Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Hahahaha you wish....imechukua miaka,20,chadema kuwa chama kilichokomaa kama kilivyo...usitarajie,chama kilichoundwa,na wasaliti kwa ufadhili wa ccm kukishinda chadema kinachosimamia kanuni zakeKifupi Zitto ana moyo mkubwa sana kubakia Chadema hadi leo hii na sielewi kwa nini maana Dr.Slaa aliondoka CCM na akapata Umaarufu zaidi Chadema, historia imetufundisha mengi sana. Kama ningekuwa mimi nisingesubiri hata siku moja maana chama hiki kimekuwa club ya Mpira na sii chama cha Siasa tena. Ujinga mkubwa unaendelea na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu atakubali kupelekeshwa kiasi hiki..Najaribu kumwelewa Zitto, lakini sasa imefika mahala nadhani aijitoe mwenyewe na kujiunga rasmi ACT halafu mchezo uanze, sisi watazamaji tukanunue soda na Popcorn.