mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,838
Mleta mada unachekesha.
"Eti zitto anatajwa kugombea urais 2025."
urais wa nchi gani?
"Eti zitto anatajwa kugombea urais 2025."
urais wa nchi gani?
Hapa zitto amepoteza point tatu muhimuImagine, huyo ndio baba mwenye nyumba. Kiongozi na kichwa cha familia
Tanzania bwashee!Mleta mada unachekesha.
"Eti zitto anatajwa kugombea urais 2025."
urais wa nchi gani?
Hahahaaaa!Zitto bhana, sasa alipokea simu kwa mujibu wa Sheria kwani Mwinyi alikuwa akimuona kwamba amekataa kupokea ama la, hawa wanasiasa wana mambo kweli
Kwa umri na majukumu makubwa ya kitaifa utayari wa kupokea jambo na ukomavu wa akili ni muhimu na lazima, kuogopa kusema anaogopa kupokea sim sababu ya ugonjwa ni utoto sana.Haikuwa daharau mkuu kutokana na hal aliyokuwa nayo maalim lazma hofu ingemjaa..
My take; Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Anatufundisha kwamba yeye ni jasiri wa kuongea lakini kamwe sio mtendaji. Na hawezi kuwa mstari wa mbele kwenye nyakati ngumuHapa zitto amepoteza point tatu muhimu
Tanzania bwashee!
Kutopokea simu ndio huzuni?Roho yako ni ngumu kama jiwe wala huwezi kushikwa na huzuni ya kifo cha mtu.
Katika siasa za kawaida Zitto, Tundu Lisu, Mnyika na Kigwangalla ni sawa na bunge zima.
Unawapelekea Chenge tu awe Spika wao!
Hao niliowataja wana uwezo na ujasiri!Una maana waliopo sasa hawana uwezo kama wa hao watu?
Nimekuelewa bwashee kwa mujibu wa sheria!Masikini wewe Johnthebabtist, yaani hata humjui mtu mwoga kabisa wewe..
Hili la kuogopa kupokea sim ni ujinga mwingine wa watanzania. Wengi tunachagua simu za kupokeaMy take; Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Mbona kuna jamaa huwa haendi kabisa kwenye misiba, yeye kazi yake kutuma rambi rambi
Hao niliowataja wana uwezo na ujasiri!