Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Naunga mkono hoja 200%.
-ewe zitto ken*¥nge maji mkubwa wee tuachie chadema yetu bwana aaalah!
*wanadodoma tumepima na kuona kuwa kwa usaliti wako unafaa kuny¤*ngwa hadharani.
 
Umejikanyaga wee lakini mwishoe unasema kama ZITTO anataka kuendelea kuwa CDM atoe sababu. Hii tafsiri yake nini? ZITTO hamumuwezi

Yani hawa wote hawana pakushika na wamesahau walisema Zitto hawasumbui tena lakini ushahidi unaonesha anawasumbua.
 
Sidhani kama watu wanaoitakia heri CHADEMA watawaunga mkono,Zitto bado ana ushawishi,Zitto bado anafuatiliwa na kusikilizwa na sehemu kubwa ya Watanzania.Ni afadhali Zitto aamue kuondoka mwenyewe kwa mapenzi yake kuliko kuondoka kwa staili hii mnayoipendekeza maana atakapoamua kufa na wenzie Chama ndicho kitakachopoteza na siyo akina Mbowe wala Zitto.Zitto ana siri nyingi za Chama,mbaya na nzuri na atakapoamua kuzianika zile siri zenye madhira kwa Chama....Tusije kujikuta tunasema "it's too late...or we wish we couldn't treat him this way our party would have never been like this".

Zitto alishapuuzwa na watu wote wenye akili hana tena mvuto mbele ya Jamii,alidhani yeye ni maarufu kama ile story ya MWANAPUNDA ALIYEMBEBA YESU!
 
Hahahaha....Zitto yupi huyo anayeitesa CDM...?

Au unamuongelea Zitto huyu ambaye hana mvuto hata kwa watoto wadogo....Zitto huyu hata akiongea Bungeni anaonekana takataka mbele za watu...?

Kama hawatesi kinacho wafanya mjisumbue kumjadili ni nini? Si mlisema mlishamfukuza?
 
Yani hawa wote hawana pakushika na wamesahau walisema Zitto hawasumbui tena lakini ushahidi unaonesha anawasumbua.

Tusichokitaka sisi ni kile kitendo chake cha kujificha cdm huku akifanya kazi ya ccm! Aondoke akaitumikie vizuri ccm kupitia lile genge lake la act!
 
Mzimu wa Zitto bado unaitafuna CHADEMA kwa nguvu zote.
 
Last edited by a moderator:
Zitto Zuberi Kabwe aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini CHADEMA(sasa Mbunge wa Mahakama) nampa ‘‘grace period’’ ya wiki moja ya kufungaisha chochote alichobakisha katika ofisi yeyote ya CHADEMA(sijui kama vipo) na kuondoka. Upo CHADEMA ili iweje,hatukutaki!
Ulivyovimba kichwa ulidhani bila CHADEMA ungekuwa mwenyekiti wa PAC, ungekuwa mbunge wa Bunge la Katiba, ungejulikana kimataifa.
Tunazo sababu za kukulazimisha kuondoka CHADEMA kinguvu. Mbali na mikakati unayoifanya vichakani, lakini yapo haya ya wazi:-

1.Umehusishwa na njama za kutungua helkopta iliyotumiwa na katibu kipenzi chetu Dr.Slaa. Madiwani wa Shinyanga wamekuumbua. Hujakanusha ‘‘Silence means YES’’

2.Umehusishwa na mipango ya kubambikiza wanachama ugaidi. Kwa macho na masikio yangu nimekushuhudia Star TV ukiwa na Mwigulu Nchemba mkitangaza kuwa mna mkanda wa video ukionyesha vigogo wa CHADEMA wakipanga ugaidi. Nasema mkitangaza kwa kuwa yalipotamkwa haya na Mwigulu wewe ulikuwa pembeni yake, ukiwa kama Naibu Katibu Mkuu hukukanusha wala kuonyesha kukerwa na propaganda hizo zilizovuka mipaka. ‘‘Silence means YES’’

3.Katika mwendelezo wa kubambikiza kesi za Ugaidi ukaendeleza unafiki wako wakati Kamanda Lwakatare ‘‘Lwax’’ akiwa sero wewe ulikiandikia barua chama kwamba kijiweke mbali na kesi ya Lwakatare, bishaaa. Nikuulize wewe Msaliti Mkuu yupo wapi Lwakatare?

Kama hutaki kufungaisha virago tupe sababu za msingi kwa nini unaona ubaki kuwa mwana CHADEMA. Imebidi nifikishie ujumbe wangu kwa MM na ACT nzima
My Take:-Makamanda na wapenda mabadiliko wote niungeni mkono katika hili. Mods msifute, kama inawauma muiteni aje ajibu kwa nini tusimfurumushe

Akishindwa kufunga virago tutamfungia tumpelekee ACT aka Chama cha wasaliti.
 
Yaani huyu Jamaa ameshafutika kwenye medani za siasa,sielewi ni Kwanini mnampa promo kwa kumwanzishia thread zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Zito anawatesa sana chadema..ndo tatizo la mwenye akili mmoja anapojichanganya na vilaza wengi..
 
Zitto keshaondoka CHADEMA, hashiriki kazi yoyote ya kujenga CHADEMA, CHADEMA hawako bungeni kwa kundi la UKAWA, na yeye yuko nje ya bunge peke yake maana yeye hayuko UKAWA, Alipoenda Kigoma hakuenda na Bendera ya CHADEMA,
kinachombakiza CHADEMA ni kubomoa tu.
 
Ila alishasema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema!
 
aibu yenu, uchadema hatuna sis, ilawew mwandish lazima ni cdm, mboman huyu mnae muita gaid alikuwa mwema!
 
Zitto hayuko CHADEMA yuko mahakamani kusubiria kiinua mgongo cha ubunge.
 
Nyie wote mnaotokwa na povu wakati Zitto anajiunga chadema nyie mlikuwa bado wadogo.
Na wakati anaingia hakuna hata mmoja wenu nyie wahafidhina aliyemshawishi sasa ni ajabu kwako kupoteza muda eti unampa muda. Muulize lisu alivyogalagazwa mahakamani mpaka leo hana hamu
 
naunga mkono hoja mkuu!

ingekuwa ni chama kingine, kingemtegeshea silaha na risasi nyingi sana, halafu kingetuma vyombo vya ulinzi kumkamata na kumpeleka mahakamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom