Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Mleta mada ana mahaba mazito sana na Zitto
 
Khaa!! Mibavicha ni mijitu ya hovyo hovyo sana. Mara ZZK tumempuuza mara mnakuja na thread za ajabu ajabu tu. Ndiyo tatizo la kuwa na kundi kubwa la wajinga
 
Katiba ya cdm ni ukweli na uwazi na unapofanya vya siri vikigundulika tu nje!
 
Khaa!! Mibavicha ni mijitu ya hovyo hovyo sana. Mara ZZK tumempuuza mara mnakuja na thread za ajabu ajabu tu. Ndiyo tatizo la kuwa na kundi kubwa la wajinga

mtasema tu kumbe japo umetambua kuna kundi kubwa haya bwana yeru macho na masikio
 
Kifupi Zitto ana moyo mkubwa sana kubakia Chadema hadi leo hii na sielewi kwa nini maana Dr.Slaa aliondoka CCM na akapata Umaarufu zaidi Chadema, historia imetufundisha mengi sana. Kama ningekuwa mimi nisingesubiri hata siku moja maana chama hiki kimekuwa club ya Mpira na sii chama cha Siasa tena. Ujinga mkubwa unaendelea na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu atakubali kupelekeshwa kiasi hiki..Najaribu kumwelewa Zitto, lakini sasa imefika mahala nadhani aijitoe mwenyewe na kujiunga rasmi ACT halafu mchezo uanze, sisi watazamaji tukanunue soda na Popcorn.
 
Wakuu heshima mbele..chadema ni chama cha kisiasa kama vilivyo Ccm,cuf etc..toka kianzishwe kuna viongozi wengi tuu ambao walisaidia kujenga chama na walikuwa na influence kubwa sana ndani ya chama na kwa wafuasi wa chadema.walikuwepo na wakapita but chama bado kipo na kinazidi kukuwa.hivyo sidhani kama Zzk akiondoka chadema chama kitayumba.wananchi wanatafuta chama chenye sera bora na mikakati ita
kayo kuwa na manufaa kwa maendeleo ya watanzania na hawako kushabikia wanasiasa..hatuko kwenye ushabiki wa mpira wa miguu au kikapu..be blessed!
 
unaliwa akili yako na wachawi wewe! wewe ndo mwenye chadema! Punguani xana wewe
 
Bado anachangishafedha za kuwalipa wabunge sita (viti maalumu) na Mmoja wa kuchaguliwa aende nao ACT.

Makubaliano ni kuwalipa posho zote za vikao, mishahara ya kibunge na za kamati za bunge kisha wanakihama chama
mmojwapo wa wabunge ni yule aliyeachika kwenye familia ya kiongozi maarufu.
 
unaliwa akili yako na wachawi wewe! wewe ndo mwenye chadema! Punguani xana wewe

wewe ndio punguani,ungekuwa mzima usingeandika "xana",umeishia kutukana badala ya kujibu Zito anafanya nini CDM
 
Kifupi Zitto ana moyo mkubwa sana kubakia Chadema hadi leo hii na sielewi kwa nini maana Dr.Slaa aliondoka CCM na akapata Umaarufu zaidi Chadema, historia imetufundisha mengi sana. Kama ningekuwa mimi nisingesubiri hata siku moja maana chama hiki kimekuwa club ya Mpira na sii chama cha Siasa tena. Ujinga mkubwa unaendelea na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu atakubali kupelekeshwa kiasi hiki..Najaribu kumwelewa Zitto, lakini sasa imefika mahala nadhani aijitoe mwenyewe na kujiunga rasmi ACT halafu mchezo uanze, sisi watazamaji tukanunue soda na Popcorn.

Haya mambo kama huyajui ni bora ukajikalia kimya tu , zitto hana uwezo wa kushindana na cdm ,kama unabisha muulize wasira au zoka .
 
Ukiamka na pombe kichwani jitahidi kunywa maji mengi itakusaidia..we ni nani mpaka umpe wiki moja? ikiwa wanaume zako walishindwa kumfukuza kwenye vikao vya chama..Kweli hiki chama kimekosa msemaji kama kila mtu anaweza kuamka na kujisemea fulani nakupa wiki moja uwe umeondoka CDM..
Kweli time will tell
 
Wakuunge mkono kwa lipi! Gongo, viroba, rushwa, wizi wa ruthuku.. au? Nyie watu wa gaidi Mbowe na Slaa vichaa kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom