Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,962
- 134,053
- Thread starter
- #101
Hata kama hana uwezo mmezidi sana mdomo kiasi kwamba sasa mnachosha. Ni sawa na mtu alolewa pombe anaongea hovyo usiku kucha.
Na nawaambieni kabisa kwamba Zitto akijiondoa rasmi Chadema na kuingia ACT, moto wa kisiasa utaripuka na utaona jinsi Chadema itakavyosambaratika maana sasa imefikia kuwa Chadema ina watu wake wanaoaminika - Chama cha Mpira, mnachosha sana hata kuwasikiliza!
Amefukuzwa ili tuone huo mlipuko na CDM ife,atoe hata kesho kama ye ni kichwa na kuilipua cdm anasubiri nini