The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao
at a glance ccm they may be planning this to confuse chadema. Politically ccm wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina mbowe na slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?
Unasema ccm huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa zitto? Wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! Ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha mungu!
Ccm iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na cdm ni threat kwao, politically yes it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini ccm ni system, ni mafia then is possible next victim might be you!
Dear wakimuua leo hii Zito, story za Dowans, radar,takukuru, hata katiba..,mahakama ya kadhi...., Tanzania-Iran affair......zitazikwa
who knows?
kwenye red, yeye alisema kile alichoambiwa na daktari, sasa wewe kama unapingana na vipimo basi unamatatizo.Watz hatuna desturi za kuuwana, kama ingekuwepo kuna viongozi kibao wameshamess-up wangekuwa wameshatolewa roho zao siku nyingi ndio iwe wewe zito??? madudu unayoyafanya hayana athari yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kujidhalilisha. majuzi hapa umeumwa tumbo la kawaida tuu unaanza kudai umewekewa sumu, nani akuuwe na kwa lipi hasa???hakuna anaekuwazia kukuuwa hata kidogo, acha propaganda bwana, umeshalikoroga unatafuta sehemu ya kujishikili, endelea na kina zoka na RA hakuna mwenye shuguli na wewe bwana.
Kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao
At a glance CCM they may be planning this to confuse chadema. Politically CCM wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina Mbowe na Slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya Mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa Zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za Chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?
Unasema CCM huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa Zitto? wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha Mungu!
CCM iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na CDM ni threat kwao, politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini CCM ni system, ni mafia then is possible next victim might be YOU!
kwenye red, yeye alisema kile alichoambiwa na daktari, sasa wewe kama unapingana na vipimo basi unamatatizo.
zito nikiongozi chadema mbona muda mrefu hatuone aandamane na viongozi wengine wa chadema? Kaka chacha wangwe alikuwa na migogoro na freeman akaishia kaburini kwa nini hili la zito tulidharau? lisimwalo lipo au li njiani linakuja. haya si mambo ya kupuuzwa hata kidogo. Lakini tunasubiria tu litokee halafu watajua shughuli yake kwani itakuwa pevu. Lets we wait and see.
Tatizo naloliona ni wengi kushindwa kuelewa tafsiri sahihi ya "food poisoning". Hata magazeti yalishindwa au kuamua kwa makusudi kutotoa tafsiri sahihi ya kilichosemwa na daktari. Lugha ikawa rahisi tu: "kawekewa sumu". "Food poisoning" hutokea katika mazingira mengi tu. Tunaokula kwenye tafrija mbalimbali au mahotelini tutaelewa kwamba wakati mwingine chakula kisipotunzwa au kushughulikiwa ipasavyo huleta hali hiyo. Si kuwekewa sumu tujuavyo ama sivyo daktari angeitaja rasmi sumu hiyo. Hata Zitto naye naona alielekea kuacha hali ieleweke kiutata hivyohivyo-labda kwa manufaa ya kisiasa.
kwenye red, yeye alisema kile alichoambiwa na daktari, sasa wewe kama unapingana na vipimo basi unamatatizo.
zito nikiongozi chadema mbona muda mrefu hatuone aandamane na viongozi wengine wa chadema? Kaka chacha wangwe alikuwa na migogoro na freeman akaishia kaburini kwa nini hili la zito tulidharau? lisimwalo lipo au li njiani linakuja. haya si mambo ya kupuuzwa hata kidogo. Lakini tunasubiria tu litokee halafu watajua shughuli yake kwani itakuwa pevu. Lets we wait and see.
Nakubaliana na Waberoya kwamba kama kuna mpango kama huo basi unapangwa na CCM. Ukiangalia circulation ya sms zinazohusu hayo zinatoka mtandao wa walewale waliosambaza sms za uchochezi wakati wa kampeni. Hawa watu wako tayari kufanya lolote wanalodhani litaidhofisha CHADEMA, na Zitto mwenyewe anaweza kujikuta akiwarahisishia kazi kwa kufikiri anao marafiki huko.
Wakubwa,
Jana kwenye taarifa ya habari TBC1 nikamsikia Kanumba akitamka kuhusu habari kwamba Zitto kutishiwa kuuawa, mimi sikubaliani kabisa kwamba hivi nani amuue zitto? kwa lipi hasa?
Binafsi naona watu wanataka kuzidi kumpandisha chati kwa sababu zao binafsi, Tanzania hatuna utamaduni wa kuuwana, walikuwapo viongozi waadilifu sana na hayakuwapata haya iweje leo wewe zitto watu wakutoe roho kwa lipi hasa?
Sababu imetangazwa si jambo la kubeza tena, tujadili tuone kweli hivi kuna njama za kumtoa roho au propadanda za kisiasa tu?
Sisi watanzania tuna matatizo yetu na wala hili za Zitto naona halina umuhimu kwa sasa haya magazeti yanalikuza tu bila sababu ya msingi,hebu tumalize hili la umeme na katiba yetu tafadhali.
Binafsi naona watu wanataka kuzidi kumpandisha chati kwa sababu zao binafsi, Tanzania hatuna utamaduni wa kuuwana, walikuwapo viongozi waadilifu sana na hayakuwapata haya iweje leo wewe zitto watu wakutoe roho kwa lipi hasa?
Tafadhali sana ELNIN0,
Edward Sokoine,
Imran Kombe,
Horace Kolimba,
Kigoma Malima,
Judge Mwaikusa,
Chacha Wangwe,
e.t.c