabu nyingine ni MaCCM kusaidiana na baadhi ya majinga mengine kuukandamiza uzalendo
Na mara hii ni either uko na mafisadi au wazalendo, kuwa katikati kama mtu mwenye mimba hatutaki...!
Ni either usimame na Zitto kudai pesa zetu zilizokwapuliwa au usimame na maCCM kutetea ufisadi, nothing more