G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,591
- 36,004
Mwanasiasa maarufu nchini ndugu Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma mjini na kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo pamoja na waziri wa kilimo, mifugo, uvuvi na umwagiliaji ndugu Mwigulu Nchemba wamenasa kwenye mtego wa sakata la kashfa ya Lugimi, imefahamika. Kuna uhusika wao kwa namna moja ama nyingine.
Mchezo mchafu wa wanasiasa hao wa kubuni mbinu ya ugaidi uliomhusisha mbunge wa Bukoba mjini kupitia Chadema ndugu Wilfred Lwakatare ulitoa mbinyo kwa jeshi la polisi kuharakisha mchakato wa malipo ya Tshs bilioni 34 kwa kampuni ya Lugumi Enterprises kwa madai ya kukabiliana na vihashiria vya ugaidi vinavyojitokeza nchini. Kwamba jeshi la polisi lilitakiwa kuweka vifaa vya kisasa kwenye vituo vyake kwa dharura ili kukabiliana na ugaidi huo!
Zipo tetesi kuwa jamaa walivuta kitu kinono kutokana na hili..!
Dah kuna watu wana mipango hakika huwezi kushindana nao kwa hivihivi tu, cheki filamu ilivyosetiwa kutoka mbali! Kumbe ndo maana PAC iliyopita chini ya Zitto ililifunika hili. Kaji ipo apeche!!