Mh... maneno makali haya, cha kusikitisha zaidi ni yeye mwenyewe kwenda kuripoti kwa watu walewale wanaotaka kumkaribisha kwenye sherehe ya kafaraKaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao
At a glance CCM they may be planning this to confuse chadema. Politically CCM wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina Mbowe na Slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya Mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa Zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za Chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?
Unasema CCM huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa Zitto? wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha Mungu!
CCM iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na CDM ni threat kwao, politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini CCM ni system, ni mafia then is possible next victim might be YOU!
wa kumuua zitto ni zitto mwenyewe na madudu aliyojiingiza kwayo
huwezi ukawa mchawi halafu ukaja kupiga kelele ati wanataka kuniroga
Zitto, you have two options; either to come out clean or run away as fast as you can from your current personality and behaviour...
Unfortunately sikuonei huruma mdogo wangu zitto kwani huwezi uza utumbo usinuke
mkuu sidhani kama anyelaumiwa ni manumba.........Jamani, myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Manumba alielezea vizuri sana kuwa hizi habari anazisikia kwenye vyombo vya habari, lakini hakuna taarifa rasmi iliyofikishwa police. Akashauri kama kuna mtu mwenye taarifa, hata ikiwa ni Zito mwenyewe azifikishe police ili wao waweze kuzifanyia kazi, vinginevyo itakuwa vigumu kwa kurukia mambo. Na alisisitiza kuwa Zito si mtoto mdogo na anaamini kuwa ana akili timamu kwa hiyo kama kuna ukweli wa jambo hilo asingweza (Zito) kushindwa kutoa taarifa polisi.
Je, kwa hapo Manumbo ana kosa gani??????????????????????? Sikusikia tangu mwanzo, lakini inaelekea kuna mwaandishi wa habari alilianzisha suala hili la taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa Zito
Namsubiri omarilyas hapa aje kutupa shule... yawezekana kabisa zitto anasingiziwa
Haya NDIO MAWAZO YA WANA-CHADEMA. NA WAKO WENGI. HASA UKIZINGATIA WENGI WANATOKA KARIBU NA WATANI ZETU.
NAOMBA NIWAJILISHE TU KUWA ZITO ANATOKEA KULE SHOKA LILIKOUNGUA MPINI UKABAKI. UKIWEZA JARIBU!
ATAKUFA KWA AHADI YA MUNGU TUU!!
politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible,
haka ka jamaa kalinifanya niamini siasa at the beginning but as time goes kananichefua sana......kama vipi waka kill tu
ndio dawa ya mtu anayekuchefua eeh?
Kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao