Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Hata hujui ulichokiandika,hebu fata trend unapokuwa unajibu hoja ya mtu!Hebu jisome tena halafu jiulize unatetea nini!Unafahamu alipo Zakaria Hans Pope?
Na uwezo wa kuwasha moto lakini umri umemtupa na vijana wana uwezo wa kuzima moto huo kwa kasi ya ajabu.
Ila bado ipo heshima kwa Zakaria.
Zitto hana hoja yoyote zaidi ya kutafuta kisa cha ndege mjanja alienasa kwenye tundu bovu.
Great thinker...think!Sa kwa hoja gani uliotoa hapo mkuu!?
Jitafakari upya mkuu, ni wewe ndo umeandika hivyo??Tabu unaipata wewe,acha kuwashwawashwa,hujaulizwa wewe!
Jitafakari wewe!Jitafakari upya mkuu, ni wewe ndo umeandika hivyo??
Kweli jingalao kama jina lako. Ulisoma wapi hata lugha ya fasihi huelewi?Binadamu hawezi fananishwa na kuku
Hata hujui ulichokiandika,hebu fata trend unapokuwa unajibu hoja ya mtu!Hebu jisome tena halafu jiulize unatetea nini!
We achilia mbali ujinga ulionao, Ushachoka. Waambie wakutafutie mbadala but give them a mandatory warning, wasikutoe wewe afadhali wakatuletea poteleambaliBinadamu hawezi fananishwa na kuku
Mh Zito ukiona watu wazima wanakusitai jifunze kukaa kimya nadhani kama mwanasiasa unalakujifunzwa Kule Uturuk ndani ya ubaloz wa Saudia. Nadhani nimuda muwafaka tufunge midomo yetu nakuacha wenye mamlaka wafanye kazi nje ya hapo tusilaumu serikali tusilaumu wanasiasa na watu wachache waliobadilika kuwa wasaliti wa Taifa. Kiufupi Tanzania nisalama kuliko kipindi kingine chochote ila ole nikwawalio liujumu taifa hakika ni Ole. Taifa moja kwa pamoja Chini ya mwamvuli wa ccm na Rais wetu Magufuli. End
Me nko makumbushoNipo moro njoo guest unipe?
nimechoka kwenye nini?We achilia mbali ujinga ulionao, Ushachoka. Waambie wakutafutie mbadala but give them a mandatory warning, wasikutoe wewe afadhali wakatuletea poteleambali
Zito ni jasiri hakuna wa kumteka hili ni zengwe ka kisiasaHahahahaaaaaaaa!Inaonekana wasiojulikana wameanza kumtisha Zitto!
Haya watalii watakuja kukuangalia andunje wa taifaMe nko makumbusho
Ni kiburi cha uzima tu kinachokusumbua. Yote kwa yote hakuna mwenye hati-miliki ya dunia hii. Maskini, tajiri, mwenye mamlaka, kapuku kama mimi - wote tunapita tu. Tutangulizeni tu, mtatufata huko mnakotulazimisha kwenda kabla ya mapenzi ya Mungu.Mh Zito ukiona watu wazima wanakusitai jifunze kukaa kimya nadhani kama mwanasiasa unalakujifunzwa Kule Uturuk ndani ya ubaloz wa Saudia. Nadhani nimuda muwafaka tufunge midomo yetu nakuacha wenye mamlaka wafanye kazi nje ya hapo tusilaumu serikali tusilaumu wanasiasa na watu wachache waliobadilika kuwa wasaliti wa Taifa. Kiufupi Tanzania nisalama kuliko kipindi kingine chochote ila ole nikwawalio liujumu taifa hakika ni Ole. Taifa moja kwa pamoja Chini ya mwamvuli wa ccm na Rais wetu Magufuli. End
Hahahaaaaaa imetekwa au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna nyepesi nyepesi kuwa Musiba ile kitu ya kwenye kaptura haionekani!